Samaki wanaolishwa kwa chupa waonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,000
1,019
VCG111400778104.jpeg


Septemba 12, Zhengzhou, samaki wanaolishwa kwa chupa wameonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China. Wafanyakazi waliweka chakula cha samaki kwenye "chupa za kuwalisha" kwa fimbo ndefu. Watalii wanapoweka chupa ndani ya maji, samaki wengi wanagombea chakula.

VCG111400778108.jpeg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom