Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar: Maadili kama Mkakati wa Kisiasa
Katika historia ya siasa za Zanzibar, Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imekuwa ikitangazwa kama suluhisho la migogoro ya kisiasa na njia ya kudumisha amani. Hata hivyo, uzoefu halisi wa Wazanzibari unaonyesha kuwa mara...
Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
Kimya kingi kina mshindo mkuu, Waswahili wanasema. Hivyo ndivyo mikakati inavyopangwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kurejeshwa kwenye chama hicho kwa mlango wa nyuma kwa ajenda ya maridhiano.
Hii inakuja kufuatia juhudi zakumshawishi Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho, Tundu...
Kwamba kuna mkakati wa kuifutia usajili Chadema ya Lissu.
Kisa tu Lissu amekataa kuhongwa na kuwa kibaraka wa CCM.
Kisa tu CHADEMA inakataa na kupinga utekaji, ufisadi na mauaji ya watu wasio na hatia?
Wakrislam tumefikiwa 😂 😂 😂
----------------
"Ni nani amabye hajui kwamba moja wapo ya mikakati ya wanaharakati kwa ajili ya kutekeleza mambo yao ilikuwa kutugawa kupitia dini?. Kutugawa tuchukiane kwa sababu ya tofauti ya itikadi zetu za vyama vya siasa." - Amesema Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi...
Friends and Our Enemies...
La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa..
Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa...
Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa...
Vijana wenzangu siku ya tarehe 29 October ni siku yetu ya kuikomboa Tanzania na kujenga Tanzania mpya. Sasa basi tusipelekeshwe na wanasiasa maana hawa ndio vigeugeu wakutuchomesha maana wengi ni double agents.
Najua wapo vijana wengi wasomi wenye uwezo wakutengeneza forum za siri ambazo...
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bibi. Devotha Minja, ameanza ziara yake mkoani Tabora ya kuomba kura za wananchi kukipa ridhaa chama hicho kuongoza Tanzania huku akikiahidi wakiingia madarakani kukibadili kilimo hapa nchini, kuwa cha umwagiliaji kuachana na...
Mimi katika mambo ambayo siyapendi ni kutumia nguvu kubwa kumziba mdomo mwingine asiongee jambo nisilolipenda, bata huku jamiiforums napenda wale wanaokosoa na kamwe siwezi waweka kwenye ignore list
Mimi ni mtu ambaye niko comfortable kwa wale wanaonikataa, na kunipinga sababu naamini wanahaki...
Huwezi kupambana na kuleta mabadiliko makubwa ya kikatiba kwa Nchi ambayo imeongozwa na chama kimoja kwa zaidi ya miongo mitano kwa harakati za barabarani (maandamano & mikutano ya hadhara) na vikao vya majadiliano tu bila nguvu ya bunge, ni ngumu sana. Ili kulainisha mabadiliko haya lazima uwe...
Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema:
“Kila mtu anao uhuru wa kuungana...
Baada ya wajumbe huku chini kideal vizuri na wale waliokuwa machawa, wazembe na waliongia kwenye nafasi za uongozi kwa kubebwa, CCM imeona haiweziishi bila machawa wameona waje na mpango mwingine wa kuhakikisha wanawapitisha huko juu Ili kudharaulisha na kupuuza maamuzi ya wajumbe kwaiyo...
Katika kuwajengea uwezo wazalishaji wa chimvi nchini,Serikali imekuja na mikakati mbalimbali kufikia azma hiyo ikiwemo upunguzaji wa ada ya pango kwa mwaka ya leseni (Annual Rent) za uchimbaji mdogo wa chumvi nchini ili kusaidia kupunguza gharama za uzalishaji na kuchochea uzalishaji wa wingi wa...
Kanisa la Mungu lipo mioyoni mwetu!
Sisi tunamwabudu Mungu wetu wala hatujaua Mtu wala hatujaiba cha mtu wala hatujateka mtu.
Jumapili ijayo chonde chonde makanisa yote ya ufufuo na uzima kila wilaya tukutane kwa maombi ya mkakati na nguvu zaidi kama majeshi ya bwana!!
Wanakaribia kutema bungo!
1. Wananchi ndio waamue kiongozi wanaye mtaka, tofauti na sasa ambapo kura ya raia haina thamani
2. Wananchi ndio wawe sauti ya mwisho kwenye maamuzi
3. Lipatikane bunge lan wananchi litakalo isimamia serkalo na siyo bunge serikali
4. Chaguzi zetu ziwe na mashiko na sio za bora lipite...
GTs,
Wadau, hakika CCM mpaka sasa iko vizuri mno, maana maadui zetu wamesambaratika, yaani wameishiwa sera mpaka wanasema hawataki uchaguzi.
Tuendelee kuiunga mkono CCM.
Niende moja kwa moja kwenye mada mkakati wa chadema kupata sign za watanzania million 15. Unafikirisha kwa sisi tusio wavivu wa kufikiri,
Kwa nn wanaitaji izo sign? ,kwa kumnufaisha nani?, kwa lengo lipi? Kwa nini wanaamin katika ajenda yao.?
Nikaona niingie deep kufanya research fupi...
Wema na unyenyekevu ni vya kumfanyia baba na mama, mjomba na shangazi, bibi na babu.
Ila system endelevu za maisha hazijatengenezwa kwa ajili ya mtu alio fair bali zimetengenezwa kwa ajili ya mtu alie fit.
Tofauti na hapo utabaki kunung'unika na kulaani, kwamba iweje upole na fairness...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.