Kwa east afrika na afrika kwa ujumla hakuna nchi itakua na miundombinu bora ya mpira wa miguu kama Tanzania
Mtoto wa uganda, kenya, Congo, Rwanda atakua na ndoto za kuja kucheza mpira Tanzania
Team 255713520180
Mkuu wa mkoa wa Arusha Cristian Makonda ameainisha kuwa jumla ya Shilingi bilioni 42 na zaidi zimetolewa na Serikali kuu kuhakikisha fidia mbalimbali kwa ajili ya kuboresha miundombinu mkoani humo zimetolewa kuondoa malalamiko ya wananchi.
Hili sio jambo dogo.
Kind of nonsense 😔 😑
TANZANIA imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa njia ya ndege ili kuboresha usikilizaji kesi na utoaji haki kwa wakati.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema...
Wilaya ya Mbarali inasikitisha kuona barabara ina zaidi ya miezi nane hadi kumi, ikiwa imewekwa vifusi na havijasambazwa kwa kipindi cha muda mrefu.
Ni kama imetelekezwa pasipo kuendelezwa ujenzi wake hivyo kupelekea usumbufu kwa watumiaji wa njia hiyo, ikiwa ndio njia kuu kutoka Igawa kuelekea...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli bajeti ya TAMISEMI shilingi trilioni 11.783 kwa mwaka 2025/26, ikiwa ni ongezeko kutoka trilioni 10.125 mwaka 2024/25 imeongezeka kwa takribani asilimia 16.38 ikilinganishwa na mwaka wa fedha uliopita. Bajeti hii inalenga...
Kuna kero kubwa hapa chuoni kwetu Marian University College (MARUCO) kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, mazingira hayaridhishi hasa wakati wa kila kipindi cha mvua, maji yanajaa eneo kubwa hivyo kupelekea Wanachuo kukanyaga maji machafu.
Jambo baya zaidi kiafya maji hayo mengi yanakuwa...
SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA UMEME KIBITI KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya...
Waziri wa uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, amewasihi Watanzania kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC), kuilinda na kuitunza miundombinu ya treni ya kisasa ya Umeme (SGR).
Prof. Mbarawa, ametoa wito huo katika stesheni ya Magufuli Dar es Salaaam, muda mchache baada ya kumsindikiza Rais...
Kata ya Mtumba yanufaika na ujenzi wa barabara pamoja na kalavati kwa gharama ya shilingi 73,000,000 kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa usafiri na usafirishaji katika eneo hilo.
Hayo yalielezwa na Diwani wa Kata ya Mtumba, Edward Maboje alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
MANYARA: BILIONI 3 KUTUMIKA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA HOSPITALI YA MANYARA KWA MWAKA 2024/2025
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma za afya katika mkoa wa Manyara kwa kutenga Shilingi Bilioni 3 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya...
MAENEO 479 YASIYOFIKIWA NA MIUNDOMBINU YAMEPATIWA UMEME
Mradi wa Kusambaza Umeme katika Vijiji na Miji Awamu ya Tatu (Peri Urban III) unalenga kusambaza umeme katika vijiji-miji, mitaa, na vitongoji 508 ambavyo havijafikiwa na miundombinu ya umeme katika maeneo ya pembezoni mwa miji.
Mradi huu...
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
Habari za muda huu watanzania wenzangu.
Kuna jambo ambalo kiukweli halipo sawa ukilinganisha umri tulionao kama nchi kutokea tupate uhuru kutoka kwa mkoloni mpaka sasa.
Leo nataka nizungumzie suala la uchakavu, ufinyu au hata kukosekana kwa baadhi ya miundombinu muhimu hasa kwenye baadhi ya...
Majeshi ya Israel yaendelea kuyaharibu mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hamas huko Gaza. Hapo chini inaonekana handaki lenie zaidi ya kilomita moja likiangamizwa kwa ustami mkubwa na majeshi ya Israel
SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU MUHAMBWE
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya elimu Sekondari hususan ni shule za Busagara na Kumgogo zilizopo halmashauri ya Tandahimba kwa kadiri ya upatikanaji wa...
Juzi nikiwa katika safari zangu nilipita Urambo, nilipofika katika Stendi ya Wilaya ambapo basi letu lilipita hapo, nilishangazwa na muonekano wa Kituo hicho, kilikuwa ‘too local’, mazingira yake sio mazuri na ukweli hali hiyo inasikitisha.
Tulishuka na wenzangu kadhaa na kwenda kwenye vyoo vya...
Hapa ni roundabout ya kawe hadi karibu na njia ya ilipokuwa triple 7... Mvua kidogo tu hali imekuwa hivi...
Barabara nyingine hazina mitaro, nyingine mitaro imeziba. Sijui huwa wanazingatia nini wanapojenga hii miundombinu, wawawazi hali tofautitofauti za hewa.
Juzi nilikuwa Morogoro kwenye Mtaa wa Mganza, Kata ya Mindu, nilikutana na moja ya changamoto ambayo ukweli inawaumiza Wakazi wengi wa hapo.
Nilichokiona ni kuwa Wananchi wengi wa hapo wanakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya Barabara hali ambayo imesababisha athari kadhaa hasa kwa...
Tarehe 20 Machi, Adnan Mpyagila, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nachingwea, amefanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi wa shule za sekondari. Ameangalia ujenzi wa Shule ya Sekondari Kata Mtua ,Kata Chiumbati, Rugwa Boys (mabweni), Shule ya Kata ya Nachingwea, na Shule ya Naipanga Sekondari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.