Habari za muda huu wadau,
bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja, kuna shamba la familia yangu ambalo lina madini, yaliibuka tu gafla na watu wakaanza uchimbaji baada ya muda kama mwezi tuliwasitisha watu kuendeleza shughuli kwenye hilo eneo letu.
Kwa leo nimekuja nipate abc ya namna ya kuanzisha mgodi japo baadhi ya hatua nazijua ila kulingana na muda kupita eneo hilo bila kuendeleza shughuli za uchimbaji nahitaji msaada wa vitu vifuatavyo;
1. Mwenye mashine ya kupima madini (mineral ditector bila shaka zinaitwa hvyo) na gharana za upimaji anambie
2. Mwekezaji mwenza mwenye mtaji ambae tutashirikiana nae na tutaweka mambo yote katika mkataba wa ushirikiano na mgawanyo wa faida na uendeshaji. Eneo lipo mkoa wa mara kijiji (x)
Aliye tayari aje inbox
Pia mwenye maswali namruhusu,
Karibuni wadau ukumbi uko wazi.