mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Lodge gani nzuri affordable Singida Mjini!

    Wakazi wa Singida Ni Lodge gani hapo mjini Ni nzuri na affordable! Naomba kujua ..Bei,naLocation
  2. JamiiForums Tanzania Unyama : Polisi yazuia kikao cha ndani cha Mbunge wa Mbeya Mjini , kilichokuwa na lengo la Kutoa shukrani , Ukumbi wapigwa kufuli

    Hii ndio taarifa inayozunguka Mbeya Mjini kwa sasa , watu waliofanya siasa peke yao na kuzunguka nchi nzima kwa miaka mitano bado wanaogopa vikao vya ndani vya Chadema , " chama kilichokufa "
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Madee adai marafiki wanamshawishi akagombee ubunge Kongwa na Dogo janja kugombea Arusha mjini

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya Madee amesema ingawa hajajiandaa kisaikolojia kugombea Ubunge lakini marafiki zake wanamshawishi agombee. Madee amesema yeye ameishi sana jimbo la Kongwa linaloongozwa na Ndugai. Naye Dogo janja amesema yuko tayari kuwatumikia Wananchi na kumpongeza Rais...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani kwa Morogoro mjini ni mazuri, tulivu na salama kwa kuishi?

    Wakuu, Habari zenu nyote. Nimehamishiwa Moro kikazi, bado sijaripoti na vile JF ni jumuiya ya watu wengi naomba kupata msaada wa kufahamu maeneo mazuri na salama ya kuishi kwa mkoa wa Morogoro. Nina familia hivyo nahitaji maeneo ya mazingira salama kwa vile mda mwingi majukumu yangu...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la maji Tanga mjini

    Heshima kwenu wote. Sisi wakazi wa kata ya Pongwe jijini Tanga yapata siku 10 sasa hatupati maji kabisa hasa katika maeneo ya Pongwe kusini (Sanawari) maji hayatoki hata tone moja.Hatujapata taarifa yeyote kuhusu tatizo la maji kama hapo nyuma ilivyokuwa na matengenezo nk Tumeenda kwenye ofisi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Ninachokiona Mbeya Mjini 2020

    Bora abaki yule yule mwana Hip hop kuliko huyu CCM wamtakaye. 1. CCM itaamua nini kifanyike Mbeya Mjini bila msemaji wao kwani tayari atakuwa spika na yupo chini ya nyayo za mkuu solotep mdomoni. 2. Atakuwa spika kwa uchochoro wa Mwanamke anaweza tazama mh. samia ameweza tazama ummy ameweza...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Chief Kalumuna: Mgombea Ubunge pekee wa CHADEMA atayeitikisa CCM kwa Kanda ya Ziwa

    Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake. Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

    Tulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

    Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli. Dkt. Tulia ni msomi, energetic, determined, focused na mwenye uwezo wa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya Mjini kazi ipo kubwa

    Leo DR Tulia ambaye Ni naibu Spika alikula Chakula Cha mchana kwa mamaNtilie Jijini Mb eya. Kabla ya kuhitimisha vikao vya bunge alisema atagombea mwaka huu sisi HATUJUI ni Jimbo gani lakini niliwahi kuandika kuwa Sugu ASIMBEZE DR TULIA.... Niwakumbushe kidogo, bado msimamo wangu na analysis...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi imulikeni Mtwara Mjini

    Wanajamii forum nawasalim, Naiomba wizara ya Ardhi na Maendeleo Ya Makazi waumulike Manispaa ya Mtwara. Mimi ni mhanga katika ufisadi ambao unaendelea pale ofisi ya ardhi jirani ma BOT. Nilikuwa nahitaji kulipia kiwanja changu. Lakini kila nikipewa control number inasoma jina ambalo silo la...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Urais 2020: Msigwa kuongea na waandishi wa habari Jumapili ya Juni 14 mjini Dodoma

  13. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Viwanja Kibaha mjini vinauzwa bei nafuu

    Kampuni ya Drone Ads inakutangazia wewe unayependa kujenga maeneo jirani na kitovu cha mji, kwamba inauza viwanja 150 vilivyopimwa vilivyopo nyuma ya stendi kuu ya Kibaha, eneo la Pangani kilomita 1.5 toka stend, karibu kabisa na hospital ya wilaya Kibaha. Hivyo huduma zote muhimu zipo...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kuhamia CUF, Lwakatare atikisa Bukoba Mjini. Wananchi wakanyagana mkutanoni

    Picha huongea zaidi kuliko maneno matupu , jionee mwenyewe .
  15. JamiiForums Tanzania Wilfred Lwakatare, Mbunge Bukoba Mjini asema “Sisi tumekuja Bungeni si chini ya mara moja, kwa tume hii tuliyo nayo. Tuulizeni tulishindaje

    “Sisi tumekuja bungeni si chini ya mara moja, kwa TUME hii tuliyo nayo. Tuulizeni TULISHINDAJE, tuulizeni tulitumia MBINU zipi?. Ili anayekuja kugombea ajue MBINU na kuacha KULIA kwamba tume hii SIO huru," Pia soma > Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika...
  16. JamiiForums Tanzania Safari yangu mjini Caïro Misri kama mtalii

    Ilikuwa 2012, nilichukua package holiday ya siku tano ilijumlisha hoteli ya nyota tatu, nauli ya ndege na usafiri wa ndani kwa £1,200. Hii ilikuwa inajumlisha chai asubuhi na chakula cha usiku. Tulikuwa watu 10 kwenye group kwetu. Tulipofika airport Dereks wa tour alishika bango eneo la...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa 25 million nifanye biashara gani?

    Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/- milioni ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara. Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali. Maoni ya wadau:
  18. JamiiForums Tanzania Hili la Rais mstaafu Mkapa kufanyia vikao vya baraza la usalama la taifa mjini Dodoma enzi za utawala wake ni kuwa ikulu ya Magogoni haiaminiki!

    Miongoni mwa kauli nzito aliyotoa Rais mstaafu wa awamu ya tatu mzee Benjamin Mkapa ni kuwa enzi za utawala wake vikao vyote vya baraza la usalama la taifa vilifanyikia mjini Dodoma. Tafsiri yake ni kuwa kikao hiki kilikuwa kinajadili mambo ya siri za usalama wa nchi (Labda ikiwemo upotezaji)...
  19. JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipatia Serikali mkopo nafuu kujenga mradi wa maji mjini Morogoro

    Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA). Mkataba wa...
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Rwakatale. Badilisha nia ya kuacha siasa

    Naenda kwenye mada moja kwa moja Mkuu kwanza; katika kipindi hichi umeonyesha ukomavu mkubwa sana pamoja yaliyotokea pitia Chama chako . Ulitangaza kuacha siasa,sawa ila nikushauri huna sababu ya kufanya hivyo tafadhali badilisha mawazo yako . Nimeona clip zako zimenigusa sana ,Haijalishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…