miti

  1. Natafuta Nguzo za miti (Wooden Poles) kwa ajili ya kuzungushia uzio

    Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu! Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo Morogoro au...
  2. Videos : Hili sakata Yanga tunapigwa Miti kila sehemu. Huku Simba wamenyamaza tu

    Inauma sana. Tumekuwa tunashambuliwa na kila mjuzi wa soka. Hadi watu wetu wenyewe wanatugeuka kuwa hatuna akili. Simba wao wamenyamaza tu kama hawahusiki. Viongozi why lakini? Je ni kuficha aibu ya matokeo ya barua ya CAS? tumeamua kutafuta kichaka cha kujifichia? Sasa tunachimba shimo...
  3. Nasikia wakristo wakishika miti ya minazi mnazi unakufa na mkristo akipanda mnazi unakufa

    Wakuu nasikia hivyo wakuu leo nimekaa kijiweni na wazee wa pwani hapa pwani ya pangani wanasema kwasababu mti wa minazi ni twahara kwa maana hiyo ili upande unatakiwa uwe twahara ukiushika huo mti wa mnazi wakuu je ni kweli wakuu?
  4. U

    Jamaa anadai miti ya michongoma na miashoki haramu kupandwa majumbani kwani mayahudi wataitumia kujificha ndani yake kabla na kiama!

    Wadau hamjamboni nyote? Ni mambo ya Imani na siwezi yabishia kwani wenyewe wanaamini hivyo Bado nawaza nifanyeje kwani nahofia.nosijeipanda miti hiyo kisha baadaye mayahudi wakaja jificha Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
  5. Plot4Rent Shamba la miti linauzwa Njombe

    Habari ndugu, KUNA SHAMBA LA MITI AINA YA MIPAINA LINAUZWA, Shamba lipo mkoa wa Njombe, wilaya ya Njombe mjini, kata ya Kifanya, kijiji cha Lilombwi. Lina ukubwa wa ekari 20, na kila ekari inauzwa kwa shilingi 1,200,000/=. Unaweza kununua kuanzia ekari tano. Miti ina muda wa miaka minne tangu...
  6. C

    Kampeni za upandaji miti Kitaifa ziliishia wapi?

    Miaka fulani kulikua na kampeni ya Kitaifa upandaji miti January Mosi ghafla ikahamishiwa Aprili ghafla ikapotea. Tumetoka mbali ndugu zangu
  7. Cairo: Jiji lenye wakazi zaidi ya milioni 23 bila kuwa na miti hata ya kivuli

    Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni wa kunywa kahawa na chai mchana bila kusahau shisha..Ni Bora zaidi kuishi miji ya East Africa kwa...
  8. Ni Dawa gani utumie au ufanyeje kwa njia za Miti Shamba kama ukihisi Umelishwa Sumu au Umekula Sumu ili uweze Kupona na Usife au Usidhurike?

    Nimeanzisha huu Uzi Makusudi nikiwa nataka kuwasaidia Watu hasa hasa kwa mwaka huu na Nyakati tulizopo kwa sasa.
  9. K

    Mwambisi Forest yashinda Milioni 50 Kampeni ya upandaji miti ya NMB

    Shule ya Sekondari ya Mwambisi Forest iliyopo Kibaha, mkoani Pwani, imeibuka mshindi wa kwanza kitaifa katika kampeni ya upandaji miti iliyoandaliwa na Benki ya NMB, na kuzawadiwa Shilingi milioni 50. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi hiyo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala...
  10. Zaidi ya miti milioni 226 imepandwa Tanzania nzima

    ZAIDI YA MITI MILIONI 226 IMEPANDWA TANZANIA NZIMA Kupitia kampeni ya kitaifa ya upandaji miti millioni 1.5 kwa kila Halmashauri nchini, jumla ya miti milioni 226.97 ilipandwa kwa mwaka 2023/2024 ambapo miti milioni 211.81 ndiyo ilistawi ikiwa ni sawa na asilimia 76%. Tathmini ya miti...
  11. Ubunifu: urembo kwa kutumia vipande vya miti

  12. Funzo: Hakika Penye Miti hakuna Wajenzi

    --- BTW - Mwenye kujua jina la mwimbaji / jina la wimbo sikiliza dakika ya 2:53
  13. Katika malighafi zote za bunifu na sanaa mbalimbali, malighafi zitokanazo na miti zinaongoza kwa mbali

    Huu utafiti umetokana na mada za ubunifu nilizopost mwezi uliopita kwenye majukwaa mbalimbali Malighafi zitokanazo na miti na mazao yake zimejitokeza karibia kila mahali Hapa Nita post bunifu mpya Kali na nzuri zitokanazo na hiyo miti na bidhaa zake
  14. KERO Responded Jengo la Walimu katika Shule ya Msingi Nsololo (Tabora) lililoezuliwa paa limetelekezwa mwezi wa pili sasa

    Jengo la Shule ya Msingi Nsololo lililoezuliwa paa limetelekezwa Walimu wanakaa chini ya miti Nimefika Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, kuna jambo limenisikitisha na baada ya kuwauliza Wenyeji, nguvu ndio zimeniisha kabisa. Nimeambiwa huu sasa ni mwezi wa pili na nusu kuna jengo la Walimu katika...
  15. Part 2: Ubunifu utokanao na miti, magogo na mbao… Kazi za viwango

    Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe... Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu kama rohoni mwako na kichwani mwako umejawa na stress za kila aina ... Na hata kununua pia😀
  16. Ubunifu; vigoda vya mbao, miti

    Hivi vigoda/stuli ni very special. Hakuna msumari hata mmoja uliotumika na bei yake ni kichaa.. Na wengi huvitumia kama urembo na si matumizi halisi ya kukalia.. Hivi havipigwi polishi bali hupakwa Silla
  17. Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

    This is Africa and its traditions Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako 1: Muembe 2: Mbaazi 3: Muashoki 4: Mpanga Uzazi 5: Mbuyu Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza miti ya aina hio Hio miti inapendwa na wachawi, Majini na mapepo ya Kila aina. Chukua tahadhari...
  18. Ubunifu wa kutumia majani ya miti

    Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza kwenye ubunifu na sanaa tutatatua tatizo la ajira kwa kiwango gani... Wahitimu wengi watapata ajira na...
  19. Shamba la mitiki linauzwa lina zaidi ya miti elfu 1700 karibu ununue karibu uwekeze kwa uwaminifu sana lipo tanga korogwe

    Habari za wakati huu ndugu zangu najua wengi mmesikia kuhusu kilimo cha miti ya mitiki hekari moja inaweza kukuingizia zaidi ya milion 300 kwa hekari moja kwa miti iliyokomaa. sasa basi lipo shamba lenye hekari 6 lenye miti zaidi ya 1700 lililopo tanga korogwe lenye miti ya miaka 12 mpka 14...
  20. Ubunifu saa za ukutani za mbao na miti

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…