mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujiandaa kuoa mke wa mtu

    Ndugu zangu. Tuendelee kukumbushana kwamba kuoa mwanamke mwenye mtoto ( Single maza) ni kujiandaa kuoa mke wa mtu na siyo vinginevyo. Hapa duniani mpaka mwanamke aamue kuzaa na wewe maana yake anakupenda na anataka awe na kumbukumbu yako pindi utakapotoweka machoni pake kwa namna yeyote iwe...
  2. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu mjamzito ila nimeambiwa kundi lake la damu haliendani na langu

    Habari waungwana, poleni kwa mizunguuko ya hapa na pale. Katika pita pita zangu kuna binti nimekutana nae kwenye mahusiano kiufupi nilitokea kumuelewa nikaanzisha nae mahusiano yapata miezi kadhaa. Basi kutokana na kukutana nae mara kadhaa nikawa nimempa ujauzito ila kizaa zaa kimeanza...
  3. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini familia ambayo imedumu mke na mume ina watoto wengi waliozaa ukilinganisha na hawa sasa watoto wakizidi watatu?.jibu ni unyumba

    Ukichunguza ukaribu watu ambao ndoa kuvunjika na ikivunjika basi kunatizo tena sio tatizo ni kwamba mzee ndio tatizo kama baba wa kusimamia. Miaka ya nyuma wazee waliweza kumudu wake wengi na kila mke aliweza kupata anacho wekewa kuzalishwa idadi ya watoto ya kama movie ya fast ferious. Ila...
  4. Isenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mke wa mtu kanitumia picha ya utupu wake,nimueleweje?

    Wakuu,hizi ndoa za zama hizi naona zina matatizo sana. Well ni mke wa mtu nilikua namuimbisha,akajaa,ghafla mumewe kasafiri kwenda Dodoma kikazi,akaanza kuwa ananipigia simu mida mibaya,so jana usiku mimi nikamtania tu anitumie picha ya utupu wake nione ilivyo. Lahaula si akatuma kweli picha...
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

    Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni. Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki...
  6. Rorscharch

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Mtu Sumu: Asiyesikia la Mkuu Huvunjika Guu

    Nakumbuka miaka ya 2010 nikiwa nimetoka chuo, bado nanuka optimism ya maisha. Nilikuwa na uhakika kwamba mshahara wangu wa kwanza ungekuwa milioni moja, na mawazo mengine ya mchana kama hayo yalinifanya niamini kuwa maisha yangenyoosha tu. Katika kipindi hicho, nilijijengea utamaduni wa...
  7. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana tafuta hela mambo ya mke wa mtu ni nadharia za watu masikini na ambao hawajapevuka akili.

    Hapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili. Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka. Sex = energy ngono ni nishati au umeme hivyo ukimuona mke wako Ana umeme mdogo unashauriwa kwenda kutafuta umeme kwa...
  8. Stroke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutembea na mke wa mtu na kuzaa naye ni kosa kubwa sana

    Yaani inakuwaje unatembea na mke wa mtu mpaka unazaa nae. Hili ni jambo hatari sana katika jamii yetu.
  9. mhuri25

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke awe mwalimu

    Hello Wanabodi mimi ni Kijana nipo tu nafanya ujasiriamali mdogomdogo kiasi sikosi hela ya kulipa Pango na Kula Napenda kutafuta Mke awe Mwalimu wa Daraja lolote lile asizidi miaka 25, asiwe mweusi, wala mnene sana, Mkristo itakuwa vizuri hata akiwa Dini nyingine sawa ila akubali kuolewa na...
  10. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa pili sasa tumenuniana mi na mke wangu

    Ndoa Ndoano Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto Mara zote mimi ndo nilikua napiga simu kujua hali zao Sasa kuna tukio alifanya ambalo lilinikata mood kabisa ya kuendelea kumpigia...
  11. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mpakistani anataka mke

    1.Ana umri miaka 36 2.mwislamu 3.Yupo Dar ni injinia 4.Anataka mwanamke mtanzania kwa ajili ya kuishi nae kwa ndoa 5.Awe na umri 25-35 6.Ajue kiingereza Huyo bwana nimekutana nae hapa mza alikuja kikazi na nikakutanishwa nae na rafiki yangu ambae anajua kuwa passion yangu ni kusaidia watu kuoana
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anahitajika

    Wakuu hodi humu, Nimekuja na nia ya dhati kabisa kutaka Binti mmoja tu awe nami, sijali kuhusu elimu yake. Awe tu katulia, life is too short kumanga manga. Kama nia yako imenyooka karibu PM Iko wazi tuanzie hapo. Nawasilisha
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke sio ndugu yako, siku ukifa, kwenda jela hata ndoa ikivunjika anaweza kupata mume mwengine lakini wanao na ndugu hawawezi kukubadili

    Hamjafika hata miaka 20 kwenye ndoa unapata wapi ujasiri huu wa kumpa mkeo hadhi ya undugu ? KWENU MLIOJISAHAU, TUNAKUMBUSHANA TU.
  14. fh kwenye beat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mwanamke aliye serious kuolewa mwaka huu Niko na miaka 30 Mkristo Aliye tayari tuwasiliane
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa kabisa

    Sifa zangu: Umri wangu ni kijana Ni mwajiriwa na mfanyabiashara Kigezo cha mwanamke Awe na kitu cha kuofa kwangu mbali na kunivulia nguo ya ndani
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mke /mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye mboga ni lugha gani utatumia kumwambia?

    Poleni na mfungo wakuu, 👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa 👉Na pia ni emotional oriented " 👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit Endapo mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye maakuli ni lugha utatumia kufikisha ujumbe ili usimkwaze 👉Aya tutiririke...
  18. Damaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kuna sababu zipi zinakufanya upende kahaba kuliko kuwa na mke wa ndoa?

    "Je, kuna sababu yoyote ya mtu kupendelea kuwa na kahaba kuliko kuoa ama kuwa na mahusiano rasmi? Niliona wengi wakijadiliana kuhusu hili na ningependa kujua mawazo yenu." Mdau wa 1: "Kwa upande wangu, naona watu wanapenda kuwa na kahaba kwa sababu inawapa uhuru zaidi wa kutokuwa na wajibu...
  19. Mung Chris

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa pili nioe ndani ya miezi 5

    Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali...
  20. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke au Mume ni ufunguo wa maisha

    Mke au Mume ni ufunguo wa maisha,hivyo msidanganye,vijana wa kiume na wa kike oaneni na sio lazima mfanye sherehe
Back
Top Bottom