miundombinu

  1. S

    Kuboresha Mazingira kwa Walemavu wa Macho: Jitihada za Miundombinu, Mafunzo, na Elimu

    Inaeleweka kuwa watu wenye ulemavu wa macho wanakabiliana na changamoto nyingi wanapotembea barabarani au kushiriki katika shughuli za kila siku. Baadhi ya mapendekezo kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuboresha hali yao na kuhakikisha wanaweza kushiriki kikamilifu katika jamii: Miundombinu...
  2. Nigrastratatract nerve

    Shughuli za kiuchumi Mwanza zimesimama kwa saa 6 kutokana na mvua kubwa na ubovu wa miundombinu. Serikali ikumbukeni Mwanza msiitumie kisiasa tu

    Shughuli za kiuchumi katika jiji la Mwanza zimekwama kwa masaa zaidi ya saba kutokana na uharibifu wa miundombinu na uliosababishwa na mvua kubwa. Pia Mwanza ni miongoni mwa majiji yaliyotekekezwa na serikali ya CCM kwani wanaitumia tu kisiasa na kuitelekeza. Najiuliza mvua hii ikiendelea...
  3. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Apeleka Bilioni 1.8 Utekelezaji wa Miundombinu ya Maendeleo Wilaya ya Ngara

    Ngara Januari 10, 2024 TAARIFA YA KUPOKEA TZS 1,816,000,000.00 KWA AJIRI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO - Ngara. Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO anawatangazia wananchi wote kuwa, DKT SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametuma fedha tajwa...
  4. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Serikali Kuja na Master Plan ya Miundombinu

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inaandaa Mpango Mkuu (Master Plan) wa Miundombinu ya nchi kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kijamii itakayowezesha kurahisisha usafiri na usafrishaji kulingana na ongezeko la watu nchini. Mpango huo utaangazia mtandao wa barabara wa nchi nzima kupitia Wakala...
  5. Stephano Mgendanyi

    Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange

    Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange Naibu Waziri (Afya) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Festo Dugange, amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri kusimamia miradi ya ujenzi wa vituo vya...
  6. GENTAMYCINE

    Nashauri kufungwe kamera katika Miundombinu muhimu ili wanaoiharibu walipe faini au waishie jela

    Kuna mpuuzi mmoja sasa ni wiki katoka kulewa zake Mbezi Beach Tangi Bovu (jirani na kwa Bujibuji Simba Nyamaume) na akawasha gari yake na kuiendesha spidi na kizembe kabisa akaja kugonga moja ya kingo za Daraja muhimu la Bondeni Kawe na ikabakia kiduchu tu gari lake litumbukie mtoni na...
  7. mdesi

    Miundombinu ya Ubungo flyover nani huiharibu?

    Naomba niende direct kwenye point;- Huwa nachukizwa na kupata uchungu sana kuona raia wanaharibu miundombinu ya umma kwa maksudi bila sababu yeyote ya msingi. Yaani si kwa bahati mbaya wala sababu fulani justifiable iliyo sababisha uharibifu huo. Pamoja na sehemu nyingine hapa ubungo chini ya...
  8. Pascal Ndege

    Tanesco Haina Hela: Kama call center ya Tanesco ya million 30 iligharimu Tanesco billion 6.1,trillion 2 kwenye miundombinu guzo za zege.

    Kuna Mikataba mingi ambayo Tanesco imeingia toka alipo teuliwa Maharage Chande haikulenga kabisa uzalishaji wa umeme. Ililenga matumizi na matanuzi na miundombinu. Kwahiyo kutuaminisha kuwa mabwawa hayana maji kwa Mvua hizi hakuna mtu atawaamini. Mimi kwa miaka mitatu nimemfuatilia sana vyombo...
  9. Stephano Mgendanyi

    Urejeshaji wa Miundombinu ya Barabara Katika Mji wa Katesh Wafikia 75%

    UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KATIKA MJI WA KATESH WAFIKIA ASILIMIA 75 Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amesema hadi sasa urejeshaji wa miundombinu ya barabara na makalvati iliyokuwa imeharibiwa na maporomoko ya matope na mawe yaliyotokea Disemba 3, 2023 kwenye mji wa...
  10. JanguKamaJangu

    Ruvuma: Sinema na siasa vilivyoingia kwenye sakata la miundombinu ya Shule ya Msingi Magomeni (Tunduma)

    Wiki mbili baada ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Nipashe kuzungumza na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kutaka kujua kwanini Shule ya Msingi Magomeni ina madarasa mawili yaliyojengwa kwa nguzo za miti na kuezekwa kwa nyasi, madarasa hayo sasa yamebomolewa. Oktoba 27, 2023, Mwandishi wa Habari...
  11. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuendelea Kuboresha Miundombinu ya Viwanja vya Ndege Nchini

    Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kujenga na kupanua Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi Jirani Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo...
  12. Makamura

    Miundombinu Mibovu Njia za Treni Kupelekea Ajali Nyingi

    Ajali zinazotokea Mara kwa Mara Zikihusisha Njia za treni, Wengi wanatupia lawama wahanga lakini tunaacha kuongelea miundombinu ya njia ya Treni. Tukiangalia nchi za wenzetu wanawekaga Taa au geti, pale ambapo treni inapita basi vitu hivyo vinakupa ishara ya tahadhari, tukijaKwetu hapa bongo...
  13. Roving Journalist

    Muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde, miundombinu yake ni hatari kwa Wanafunzi na Walimu

    Huu ndio muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde iliyopo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro. Shule hii ya Serikali haina miundombinu inayoridhisha kuendeleza harakati za utoaji wa elimu, kwani tangu ilipopatwa na maporomoko yaliyotokana na mvua kubwa...
  14. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama aagiza kuimarishwa Miundombinu ya mawasiliano Dar

    Serikali kupitia ofisi ya Rais TAMISEMI imeahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 20 ili kuimarisha kivuko cha cha Magole/Mwanagati kilichopo katika kata ya Mzinga Halmashauri ya Ilala mkoani Dar es salaam ili kiweze kupitika muda wote. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...
  15. Exile

    TANESCO: Mvua zimeleta athari katika miundombinu ya umeme

    TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu. Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema...
  16. Msanii

    TAMISEMI kushughulikia miundombinu ya shule za umma liangaliwe upya

    Hujambo ndugu? Nimetafakari kwa kina uamuzi wa serikali kuziweka shule za umma chini ya usimamizi wa TAMISEMI hususan miundombinu yao ninaona ni uamuzi unaohitaji kupitiwa upya. Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mujibu wa ibara 1415 na 146 za Katiba ya JMT (nimenakili hapa...
  17. R

    Umeweza kufanya shughuli zako vizuri katika kipindi hiki cha mvua?

    Wakuu, Shughuli zako za kila siku zimeweza kufanyika vizuri bila tatizo lolote? Una la kuwaambia serikali kuhusu hali ya miundombinu kipindi hiki cha mvua? Hali iko shwari huko ulipo? Maji yanapita bila shida yoyote?
  18. BARD AI

    Kwa hali ya Miundombinu ya Barabara na Maji hapo Mtaani, Utamchagua tena Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wako?

    Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 ambapo kwa mujibu wa Muongozo, Serikali za Mitaa zimeanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 145 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka madaraka kwa wananchi...
  19. BigTall

    Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Awali niliona uzi humu JF kuhusu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja iliyopo Unguja, Zanzibar, sikuamini kama ni kweli, lakini juzi(Novemba 13, 2023) nilifika hospitalini hapo ukweli ni kuwa hali ya miundombinu katika baadhi ya maeneo si nzuri. Nilishindwa kupiga picha lakini miundombinu mingi haipo...
  20. Beginning

    Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha. Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo. Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo...
Back
Top Bottom