Pongezi kwa Mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Rwakatale. Badilisha nia ya kuacha siasa

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
5,971
6,769
Naenda kwenye mada moja kwa moja Mkuu kwanza; katika kipindi hichi umeonyesha ukomavu mkubwa sana pamoja yaliyotokea pitia Chama chako .

Ulitangaza kuacha siasa,sawa ila nikushauri huna sababu ya kufanya hivyo tafadhali badilisha mawazo yako .

Nimeona clip zako zimenigusa sana ,Haijalishi unaweza gombea kupitia chama gani maana haki yako kikatiba kuchagua,Japo wewe ni mwanasiasa mkomavu sana sio kama sisi japo hatujabobea kwenye siasa ila tu baba akikufurumua basi unasema baba hakuwai ninunulia nepi wakati Hata unazaliwa mpaka wakua huna historia iyo ya kifamilia.
 
Naona umetumwa kuja kupiga ramli maana chadema imechokwa
Mkuu haitatokea nikatumwa au kutumika soma vizuri nilicho andika kutoka moyoni mwangu kwamba haijalishi atagombea Chama gani huo ni utashi wake ila binfsi nimemuona ana ukomavu Wa kisiasa.
Sasa usiniingize katika ushabiki Wa mavyama yenu na elewa tz vyama sio Ccm na chadema vipo vyama vingi na anaweza gombea pitia Chama atakacho,swala la chadema imechokwa lakuhusu wewe na mtazamo wako binafsi halinihusu
 
Rwakatare nje ya CDM hata akigombea ubalozi wa nyumba kumi hapati! Na akiona ni utani ajaribu aone atakavyoangukia pua vibaya
Rwakatale ameweza kuwa mbunge wa Bukoba mjini kwa vipindi viwili tofauti akipitia vyama viwili tofauti. Kwa mantiki hiyo, anaweza kuwa mbunge kipindi cha tatu kwa tiketi ya chama kingine.
 
Rwakatare nje ya CDM hata akigombea ubalozi wa nyumba kumi hapati! Na akiona ni utani ajaribu aone atakavyoangukia pua vibaya
Wewe unaonekana haujui histolia ya lwakatare, alisha kuwa mbunge Kwa tiketi ya cuf kabla ya chadema, Yeye ndiye aliyeileta Chadema Bukoba. Chadema inabidi wampe eshima kubwa Lwakatare.
 
Wewe unaonekana haujui histolia ya lwakatare, alisha kuwa mbunge Kwa tiketi ya cuf kabla ya chadema, Yeye ndiye aliyeileta Chadema Bukoba. Chadema inabidi wampe eshima kubwa Lwakatare.
Lwakatale ndo aliipeleka chadema bukoba?? Acha uzushi ww
 
Dah the legend takes me years back alikuja school kwetu kuomba kura sukumbuki kwa ticket ya chama gani .apewe heshima inayostahili
 
Back
Top Bottom