Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,205
- 15,162
Baraza la Mitihani NECTA ilizifutia matokeo shule kadhaa baada ya kubainika kufanyika kwa Udanganyifu kwenye mitihani ya Darasa la Saba iliyofanyika September 2021.
Na kwa kuwa Wanafunzi hawahusiki na udanganyifu huo, wana haki ya kurudia mitihani yao ili kutoathiri maendeleo yao ya Kitaaluma.
Baraza la Mitihani limetangaza kuwa wanafunzi hao takribani 2194 watarudia mitihani yao tarehe 21 na 22 ya Mwezi Disemba 2022.
Hivyo wazazi wanaaswa kuhakikisha kuwa kwa namna yeyote ile mwanafunzi hakosi kuhudhuria katika mitihani husika.
Pia Jisomee

Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo
Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule. Naombeni...
www.jamiiforums.com