Uboreshwaji wa reli ya Nakuru hadi Kisumu kuanza, ili kuzidi kutia kapuni mizigo ya kwenda Rwanda, DRC na Burundi na Mwanza Tz

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,408
Hizi ni jitihada za kuhakikisha reli bora inaunga kwenye bandari ya Kisumu iliyokamilishwa hivi majuzi, itasaidia pakubwa kuharakisha mizigo kuwafikia DRC, Rwanda na Burundi maana ikifika Kisumu inapokezwa kwenye meli.

Izingatiwe hayo mataifa yanatumia pia bandari yetu ya Mombasa, na tukihakikisha mizigo inawafikia kwa kasi tutaendelea kumega hilo soko ambalo huwa tunakula sahani moja licha ya kutokua nao kwenye mpaka mmoja.

Mwanza kule Tanzania pia tutakua tunawafikia kwa siku moja tu wanapata mizigo yao.

Hongera ziwafikie timu iliyoboresha barabara ya Taveta maana mikoa ya Arusha na Moshi tushaitia kapuni, juzi takwimu zimeonyesha Watanzania wameanza kuchangamkia bandari yetu kwa fujo, tuharakishe bandari ya Lamu ambayo itakua baba lao ili nao Ethiopia waingie kwapani, ikumbukwe idadi ya watu Ethiopia ni milioni 100, hivyo tukiteka soko la mikoa yao ya kusini itakua "imeisha hiyo".

=======

Kenya Railways will in the next two weeks start the upgrade of the old track from Nakuru to Kisumu after dropping the use of external contractors.

Philip Mainga, the Kenya Railways managing director, said that the refurbishment of the rail network, which is more than a century old, would start on August 1 and take eight months.

The project marks a policy U-turn given that the State earlier ruled out reviving the line that had fallen into disrepair.

Mr Mainga told the Business Daily that Kenya Railway engineers and National Youth Service will refurbish the line in a bid to cut the upgrade cost.

Initially, Kenya had plans of tapping the Chinese for the upgrade. The 216km line will connect to the recently refurbished Sh3 billion Kisumu port, which will enable ferrying of cargo and passengers to Uganda, Rwanda, Burundi and Democratic Republic of Congo on ships via Lake Victoria.

Kenya dropped its plan to extend the standard gauge railway (SGR) to Kisumu and later on to the Ugandan border after failing to secure a multi-billion shilling loan from China, which funded the first and second phases of the project.

The old line, which had a thriving passenger service in the 1990s, will form the major supply route to deliver cargo to the neighbouring countries through the Kisumu port.

Plans to upgrade it came after Uganda also announced that would start refurbishing the old rail network to boost bulk cargo transportation, after failing to secure $2.2 billion in Chinese funding for a new SGR line.

Mr Mainga said Kenya will fund the upgrade of the Kisumu line from internal resources, cutting reliance on Chinese loans for railway projects.

The old line from Naivasha to Malaba has been operational but is in bad condition, limiting the cargo volumes and train speeds.

The track from Nakuru, which goes through Njoro, Londiani, Muhoroni and terminates at Butere, has not been in use.

A cargo rail business is critical in making the Kisumu port a viable public investment.

The port is ready for use, but its official launch has been delayed. It is expected to raise the fortunes of the western Kenya city as a regional economic hub.

SGR LINK

The port will make Lake Victoria a crucial transport corridor in the shipment of general cargo into and out of the East African region.

Some of the goods that Kenya plans to export via the port are fertiliser, cement, rice, edible oil and general dry cargo such as spare parts. Kenya opened the Mombasa-Nairobi SGR line in 2017 and another new line to Naivasha last August.

It plans to link the old railway track to the SGR line in Naivasha for seamless cargo movements to the neighbouring countries.

Source: Business Daily
 
Hongera sanaa jiweee, kwa kuzidi kujipa ushauri safiii kabisaa!😂

FB_IMG_1595227398294.jpg
 
Huyu jamaa anapenda sana kujifariji, ifike hatua mkubwa aeshimiwe tu tz hatutaki battle na watoto
 
Huyu jamaa anapenda sana kujifariji, ifike hatua mkubwa aeshimiwe tu tz hatutaki battle na watoto

Hivi unafahamu ukijumuisha mizigo ya bandari zenu zote kisha uzidishe mara mbili ndio utakua unanusia nusia idadi ya mizigo inayopakiwa kupitia Mombasa, sasa hapo nani mwenye baba ya mwingine. Nilishasema tutawakalia mpaka basi tu.
 
This is a good plan. Already the rebuilt Nairobi-Nanyuki line has removed a lot of trucks from the eastern bypass. currently del monte moves about 9000 tonnes of processed fruit juices to mombasa via the MGR from Thika to Nairobi ICD where the sgr takes it to mombasa for export to europe. Vivo energy also moves millions of litres of fuel through the Nairobi-Nanyuki MGR to their inland holding facility at Nanyuki. Bidco being a beneficiary of the MGR from Nairobi to Nanyuki, is also moving thousands of tonnes of edible oils, soap etc to mombasa for export weekly.
It should also be noted that this is a temporary plan while financing for the phase 2b of sgr is being finalized, but even if we were to get the financing today, it would still take three years to build phase 2b of the sgr. We can ensure seamless movement of cargo by renovating the MGR from Naivasha to Malaba and Kisumu while the sgr phase 2b is being built.
 
Back
Top Bottom