Yaani tangu May 8 wanasema hawachezi Kwa msisitizo,wamekuja na matakwa yao manne yatimizwe lakini hakuna hata Moja lililotekelezwa,
Leo maamuzi ya rais ya 25 June mechi ichezwe mashabiki yote ya yanga yanafurahi sijui ni kipi kimetekelezwa,yamepost Hadi mitandao yao yote lakini simba wako kimya...