Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,332
- 21,759
Watu tuliowapa dhamana ya kutulinda, mali zetu, mipaka yetu, usalama wetu kiujumla na kutuletea maendeleo ndio hao hao wamegeuka kufanya mauaji ya halaiki.
Kama haitoshi wamefungia mitandao kama huu wa jamii forums, wameua watoto wasio na hatia, vijana na akina mama waliokuwa wametulia nyumbani.
Kuna baadhi ya members wanakuja kukejeli hapa jukwani swali langu kwako Maxence Melo tukiwatukana ni kosa kipindi hiki JF imefungiwa?
Binafsi niko tayari kurudi rodi kwa mara nyingine, ila awamu hii naomba turudi na mbinu mpya, maana ile ya zamani tuliishia kukoswa koswa na masniper waliokuwa wamejificha.
N.B CCM HII MISIBA NI YAKWENU MMEAMUA KWA MIKONO YENU WENYEWE KULIBOMOA TAIFA MLILOLIKOMBOA NA KUWAAHIDI WATZ MEMA, ILA MMEWALIPA KWA KUUZA ROHO ZAO.