mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Ajinyonga ukweni baada ya kunyimwa mke

    Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba. Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake Kijiji cha Kolondo Mashariki mwa Homa Bay, ambapo inaelezwa lengo lake ilikuwa ni kumrudisha mke wake...
  2. H

    Ushauri wenu kwa huyu anayedate na mke wa mtu kiasi mpaka anasahau kusaidia familia yake

    Habari wakuu Nina rafiki yangu mmoja sio tu rafiki bali pia amekuwa kama ndugu yangu jamaa anadate na mke wa mtu Tena anakaa nae mtaa mmoja na mine wake ya huyo manzi anamjua, kibaya zaidi ameenda mbali anamgharamia kila kitu na anajua kabisa ni mke wa mtu na hapa anampango wa kumpangishia...
  3. Unataka mke?

    "UMRI SIO RAFIKI NITAMLIPA MSHAHARA ATAKAYE NIOA" Haya sasa unaambiwa mwanamke mmoja wa Nigeria mwenye makazi yake nchini Ufaransa ameingia kwenye mtandao ya kijamii kutoa tangazo anahitaji Mwanaume wa Kumuoa na akijitokeza atakuwa anamlipa Mshahara kwa Mwezi. Mwanamke huyo ambae Tayari umri...
  4. Kuna utofauti wa mke wangu na hao wake zenu sometime wana act kama dada poa

    Hivi fikiri mke wa mtu anavaa nguo fupi sana haipiti magoti halafu mbaya zaidi akikutana na wanaume anaweka kanga ili wanaume wasione mbunye huo si Udada poa? Wake zenu wanavaa Madera marefu halafu anatumia mkono wa kushoto kulishikia huo ni uchangudoa nawaambia Mke wangu yeye ni full stara...
  5. Mathias Mnyampala: Nguli wa fasihi aliyeanza shule ya msingi akiwa na mke tayari

    Ni ngumu kuzungumzia fasihi ya kiswahili bila kumzungumzia Mathias E. Mnyampala. Mnyampala alizaliwa mwaka 1917 huko Dodoma akiwa ni Mgogo. Baba yake alikuwa ni mfua chuma na alimiliki ng'ombe wengi ambao Mathias ndiye alikuwa mchungaji. Mwaka 1931. Akiwa kama na miaka 14-15 aliozwa mke...
  6. D

    Mke anatafutwa

    Kuna kijana wa Kiislam ana umri wa miaka 28, Elimu yake ni degree, amejiajiri na kwa rehma za Allah pesa ya kula na mahitaj mengine muhimu zipo. Sifa za Mke anaehitajika ni kama ifuatavyo; Awe muislamu mwenye kufanya Ibada. Awe na Elimu angalau Certificate au Diploma, Akiwa na Degree its even...
  7. Muenzi mke wako

    Kwa kuoa huchukui tu mke, Bali unachukua ulimwengu wako mzima. Kuanzia hapo mpaka maisha yako yote mke wako atakuwa mwenzio, mwandani wako, na rafiki yako mpenzi. Atashiriki katika nyakati zako nzuri, siku zako, na miaka yako. Atakuwa pamoja nawe katika furaha na shida, katika mafanikio na...
  8. Nimeota tunasafiri kwa kupaa nikiwa na mke wangu na mtoto

    Ilikuwa na safari nzuri sana japo kuna wakati yale mafeni tuliyokuwa tunayatumia kupaa yalikuwa yanagoma kuzunguka ila kabla hatujadondoka yanazunguka tena huku mke wangu akiwa na mtoto mgongoni tulienda kutua kwenye mji mmoja ambao nilona kuna fremu nyingi za biashara huku kukiwa na biashara...
  9. Wanaume wenzangu nifundisheni jinsi ya kumpa mwanamke mimba

    Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida. Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu. Kama...
  10. Jamaa kamtengeneza mke wake popote atakapotongozwa usiku akipandisha maruhani anasimulia yote

    Dunia simama, nina jama yangu mtu wa Mtwara ila amekulia Morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala atasema yote. Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha...
  11. O

    Mtuhumiwa mauaji ya mke amtumia sms mama mkwe

    Moshi. Ni matukio nadra kutokea katika jamii, baada ya mtuhumiwa anayesakwa kwa udi na uvumba na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, kumwandikia mama mkwe ujumbe mfupi (SMS), kuelezea ushiriki wake katika tukio hilo. Mtuhumiwa anadaiwa kutuma ujumbe huo wakati polisi wakiwa tayari wamechukua...
  12. Wakubwa, hivi ni sawa kumtafutia mke wako dereva?

    Wakubwa mimi BabaMorgan bado ni mdogo kiumri na kifkra naomba kujuzwa na ninyi wakubwa zangu, imekaaje kumtafutia mke wako dereva wa kumuendesha, tena kwenye gari ambayo ni full tinted? Kwa mtazamo wangu ni kuyatafuta matatizo.
  13. B

    Natafuta mwenza (mume)

    Hello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume) Sifa zangu; Jinsia- mwanamke Dini-mkristo Umri-30+ yrs Elimu-Degree moja Mtoto-Mmoja 10 yrs Ajira-Niko private sector Ninayemuhitaji awe Mkristo; 32-40yrs Awe na kazi halali Asiwe kwenye ndoa kwa sasa Awe muelewa na utayari wa kuingia kwenye...
  14. Natafuta mke

    Ndugu wana JF napenda kuwasalimu kwa jina la bwana wetu Yesu Kristo. Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya watu wenye rika na jinsia tofauti kutoka katika jamii mbali mbali. Nimetumia muda wangu mwingi...
  15. K

    Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

    Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku. Mwenye mke wake utanisamehe bure.
  16. H

    Natafuta mke Muislam

    Nahitaji Mke Sifa awe na degree ya pharmacy Awe na umri wa kuanzia 30 – 37 Akiwa Muislam itakuwa poa zaidi Awe anajitambua Nimeweka hiyo sifa kwa kuwa natamani ahudumie watu upande huo hivyo nitamwezesha kutimiza hiyo ndoto Mengine tutaongea DM.
  17. Natafuta mchumba (mke)

    Mimi bado nikijana, nina miaka 25 elimu yangu ni darasa la saba ninajishugulisha na biashara (maduka) Tanzania na Zambia, ninatafuta mchumba awe na vigezo hivi miaka 18/24, Awe na hofu ya mungu dini mkristo na awe na uhitaji kama wangu (ndoa) kuhusu elimu (yoyote) asiwe single mother...
  18. Wimbo 'naheshimu madanga ya mke wangu'

    Kwani basata kazi imewashinda? Nipo kwenye basi naskia wimbo wa singeli mtu anaimba et naheshimu madanga ya mke wangu! Hivi wanetu watajifunza nini kwenye wimbo kama huu?
  19. Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Fausta Tesha (26) aliuawa kwa kukatwa...
  20. Natafuta mke makini haswa

    Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31, mkazi wa Dar es Saalam, Mkristo, nnaejishughulisha. Elimu niliyonayo ni kubwa, urefu wangu ni 6'1 mrefu fulani hivi, maji ya kunde, sina mtoto wala sijawai kuoa. Natafuta mke wa kuoa, mwenye sifa zifuatazo; ~ Umri miaka 25 kushuka chini ~ Mweupe ~ Elimu yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…