mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi umeme ni huku bush niliko au na huko mjini?

    Sasa siku imepotea tena. Hapa kurudi ni saa 12 jioni. Huu ni ubabaishaji.
  3. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Mpigania Uhuru na Muaisisi wa TANU Moshi Mjini Kituo Cha Mayatima Cha Halima Selengia (1919 - 2013)

    Marehemu Bi. Halima Selengia aliyefariki dunia mwaka wa 2013 akiwa na umri wa miaka 94 alikuwa kati ya waasisi wa TANU mwaka wa 1954 na mmoja wa wanawake waliokuwa mstari wa Bi. mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Bi. Halima Selengia anaingia katika kundi la akina mam wapigania uhuru...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kumaliza changamoto ya huduma ya maji mjini Mtwara

    RAIS SAMIA KUMALIZA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI MJINI MTWARA Serikali imetoa shilingi bilioni Kumi na Tisa kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) ili kufumua mfumo wa usambazaji wa maji ambao ni chakavu na kuweka mpya. Hatua hiyo itataua kero ya upatikanaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Video : Tayari goma la TRAB na TRAT limeingia mjini..!!

  6. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa Lodges Geita Mjini

    Heshima Kwenu Mwenye kujua lodges au gesti nzuri zilizopo Geita mjini na bei yake nitashukuru. Pia nitashukuru msaada wa namba za hiyo lodge kama mnazo. Ahsante
  8. JamiiForums Tanzania Tabia mbaya makondakta daladala za Bunju kuja au kuelekea mjini

    Haina haja ya salamu. Hawa wavaa vibaya na wasema hovyo wanatabia nyingi mbovu. Hapa nielezee kidogo nauli. Wandugu kama hujui bei watakukanyaga watakutoza kiasi wanachotaka wao. Kabla mafuta hayajapanda Kwa sababu za vita ya Ukraine vs Russia nauli ilikuwa 750 kutoka pande zote za mbali. Hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Kigoma mjini kuna fursa za maisha kweli? Naiona Kasulu ikiipita kigoma mjini

    Hivi inakuaje mkoa uliozungukwa na Congo na Burundi kuwa chini vile? Singida wasemaje? Nilipata fursa ya kutembelea mji wa Kigoma wiki iliyopita nikaanza na Nyakanazi, Kibondo, Kasulu, Manyovu na Kigoma mjini. Kuanzia kibondo mpaka kasulu ni vumbi la kutosha na kuna Kilometer Nyingi saana...
  10. JamiiForums Tanzania Kama una zaidi ya watoto wanne, na unaishi mjini, kuna ushauri wenu hapa

    Kama wewe ni muajiriwa, na una watoto wanne nakuendelea, na unaishi mjini, fanya yafuatayo:- Tafuta chanzo kingine cha mapato, iwe biashara, udalali n.k Tafuta shamba ulime, au nunua chakula kwa wingi pale kinapokuwa kimeshuka bei na uweke stock, ili kuweza kupata chakula cha kutosha; haya...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kigogo ccm moshi mjini matatani

    WAKATI uchanguzi ndani ya chama cha mapinduzi ccm ukitarajiwa kufanyika wiki ijayo kwa ngazi ya wilaya,katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho manispaa ya moshi,seleman Aman anazongwa na mikasa mbali mbali ikiwamo kudaiwa kuendesha biashara ya vinywaji baridi na kisha kuondoka kwenye nyumba...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Samaki wanaolishwa kwa chupa waonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China

    Septemba 12, Zhengzhou, samaki wanaolishwa kwa chupa wameonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China. Wafanyakazi waliweka chakula cha samaki kwenye "chupa za kuwalisha" kwa fimbo ndefu. Watalii wanapoweka chupa ndani ya maji, samaki wengi wanagombea chakula.
  13. JamiiForums Tanzania Wapi wanafanya Diagnosis ya Magari Arusha Mjini

    Wakuu Salaam Kama heading inavojieleza , ni wapi hapa Arusha mjini wanafanya Diagnosis ya Magari
  14. L

    JamiiForums Tanzania Soko la bidhaa za Kitamaduni za Afrika "African Bazaar" lilifanyika hivi karibuni mjini Beijing China na kuwavutia wageni wengi.

    Soko la bidhaa za Kitamaduni za Afrika "African Bazaar" lilifanyika hivi karibuni mjini Beijing China na kuwavutia wageni wengi.
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta hiki kiatu mjini Dar es Salaam

    Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta Nike Air Jordan ndefu. Najua Original siwezi bei au ata kuipata ikawa changamoto lakini angalau inayoendana endana na "uorijino". Ndio nishacheki za wakina Robby Fashion na David Sports wear zile za 35 naona plastic kabisa.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China

    Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China
  17. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jaa la mjini

    Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na wimbi kubwa la Imani potofu ambayo watu kutoka nje ya kisiwa Cha Pemba wanaifanya iendelee kuota mizizi siku hadi siku. Hiii ni kutokana na baadhi ya watu kuamini kuwa Pemba ndio kitovu au zizi la itikadi za matendo ya kishirikina hali ambayo imekuwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Bwana Abui, unachochea udini ndani CCM

    Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk wa CCM taifa anataka waisilam wachaguliwe kwa asilimia kubwa ili wampitishe 2025 kwa kura nginyi...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kuweka stop order kwa benki inayotaka kuuza nyumba yangu Mbeya Mjini

    Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina. Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15. Nimekuwa nikichukuwa kutumia fedha hizo kwa shughuli zangu za biashara ya mpunga na mahindi pamoja na korosho, kama kawaida...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa yupo mjini Tunis kwa mkutano wa TACID

    26 August 2022 Tunis, Tunisia MKUTANO WA TICAD Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. madame Najla Bouden Romdhane katika uwanja wa ndege wa Carthage, jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…