Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.

Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
 
Pole sana kiongozi ndoa toka 2005 hivi ni kitambo, mtafutie suluhisho kuwa nae karibu mpeleke kanisani au kwenye therapy atakuwa sawa.

Kwanini wafrika tunapenda waza waswala ya Imani imani(Dini au waganga) wakati hilo swala liko wazi ni matatizo ya akili .

Huo muda anahangaika na wachungaji ambao hawatamsaidia kitu angetakiwa ahangaike na hospitali za akili aweze tatuliwa changamoto yake.

Tatizo mtu anakuwa na tatizo la akili(ukichaa) hatupendi kukubali tunaamini linatibika tuu kawaida kumbe hapana.

Mtu akiambiwa mpeleke mgonjwa MIREMBE anahisi kama anamdhalilisha mgonjwa kumbe ndo sehemu sahihi.
 
Punguza kukurupuka mkuu, nimesema "au therapy" unaelewa therapy ni nini?
 
Kwanini wafrika tunapenda waza waswala ya Imani imani(Dini au waganga) wakati hilo swala liko wazi ni matatizo ya akili .

Huo muda anahangaika na wachungaji ambao hawatamsaidia kitu angetakiwa ahangaike na hospitali za akili aweze tatuliwa changamoto yake.

Tatizo mtu anakuwa na tatizo la akili(ukichaa) hatupendi kukubali tunaamini linatibika tuu kawaida kumbe hapana.

Mtu akiambiwa mpeleke mgonjwa MIREMBE anahisi kama anamdhalilisha mgonjwa kumbe ndo sehemu sahihi.
Sahihi..nilichojifunza kwasasa kwenye maisha, kwenye jambo lolote lile ili upate suluhisho , FIRST, RECOGNIZE AND ADMIT THE PROBLEM. Kubali kuwa hili ni tatizo kisha tafuta mahala sahihi.
Dont denny kwamba huyu mtu saa hii anahitaji kuwa mirembe
 
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Pole sana Mkuu, nenda kacheki tatizo la Afya ya akili.

Hizo ni dalili za Msongo wa mawazo na vitu vingine vingi tu, madaktari watakushauri zaidi.

Note: Hii ya kumroga,uchawi pia usipuuze. Nenda kwa watu wa ibada pia mkajaribu maombi baada ya kumalizana na Hospital

Be a Man, hizi ndio changamoto zenyewe kwenye maisha, huna budi kukabiliana nazo kiume. UTATOBOA.
 
Back
Top Bottom