Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya...
Siku hizi kumekuwa na utapeli mkubwa sana kwa njia ya mtandao, leo nitaelezea njia ya biashara na namna unavyoweza tapeliwa.
Biashara ni nyingi sana mtandaoni kama biashara ya nguo, viatu, simu, laptop na nyingine nyingi. Wapo wafanyabiashara ambao siyo matapeli na wapo matapeli.
Namna ya...
Habari za muda huu wana Jf.
Wiki hii nikipita karibia kila mitandaoni naona msemo wa 'afutatu' unatembea sana, kwenye status, memes nk mpaka imekuwa kama upuuzi fulani.
Nimepata shauku ya kujua imeanza vipi mpaka kupata muitikio mkubwa kiasi hiki na kushika trend ya mitandao ya kibongo?
Picha...
Dada moja aliyeenda kufanya kazi za ndani huko nchini Saudi Arabia, aliishia kupewa kazi ya kumnyonyesha mbwa 🐶 wa tajiri wake na kusababisha laana kubwa sana nchini Kenya.
Kumekuwa na malalamiko mengi sana toka kwa wananchi wa mataifa ya Afrika Mashariki kuhusiana na vitendo vya kinyama...
Habari za muda huu wana JF
Nimesikia vilio watu kupigwa kwenye Kalyinda nimeamua kuwaletea mbinu yangu niliyopata mwaka wa mwisho wakati namaliza kozi za Uwabata nchini Cuba (joking)
Mimi siamini kabisa katika pesa za kudownload yaani umekaa kiboya pesa zije kirahisi bila kutolea jasho naona...
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi watuhumiwa hao ni Innocent Adam Chengula na Tarzan Alfan Mwambengo wanaodaiwa kutumia picha na jumbe za simu zinazomuhusisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo kwa lengo la kutapeli pamoja na kuzusha kifo cha Dr. Mwakyembe.
Baada ya upekuzi walikutwa na Kadi za Simu...
Matumizi ya mitandao ya kijamii inazidi kuongezeka kila siku na usipokuwa makini utaishia kuamini taarifa za uongo kila siku.
Leo tumeona Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akikanusha taarifa za kwamba serikali imeunda kamati ya watu 200 kupitia tozo na kusema kwamba si kweli kwani...
Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi.
Marekebisho yafuatayo...
baada
breaking news
bungeni
kazi
kuanzia
kuhusu
kupungua
kusoma
mitandaoni
muda
mwigulu
nafuu
news
oktoba
septemba
serikali
tozo
viongozi
waziri
wengi
yafuta
Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
african leaders
afrika
baada
basi
biden
comments
daladala
kupanda
kwao
london
lumumba
mabasi
magufuli
marais
mataifa
mheshimiwa
mitandaoni
moja
msiba
ndugu
ndugu zangu
nyerere
pamoja
rais
rais biden
rais samia
samia
serikali
suala
ufafanuzi
uhakika
uingereza
viongozi
wawakilishi
wazungu
Hawa mawaziri wetu wamekuwa kama yule mpuliza filimbi wa Hamelin I kelele nyingi sana; wanashindana na MITANDAO leo nimeona kwenye tangazo moja mchele supaa kabisa kilo 1500 kutoka mikoani , akini kwa madukani na rejareja hapa Dsm Mchele unaofaa kula Sasa hivi ni 2800 na 3000.
Kwaninj tumefikia...
Yaani ukitaka ku- access akauntiz(mfano ya twitter au Instagram ) ya mtu kama Diamond, Ali Kiba, Mayele, Sakho, Chama, Wema, n.k, ukiwa humu nchini, shariti kwanza ulipe 500, then kupitia simu yako, unatumiwa password maalumu itayokuruhusu kuingia katika akaunti ya huyo mtu maarufu .
Nadhani...
Kila ukihojiwa na Media Outlets mbalimbali kuhusu Ujio wa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki unaruka Kimanga na Kukanusha Ujio wake, ila katika Social Media Platforms zako kila mara unafanya Teasing ( Unatutamanisha ) kuwa anakuja au utamtangaza muda Wowote.
Ama ubaki na Kauli yako kuwa haji au...
Kuwapa Watoto Mwongozo wanapotumia Majukwaa la Kidijitali ni njia mojawapo ya kudhibiti hatari za mtandaoni zinazoweza kusababishia madhara
Kwa mujibu wa Shirika la UNICEF. inakadiriwa Mtoto Mmoja kati ya Watatu ni Mtumiaji wa Intaneti. Aidha, Mtumiaji wa Intaneti Mmoja kati wa Watatu ni Mtoto...
Ulinzi na usalama wa mtoto mtandaoni haumaanishi kudhibiti mambo mtoto anayoyaona mtandaoni au watu anaoongea nao pekee, lakini ni pamoja na vitendo vyote vinavyomuhusu mtoto vinavyofanyika mtandaoni kumdhalilisha au kuutweza utu wake.
Kushea, kupakia na kudaunlodi picha au video zenye maudhui...
Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa kabisa.
Nimehisi huenda labda limeletwa na mojawapo kati ya haya mambo mawili lakini bado sioni...
Habari wana JF,
Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita.
Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado inahitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi...
Kijana mmeba box nikipata nafasi ya kupumzika huwa napitia sana mitandaoni si unajua huku hauli bila kazi, kilichonishangaza ni update za Vijana waliopo Tanzania wakishangilia ubabe wa Putin na story kuhusu uharibifu wa Putini. Nikajiuliza Vijana hawa wanafahamu balaa lililopo mbele Yao hawa...
Leo Klabu ya Simba imekabidhiwa Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Tumeshinda tuzo hii baada ya kuvishinda kura vilabu vya Azam FC, Mbeya City, Ruvu Shooting na Yanga SC.
Chanzo: Simba SC Tanzania
Mnatumia nguvu Kubwa kufanya...
Baada ya Shirikisho la Riadha Tanzania, Kamati ya ufundi na Kocha wa timu ya Taifa , Suleiman Nyambui kumfukuza Mwanariadha Failuna Abdi Matanga,
Gidabuday alihoji uhalali wa kumfukuza Mwanariadha huyo, ndipo alipopata Vitisho na Mengine.
Gidabuday Anasimulia hapa;
Juni Mosi nilibishana sana...