mishahara

  1. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo taasisi za afya zenye mishahara mikubwa

    1. Osha 2. NIMR 3. Ocean Road 4. NashCop 5. MOI 6. NACP 7. TMDA 8.Muhimbili 9.Benjamini Mkapa hospital 10.MSD 11.Jakaya kikwete Cardiac Institute (JKCI) 12. 13. Kama kuna zingine ongezea NB: uzi uliokuepo hakuongelea sana taasisi za Afya.Taasisi za serikali Usitoke nje ya Rada Pia soma...
  2. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha nyongeza ya mishahara ya kila mwaka (annual incriment) na tucta ipo kimya tuu

    Mwaka jana mama alitangaza kurudisha ile nyongeza ya kawaida ya kila mwaka baada ya kusitishwa na Raisi Magufuli, Pamoja na kupandisha vyeo wafanyakazi ambapo walikuwa wamesitishiwa .. Tumeona wafanyakazi wakipanda vyeo kwa mujibu wa sheria japo kuna miaka iliyodhulumiwa vyeo Yaani mwaka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni wafanyakazi wote wa serikali wamelipwa mishahara mwezi huu wa August?

    Nauliza swali hili kwa lengo la kujiridhisha kuhusiana na taarifa fulani ila kwa sasa naona sio busara kuzitaja ila majibu yatanisaidfia kupata walau picha halisi. Naomba tujuzane kama kuna watumishi ambao bado hawapata mishahara mpaka leo hii.
  4. Copro mtego

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Atlas school inatesa waajiriwa wake kwa kutowalipa mishahara

    Hii ni shule ya mtu binafsi ina matawi mawili Madale na Ubungo. Mmiliki wa shule hizi anatumikisha vijana bila kuwalipa anawalisha tu chakula cha wanafunzi na kuwatunza kama wanafunzi ila hawapati posho zao kama wanavyoahidiwa mwanzo. Mtu ameanza kazi miezi mitano bila kulipwa ukidai anakujibu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Jiji la Dar kuchelewesha mishahara

    Mamlaka ya Jiji la Dar es Salaam hailipi mishahara kwa waajiriwa wake kwa wakati, kwa mfano mshahara wa mwezi May ulilipwa tar 06.0.6.24,Wa Mwezi June ulilipwa tar 02.08.24 mwezi July haujalipwa mpaka leo. Wanaodai mshahara wanatengenezewa zengwe na kufukuzwa kazi.
  6. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Sheikh Bombo: Viongozi wa Dini tuingizwe kwenye payroll ya Serikali

    Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na kuhamasisha maendeleo Nchini Tanzania ambapo amependekeza kiwango chao cha chini cha mshahara kisipungue...
  7. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu kiongozi kiongozi umeshindwa kumshauri Rais kuhusu mishahara ya watumishi wa umma? Tukiibia serikali mtatulaumu?

    Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo Yaani haiwezekani mtumishi wa...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wafanyabiashara wakiskia tu tetesi za kuongezeka mishahara hapohapo tamaa inawashika wanapandisha bei bidhaa .

    Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo unaoleta wasiwasi tukisema tufanye kitu huko tutafeli V8 Tulizonunua zinahitaji wese. Liwe tu...
  9. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Tuliambiwa Mama atasema Jambo Nyongeza ya Mishahara, Hadi Leo Bado Tu hilo Jambo Jamani!

    Katika Mei Mosi ya mwaka huu 2024, Makamu wa Raisi wakati akihutubia akimwakilisha Raisi alisema suala la nyongeza ya mshahara tusubirie Jambo kutoka kwa Raisi mwenyewe. Tunavyofahamu nyongeza ya mshahara hubadilika katika mshahara wa Mwezi July, sasa mpka tarehe ya leo 14 July hakuna tamko...
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania naomba kujua mishahara ya maafisa habari / wasemaji wa vilabu vya nbc premier league ukiondoa tu wanaolipwa vyema wa yanga, simba na azam tafadhali

    kuna wa klabu moja nasikia pamoja na mikogo yake yote popote pale alipo analipwa shilingi laki tano tu ya mafungu
  11. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walimu wote waanze na mishahara sawa, mwalimu wa science kuanza na mshahara mkubwa ni dharau kwa walimu wengine

    Leo tena nimekuja kulalamika, Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini? Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake? Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science, Sawa. Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi? Shule ni zile zile, Wanafunzi wale wale, Tena wakifika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wafanyabiashara wakigoma, kwa nini wafanyakazi nao wasigomee mishahara midogo? Serikali haiongezi mishahara kwa kiburi.

    Hebu mjitafakari hasa walimu na watumishi wengine. Tgs A ni shilingi za kitanzania 330000 kwa njinsi maisha yalivyo magumu. Hii pesa mtu unaweza kutoboa kweli? Sukari bei juu, kodi ya pango juu, alafu mei mosi inapita patupu bila nyongeza ya mshahara. Wafanyabiashara wamegoma na...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewesha mishahara au haina pesa?

    Mishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka. Hili ni tatizo na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni. PIA SOMA - Kuanzia...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

    Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka. Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni. UPDATES: Habari hii imekanishwa. Zaidi soma...
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
  16. Sijali

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Cptn. Ibrahima Traore apunguza mishahara ya wanasiasa

    https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm Huko ni Burkina Faso. Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka lengo la kutonunua chakula kutoka nje katika miaka mitano ijayo, pia kutengeneza asilimia 60% ya nguo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mgawanyo Bora wa Madaraka na Mishahara ya Wafanyakazi wa Umma

    Tanzania tunayoitaka ni taifa linalojengwa juu ya misingi ya usawa, haki, na maendeleo endelevu. Moja ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo ni mgawanyo usio sawa wa madaraka na mishahara kwa wafanyakazi wa umma. Wakati wabunge wakipokea mishahara mikubwa, watumishi muhimu kama walimu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Umasikini kwa Wafanyakazi sio Mishahara midogo bali ni Ukosefu wa Elimu ya Kifedha

    Habari za Harakati za kiuchumi. Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo. Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira akipata 10millioni akiwa mtaani anaweza kuikuza na kuwa tajiri kuliko wewe. Ila wewe unaweza kupata mkopo...
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa watu walioajiriwa katika nyadhifa moja wanaweza kuwa mishahara tofauti serikalini?

    Nimeona sehemu kuwa utofauti wa mazingira ya kijijini unaweza kumuongezea mwajiriwa kigezo cha kuongezwa fedha ya mshahara. Naomba kuthibitisha kutoka kwenu.
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Maprofesa yapoje?

    Nilitaka kufahamu hawa wasomi wetu wanaofundisha na kufanya tafiti nchini hususani waliopo vyuo vikuu vya umma. Maslahi yao yapoje?
Back
Top Bottom