mishahara

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbozi: Walimu wawataka viongozi wapya CWT kuishauri serikali kuondoa makato ya asilimia mbili kwenye mishahara yao

    Baadhi ya walimu na Wajumbe wa Chama cha Walimu (CWT), wilayani Mbozi, mkoani Songwe, wameomba viongozi waliochaguliwa kuwaongoza kwa awamu nyingine kuhakikisha wanatetea maslahi yao ikiwa ni pamoja na kuishauri serikali kuondoa makato ya asilimi mbili ambayo hukatwa kwenye mishahara yao ...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Benchi la ufundi Singida Black Stars ladai mishahara ya miezi miwili

    Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji, huku benchi la ufundi likikabiliwa na hali ngumu, hasa wakati huu wa kuelekea Sikukuu ya Eid.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

  4. immortanity

    JamiiForums Tanzania WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

    Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuwalambisha nyongeza mishahara ya Ma DED na posho za madiwani

    Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho za madiwani. "Tuachieni tufanyie kazi, wanasema mcheza kwao hutunzwa, sasa ngoja tukaangalie huo...
  6. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hawa watangazaji huwa wanalipwa mishahara? Maana wanafaidi sana

    Kuna huyu Mwamba anaitqa Sunday Temba kipindi cha mapishi ITV, Mwamba anafuatilia mapishi yakikamilika tu anasogeza pembeni anapiga 😀 Alianza kutangaza akiwa mwembamba sasa hivi ana kitambi. 2.Margareth Geddy Huyu dada anatangaza kipindi cha Hoteli zetu Safari channel, Kazi yake ni kutembelea...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa Simbachawene,ni maandalizi ya watumishi kupungunzwa makazini au ongezeko la mishahara!!?

    Kuna Kila dalili la anguko la uchumi wa Dunia Hadi sasa,Kuna dalili za mabenki kufilisika huko tuendako,je tunaandaliwa kisaikilojia!!? Au ni Ile mbinu ya jk enzi zile ambayo dokta anaeozea mahabusu aliishtukia kipindi kile!!? Wajuvi mje mjazie nyama hapa!
  8. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Aibu Chuo Kikuu Dar es Salaam kuajiri wahitimu kisiwalipe na kutowapa mikataba ya kazi

    Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs). Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RETREAT YA CHADEMA: Azimieni kuwatetea kundi kubwa la Watumishi wa Umma kuhusu kupandishiwa Mishahara mtanishukuru baadae

    Kiukweli hili ni kundi kubwa sana sema kisiasa Wapinzani hawalipi Umuhimu unaostahili. Kundi hili limeathirika kwa muda mrefu sana toka kipindi cha Magufuli takribani Miaka 10 kuna watu hawajapata Nyongeza yoyote ya maana zaidi ya hizo elf 20 ilihali kiuhalisia Gharama za Maisha zimepanda...
  10. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanapaswa kulipwa zaidi ya wanawake kwa sababu ya expectations za jamii zetu

    Leo nilikua nimekaa kwenye Cafe flani nikasikia mazungumzo ya watu nyuma yangu wanabishana kuhusu malipo na mishahara ya watumishi wa serikali kati ya wanawake na wanaume. Kwamba wanaume wanapaswa kulipwa zaidi ya wanawake kwa sababu ya expectations za jamii zetu na familia juu yao ni kubwa na...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China Tanzania Security yafafanua madai ya Walinzi wa Vituo vya Mwendokasi kutolipwa mishahara ya miezi mitatu

    Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa vya Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi mitatu na kuwa wakidai...
  12. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mliosoma EMS na Private schools, na huku maofisini tupo wote na tunawazidi mishahara mnajisikiaje, kuzidiwa na sisi wa St Kayumba?.

    Eti nyie wazazi mnajisikiaje yaani watoto wenu wamesoma kwa gharama kubwa, halafu huko maofisini walipoajiriwa wanazidiwa Mishahara na watoto wa ST KAYUMBA. Hivi hamuumii kama watu waliochoma Chanjo ya corona, wakituona ambao hatujachanja tunaishi vizuri?. Maana huku ofisini naona watu...
  13. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Sio tu kulipa faini sisi mashabiki wa Simba tuko tayari kuchangia timu ifanye usajili wa maana na hata kulipa wachezaji mishahara

    Tajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu Hizo kelele na kebehi za mashabiki wa Yanga usizingatie sisi tuko tayari kuichangia timu yetu kipenzi simba ili isonge mbele zaidi ya ilipo sasa Tuko tayari kuipigania timu yetu simba...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi zenye mishahara mikubwa Tanzania

    Top 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania 1.UCSAF 2.TPDC 3.TCRA 4.TASAC 5.LATRA 6.PSSF 7.EWURA 8.REA 9.TANAPA 10.TBA
  15. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mishahara ya watumishi ambao wapo ngazi moja inatofautiana? Je, Utumishi huwa mnafanya kazi kisayansi kweli?

    Moja ya Jambo ambalo sikuwahi kulielewa wakati nipo TZ ni hili! MD aliemaliza MUHAS na kwenda kufanya kazi Hospital za Wilaya , hardly kuwa na take home inayozidi laki 9 . The same MD aliyemaliza MUHAS akaenda MNH , take home yake inazidi 1M . Wote hawa wawili wapo level moja ya UDAKTARI wote...
  16. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Disemba 19 kama leo mwaka fulani, Hayati Magufuli alilipa mishahara kwa watumishi wa umma

    Hayati Magufuli alipokuwa Rais wa awamu ya tano alikuwa ni mtu asiyetabirika. Mwaka fulani katika utawala wake, alilipa mshahara tarehe kama ya leo. Imagine upo zako lindo unapokea sms ya salary pasipo matarajio Maandalizi ya krisimasi yakawa mazuri. Niwatakie Sikukuu njema ya Krismas na...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mishahara elekezi ya kulipa madada wa kazi kulingana na Shirika la kutetea haki zao. Chini ya Elfu 60 haikubaliki!

    Wakuu, Najua humu jukwaani kutakuwa kuna watu ambao majumbani mwenu mtakuwa na madada wa kazi ambao huwasaidia na shughuli za nyumbani Hivi karibuni kumekuwa na shirika ambalo limejitokeza kutetea haki za madada wa kazi Shirika linaloitwa initiative for domestic workers Akizungumza kwenye...
  18. S

    JamiiForums Tanzania licha ya kutoa mishahara kidogo lakini Tanzania imeshindwa kuajiri vijana

    wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto. mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwa Mishahara hii minono kwa Wachezaji hawa wa Kigeni Tanzania, Je, Wanavitendea haki Vilabu vyao?

    Wakuu Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao? == Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi Kuu Tanzania mwaka 2024, na viwango hivi ni kwa mwezi; Jhonier Blanco (Azam FC) – TSh. Milioni...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye mishahara mikubwa kwa wafanyakazi wake

    Mishahara inaendelea kuwa sababu kuu inayowashawishi watu binafsi kukubali kazi, na katika nchi nyingi za Afrika, wafanyakazi, hasa wale walio na majukumu ya kulipwa, hupokea fidia ya ushindani. Hii kimsingi inachangiwa na ukuaji mzuri wa uchumi na mahitaji makubwa ya ujuzi maalum. Ripoti hii...
Back
Top Bottom