Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,525
Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja akiwa kwenye Stendi ya Mabasi ya Makumbusho alikutana na Mwanamke aliyempenda na kufunga nae ndoa mwaka 2023.
Baada ya kuishi pamoja toka walipofunga ndoa mwaka huo wa 2023, Philemo alipatwa na mshtuko baada ya kurudi nyumbani jioni kutoka kwenye mihangaiko na kukuta Mke wake huyo ameondoka na kila kitu kilichokuwemo ndani kama vile kitanda, jiko, godoro na mali nyingine pamoja na shilingi milioni tano ambazo anadai walizikusanya ili wanunue kiwanja na baadae wajenge nyumba.————————————————————————————————
Philemon ambaye hajui Mke yupo wapi anasema amejaribu kumpigia simu Mke wake bila mafanikio huku Familia ya Mke ikimuahidi kufanya mazungumzo ili kutatua changamoto iliyotokea. #MillardAyoMIKASA