Aliye na ushaidi juu ya wizi wa Jakaya Mrisho Kikwete auweke hapa. Jk alikuwa mwasiasa mbobezi, alijua nchi inahitaji nini iendelee, aliujua uchumi vizuri.
Hana Mali au miradi binafsi, aliyoiacha kwake au kwa familia yake katika utawala wake. Kama unaushaidi weka hapa. Zaidi ya kijumba msoga...