miundombinu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Ili kukuza uchumi wa nchi na kupata fedha za ujenzi wa miundombinu, Mishahara ya watumishi wa umma na viongozi wa kisiasa ipunguzwe

    Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana. Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na...
  2. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Serikali yatenga Bilioni 4 kuimarisha miundombinu Jangwani

    Serikali kupitia Mfuko wa Barabara (Road fund) imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni nne kwa ajili ya kumlipa mkandarasi atakaepatikana ili kuboresha miundombinu ya Jangwani mara baada ya uhakiki wa makisio hayo kukamilika na kujiridhisha. Akizungumza kwa niaba ya wajumbe wa...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watu 7 wafikishwa Mahakamani kwa kuhujumu Miundombinu ya Reli

    JESHI la Polisi nchini limewafikisha mahakamani watu saba wakituhumiwa uhujumu uchumi kwa kukutwa wakisafirisha vyuma chakavu vikiwemo vyuma vilivyoibiwa kutoka kwenye miundombinu ya reli. Kwa mujibu wa taarifa ya polisi iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Polisi kuanza kuwashughulikia wanaoharibu miundombinu ya Reli

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amekemea vitendo vinavyofanywa na baadhi ya watu wasiowahaminifu kwa kuhujumu miundombinu ya reli jambo ambalo linaiingizia serikali hasara kubwa kutokana na uwekezaji unaofanywa. IGP Sirro amesema hayo leo wakati alipofanya ziara ya kushtukiza...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanayanga wenzangu. Shangilieni Tuna Bao 3-0 mpaka sasa Tumeshatengeneza Miundombinu Namungo Chali

    Achaneni na Simba jana wamecheza na team Dhaifu. Sisi leo tunamchakaza Namungo macho makavu kabisa. Miundo mbinu imeshafanyika analala kwa Bao 3-0 mapema tu. Namungo hamna kitu hapa. Hawa tunawamudu sana. Tunawagonga tatu na point zetu 3 tunajishindilia kileleni. Mwaka huu Kombe letu. Piga ua...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania IMF: Nchi za kipato cha chini hupoteza 50% kwa miradi ya miundombinu isiyo na tija

    Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) limetoa ripoti kitabu cha kuonesha namna bora ya kufanya miradi ambayo itakuwa na uchumi jumuishi ambao utapunguza tofautii kati ya walionacho na wasionacho. Kitabu hicho kimeonesha miradi ya serikali huwa ya gharama sana na huwa haina ubora. Pia huwa haina...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mjadala mzuri wa uchaguzi 2020 unaendelea sasa hivi DW/ BBC inaonekana miundombinu haina mashiko kwa Wananchi wengi, kilio ugumu wa maisha chatawala

    Ndio yanayojadiliwa sasa na vyombo vya habari vya nje vikiwahoji watu mbalimbali nchini, ni mjadala wenye usawa na haki sio kama ule wa TBC fuatilia kwenye redio kupitia DW sasa. Inaonekana watu wamechoka na sera zilezile za miundombinu.
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

    Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa" Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ya Dar es salaam imepitwa na wakati: Hali hii haiwezi kuendelea!

    Morogoro Road Jangwani Picha chache kuonyesha yaliyotokea jana yanadhihirisha kuwa kuna sehemu tumelala. Mvua hiyo kubwa inaelekea imeonyesha udhaifu mkubwa wa miundombinu ya maji jijini Dar es salaam. Kwa miongo ya miaka, Halmashauri za Jiji na Serikali kuu zimeendelea kupuuzia namna ya...
  10. Shark

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuliokwama Kwenye Foleni Sababu ya Miundombinu Mibovu tuna Jambo Letu tarehe 28 Oktoba 2020

    Dah, Muda huu Saa Nane na Nusu usiku ndo naingia home. Nimetoka Stesheni saa kumi na moja jioni, gari ilikua nusu tank but kufika Victoria imeisha mafuta Sababu ya Foleni. Nimeingia hasara kununua tena mafuta Sababu tu ya kifoleni-mshenzi cha Palm Beach. Nimeshinda na Njaa muda wote huo...
  11. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Tumeboresha miundombinu, tumejenga barabara na kuweka taa. Tabora sasa kama Toronto

    Umati wa watu uliofurika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni ya CCM mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020 Baada ya kuwasili na kukaribishwa, awasifia wana Tabora kwa ushiriki wao katika kutafuta uhuru. Amesifia Tabora ya leo kwa kuwa na nyumba nzuri nzuri...
  12. Superleta

    JamiiForums Tanzania Pamoja na miundombinu bora ya Ethiopia, bado Wananchi ni masikini. Watanzania tujitafakari

    Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu. Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao. Naogopa...
  13. Trubarg

    JamiiForums Tanzania CCM akili zenu za kuchafua Miundombinu mtaziacha lini

    Ni aibu kwa chama kikongwe Kama CCM kufanya haya wanayoyafanya.
  14. Ghosryder

    JamiiForums Tanzania Hai: Mbowe kaongea kwa hekima kidogo wakati Magufuli akizindua Barabara Kilimanjaro

    Ni pale alipokuwa kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara mkoani Kilimanjaro akiwa na Mhe. Magufuli,alisema, suala la maendeleo lisionekene au kuchukuliwa kuwa ni la siasa. Ni kweli kabisa kuna baadhi ya wanasiasa hasa wasioelimika, wengi wao huzuia miradi mingi ya maendeleo mfano ujenzi wa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnataka tuendelee kuwa na Rais wa miundombinu? Ingekuwa miundombinu ndiyo kipaumbele cha mtu wachina wasingekamatwa kwenye makontena wakizamia Ulaya

    Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo. Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5...
  16. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli haikuwa hotuba ya Mgombea Urais, ilikuwa Hotuba ya Mgombea Uwaziri wa Miundombinu. Imekosa mvuto mpaka mwisho

    Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi. Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu awamu ya 5 Tz ni matokeo ya kubadilisha matumizi ya pesa sio kukua kwa uchumi

    Kufanya uchaguzi kwa pesa ya ndani, kujenga flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu unaofanywa na awamu ya 5 ni matokeo ya kubadili matumizi pesa/kipato tu sio kukua kwa uchumi. Mfano, pesa zilizokuwa zinatumika kulipa mishahara kwa watumishi wa umma. Sasa wanastaafu, wengine wanakufa hakuna...
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania GE2020 Masimango ya kudharau miundombinu yetu, maendeleo yetu, hospitali yetu adhabu yake ni kukunyima kura upate 0%

    Unapodharau mradi wa REA umedharau hadhi yetu, utu wetu, ubinadamu wetu unataka wanaonufaika na umeme huo waone kawaida wewe Tundu Lisu tutakuadhibu tar 28/10/2020 kwenye sanduku la kura "Tuachie shujaa wetu Magufuli atusambazie umeme vijiji vyote Tanzania" Unapodharau miundombinu ya Bwawa la...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kukua kwa Uchumi siyo madaraja na miundombinu tu, bali PPP (Purchasing Power Parity)

    Namshangaa yeyote anayejinasibu kukuza uchumi wakati bado hali ya Watanzania waliowengi ni maskini hawana uwezo wa kununua hata mahitaji muhimu. PPP ya Tanzania inazidiwa na Kenya, Rwanda, Uganda Maswali ya Msingi 1. Wangapi wana uwezo wa kufanya mahemezi ya kila siku. 2. Wangapi...
  20. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania China - Tanzania Security wameshindwa kuilinda miundombinu ya UDART (Mwendokasi)

    CT Security ndiyo waliopewa jukumu la kulinda miundombinu ya Mradi wa mabasi ya mwendokasi: Kimara hadi Kivukoni, Morocco hadi Gerezani, Depot yao pale Jangwani na feeder stops kama zile za Shekilango, Kinondoni. Katika feeder posts sasa hivi kumeshaanza kufunguliwa bolt na nuts zake...
Back
Top Bottom