Licha ya Sheria ya Mazingira, 2004 kukataza upigaji wa kelele unaosababisha kero kwa Wananchi, bado suala hilo limekuwa kero katika maeneo mbalimbali nchini.
Sheria hiyo kifungu cha 3 inatafsiri kuwa kelele ni kila uchafu zi usababishwao na sauti ambayo kwa asili inakataliwa au ile iwezayo...