mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Hali si hali: Katambi 'akataliwa' na 'kugomewa' Shinyanga Mjini, Masele aombwa kumsaidia. Ahaidiwa Ubalozi

    Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Kata kwa Kata: Sugu aendelea kufagia uchafu Mbeya Mjini, Hii hapa ni kata ya Nzovwe

    Huyu kijana kuna haja ya Africa kumpa tuzo maalum , si rahisi kwa raia kuikalisha chini serikali yote Mbeya , kwa jinsi anavyoungwa mkono Mbeya Mjini imefanya hata yule polisi aliyemkamata siku anarudisha fomu kuogopa hata kujitokeza hadharani , inasemekana anaogopa hata kwenda dukani kununua...
  3. JamiiForums Tanzania Morogoro mjini: Mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Devotha Minja arejeshwa rasmi na NEC

    Kamwambieni Abood kuwa asiyempenda kaja, atoke mafichoni akanadi sera. Devotha wa Chadema ni mgombea halali wa jimbo hilo. Hongera kamanda, ulipambana mpaka ukalala ndani! ===
  4. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba akiwa Dodoma Mjini: Mkinichagua kuwa Rais wa nchi hii nitatoa huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito na watoto

    MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA" DODOMA MJINI Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo. Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

    Mgombea Urais wa Chadema anafanya kampeni kata kwa kata. Usikose kuyasikia madini ya Lissu, leo kata ya Isman. ===== "Mafurikoo Ya Wananchi Wa Iringa Kwenye Viwanja Vya Mwembe Togwa KatiKati Ya Mji Wa Iringa. Mheshimiwa Tundu Lissu Akiwa Jukwaa Amenadi Sera Zifuatazo... 1. Itakuwa Jambo La...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof. Lipumba kuunguruma leo Morogoro mjini

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Leo septemba 12, 2020 atafanya mkutano wa kampeni Leo Morogoro mjini. CHAGUE CUF, MCHAGUE PROF. LIPUMBA KUWA RAIS.
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 MBEYA MJINI: Mkimchagua Sugu mtakuwa mmeshamchagua Tulia, mtakuwa na wabunge wawili

    Huyu Tulia akson Tangu ateuliwe na Magufuli kama "mbunge wa Dar" (Ndipo alipo pigia kura ya meya), alianza maandalizi ya kupata ubunge wa kuchaguliwa, mwanzoni nguvu zote alizielekeza huko kwao alikozaliwa ila baadaye akaona isiwe tabu akahamia Mbeya mjini kujaribu kumtoa Sugu. Akaanzisha...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Sugu aendelea kuiteketeza CCM Mbeya Mjini, aanzisha operesheni Kata kwa Kata, hebu angalia mtiti wake

    Hii hapa ni kata ya Igawilo jioni hii Kumbuka hilo ni jeshi dogo tu la Mbeya mjini akiwemo kamanda John Mwambigija
  9. JamiiForums Tanzania CCM Mbeya mjini waijibu CHADEMA

    CCM MBEYA MJINI, WAIJIBU CHADEMA Na Elius Ndabila Wiki iliyopita Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walifanya mkutano mkubwa wa Kampeni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya. Mkutano huo ambao ulikuwa ni wa kuomba kura kwa Mh Lisu anaye gombea Urais ulihudhuriwa na watu wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Kahama: Majambazi wauawa kwa kupigwa mawe walipovamia kibanda cha M-PESA

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba Watu wawili wanaodaiwa kuwa ni Majambazi wameuawa kwa kupigwa mawe na wananchi baada ya majambazi hao kuvamia duka la M-Pesa na kufyatua baruti hewani kisha kumshambulia kwa kumpiga mabapa ya panga mmiliki wa kibanda cha M-Pesa na...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteketeza CCM Musoma Mjini, nyayo za Magufuli zafutiliwa mbali

    Hii ni baada ya Julius Mwita kuzindua kampeni za ubunge, hii hapa habari kamili
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

    Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naanza na kuomba radhi kwa usumbufu wetu wa habari zetu za kampeni zinazomiminika kama mvua za masika , hatuna jinsi ni lazima tuhakikishe nchi inakombolewa . Taarifa ya leo inaonyesha kwamba Mgombea wa Chadema anayepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Akiwa Shinyanga Mjini Rais Magufuli anawataka Wananchi wasichague Mbunge wa Upinzani hata kama anafaa, kweli?

    Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa. Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa uongozi ni kuhujumu uchaguzi mkuu. Maneno kama haya kuzungumziwa wananchi ni kama kuwatisha kwa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli amnadi Patrobas Katambi, aahidi kumpa kazi nyingine Stephen Masele

    Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa. Amedai kuwa wamchagulie madiwani na wabunge wa CCM kwa sababu ataweza kuwabana. Zaidi amedai kuwa aliyeongoza kura za maoni Ndugu...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana wa mjini anayewatongoza watanzania ni "joni"

    Huyu ndiye kijana ambaye wakati alipokuwa hahitaji mke alimvunja mguu kaka wa dada. Sasa anamhitaji dada ameamua kujipendekeza kwa kaka eti nipe mke ninakupenda nitakuajiri kwenye kampuni zangu. Huyu ndiye kijana ambaye alipokuwa hana haja ya kuoa aliibeza familia ya dada, akawachenjia mama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

    Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuitikisa jiji la Mwanza katika mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Furahisha. Tayari maandalizi yamekamilika na maandamano makubwa ya kumlaki yanasubiriwa kuanza wakati wowote kutoka sasa Tayari mgombea huyo ameshafanya mikutano...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo la maji Hai Mjini

    Aslalekum, Naleta mada hii ya shida ya maji hapa Bomang'ombe na viunga vyake. Anayesimamia huu mradi (Engineer Shoo) ndio tatizo sijui kwanini hajiongezi. Kwa mkoa wa Kilimanjaro kukosa maji miezi mitatu au miwili mfulilizo hii ni kudhibitisha kwamba huyu ndugu yetu Shoo huu mradi umemshinda...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tarime Mjini: Jackson Kangoye ampa masharti kumuunga mkono Kembaki, amtaka amrudishie gharama alizotumia kwenye kura za maoni

    Katika hali ya kushangaa, jana Jackson Kangoye alimuita Michael Kembaki na kumpa masharti ya yeye kumuunga mkono katika uchaguzi mkuu ngazi ya ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini. Jackson alimpa masharti Kembaki ya kwenda yeye binafsi bila wapambe wake. Lakini Kembaki alipokwenda akimkuta...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa NEC, yanayoendelea Morogoro Mjini ni sahihi kwako? Kwanini wapinzani wanyanyaswe na wasaidizi wako?

    Kwanini tume yako ya uchaguzi wanakuwa wazito hivyo kushughulikia uhuni wanaofanya wagombea wa CCM? Je, hiyo ndiyo inayoitwa tume huru? Unataka kila jimbo lenye mgogoro afe mtu ndipo uone kuna tatizo? Tafadhali sana, huu ni uchaguzi mkuu wa vyama vyote na siyo uchaguzi mkuu wa CCM, tunakutaka...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

    Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million. Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…