Dereva bajaji kwa mkataba anahitajika
1.Awe anaishi na kufanyia route Kigamboni
2.Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu
3.Awe na leseni
4.Awe anafanya bolt
5.Awe mchapakazi na mwaminifu
Mawasiliano:0757208745/0617984818
Mimi ni mtumishi wa mkataba na hudumu katika Kituo cha Afya cha Sinza Hospital (maarufu kwa jina la Hospitali ya Sinza Palestina) kilichopo Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam.
Kero yangu ni kwamba Watumishi kuanzia Wauguzi wasaidizi (nurse), Madaktari wote wa Mkataba tunakumbana na changamoto ya...
Kwako Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Dr .Aaron Kagurumjuli , MADEREVA wa mkataba tumekuwa tunacheleweshewa mishahara kila mwezi hivo kupelekea kufanya kazi kwa mawazo,
Kazi yetu inahitaji kuwa vizuri kimwili na kiakili ,mishahara imekuwa Hadi tarehe 15 ndio inatoka ,hii sio fair kabisa...
Wakuu,
Mkataba wa Rudd ulikuwa makubaliano muhimu ya haki za madini yaliyosainiwa mnamo Oktoba 30, 1888, kati ya Mfalme Lobengula wa Matabeleland na mawakala waliomwakilisha mfalme wa kikoloni wa Uingereza, Cecil Rhodes. Hati hii ilikua msingi wa kisheria wa ukoloni wa Uingereza katika eneo...
Mfanyabiashara wa Tanzania Kiluwa amesaini mkataba wa ubia wa uwekezaji wenye thamani ya Dola za Kimarekani Billion 7 ambazo ni zaidi ya Trillion 17 na billion 800 za Tanzania kwa lengo la kuanzisha na kuendeleza viwanda vikubwa nchini Tanzania katika Mkoa wa Pwani.
Hivi Kiluwa sindiyo yule...
Uzi wangu uliopita umefuta, ila lazima haki ipiganiwe
Mnakumbuka hii picha kwenye hii ziara
Matokeo yake ni kuwa Manchester United ilipewa tender ya karibu dola million 19 sawa na TZS billioni 50 kupromote vivutio vya Utalii Tanzania
Hii ni summary ya huu mkataba
Company: MANCHESTER UNITED...
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa.
Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini.
Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
Aisee hivi alieanzishaga mambo ya pikipiki ya mkataba kwamba unampa boss hesabu baada ya muda flani chombo inakuwa yako ni nani? Biashara karibia zote nikwamba unafanya kazi nakulipa then chanzo cha mapato/biashara naendelea kumiliki mimi. Huu mfumo wa boda za mkataba inamaana namuwekezea dereva...
Ndugu Wanachama na Wataalamu wa Sheria wa Jamii Forum
Napenda kuwasalimu kwa heshima.
Ninaandika barua hii kwa heshima kubwa kuomba ushauri na ufafanuzi wa kisheria kuhusu taratibu halali za kuvunja au kukomesha mkataba wa ajira katika sekta binafsi nchini Tanzania
Naomba msaada wenu wa...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitangaza katika ujumbe wa video kwamba ameidhinisha makubaliano makubwa zaidi ya nishati katika historia ya Israeli. Mkataba wa gesi asilia na Misri una thamani ya NIS bilioni 112 (dola bilioni 34.7), ambapo NIS bilioni 58 (dola bilioni 18) zitatumika katika...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hii siyo tetesi tena
Kijana kasha sain mkataba wa awali Yanga
Japo kuwa tajiri kasema kijana avunje mkataba kabisa alipe pesa Kisha asepe, lakin kijana amekataa anasema ngoja amalizie miezi yake sita iliyobaki ndo atue jangwani
Karbu...
Marekani imesaini mkataba wa msaada wa afya wa dola bilioni 2.5 na Kenya, ambao ni mkataba wa kwanza wa aina hiyo wa pande mbili baada ya Rais Donald Trump kulivunja shirika la misaada la Marekani - USAID.
Chini ya makubaliano hayo, Marekani itaipa Kenya dola bilioni 1.6 katika kipindi cha...
Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord"
Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa licha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo
Wanajeshi wetu wengi...
Muungano wa kimataifa wa chanjo Gavi na mshirika wake Unicef watalipa nafuu ya 25% kwa chanjo mpya ya malaria iliyotengenezwa na Taasisi ya Serum ya India ndani ya takribani muda wa mwaka mmoja, kuwaruhusu kufikia watoto zaidi licha ya kupunguzwa kwa misaada ya kimataifa.
- Mpango huo...
Uongozi wa Klabu ya Mpira wa Miguu - Coastal Union umefikia makubaliano ya pande zote ya kusitisha kandarasi na Kocha Mkuu Ali Mohammed Ameir.
Klabu inamshukuru Mwalimu Ali Mohammed Ameir kwa mchango wake uliotukuka kwa kipindi chote alichoiongoza timu yetu.
Uongozi wa Coastal Union...
"Leo tunatangaza kwa furaha kubwa ushirikiano rasmi kati ya MO na Klabu ya Coastal Union kwa msimu wa 2025/2026!
Kwa MO, kauli mbiu yetu imekuwa daima: Tunagusa Maisha Yako.
Na leo, dhamira hiyo inapanuka zaidi tunaposimama bega kwa bega na moja ya timu kubwa kabisa nchini.
Kupitia MO Taifa...
Nimekuwa naenda mahakamani kufuatilia kesi ya Jamhuri (Samia) v/s Tundu Lisu.
Pamoja na mambo memgine, tumeona wingi wa askari polisi na wanausalama eneo lote la katikati ya jiji kuzunguka Mahakama Kuu, lakini jambo lililonistua ni uwepo wa Ambulance ambazo madereva na wahudumu ni askari polisi...
Nimetoka kuangalia clip ya Rais wa Yanga Hersi Said akisema wameingia mkataba na kampuni ya Artificial Intelligence inayoitwa Blackbird AI.
Kwa maelezo yake anasema mkataba huu ni kwa ajili ya kuiwezesha Yanga kupata analysis za wachezaji wakiwa mazoezini na katika mechi. Huu ni upotoshaji...
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.
Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.