mishahara

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea atakayetuahidi kufyekelea mbali mishahara na posho nono za Wabunge na Wanasiasa, tutampa kura

    Sasa, sasa: kama kweli Mgombea huyu wa Upinzani ni jasiri wa kutosha na mwenye uchungu na sisi wavunja jasho na walipa kodi wa nchi hii, atuahidi hadharani katika kampeni zake kwamba tukimchagua atafyekelea mbali mishahara na maposho manono manono ya wabunge na wanasiasa. Na kwamba atafuta...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Serikali inachukua hatua gani juu ya mishahara finyu na kandamizi inayotolewa Viwandani?

    Nashangaa sana Serikali inafumbia macho hili swala la mishahara viwandani, watu wana kandamizwa sana. Ujira mdogo na hawapati pesa ya maendeleo bali kula tu na nauli. Kwanni serikali imefumbia macho kuhusu hili? Sometimes wanasema vijana hawataki kazi lakini mtu anakaa Gongo la Mboto na kazi...
  3. JamiiForums Tanzania Suala la Mishahara ya wafanyakazi wa serikali: Tuzungumze mazuri na mapungufu katika suala hili nyeti, tuweke siasa pembeni

    Naomba kwanza suala mishahara ya watumishi wa serikali lieleweke tu kuwa si la kulichukulia mzaha mzaha na kulibeba tu kuhamia nalo majukwaani! Kuna mambo makubwa matatu hapa yamejitokeza tuyachambue kwanza: Annual increment: suala hili namlaumu President Magufuli kwa kuwa amelichukulia mzaha...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Suala la mishahara linakuzwa mno, tuzungumzie maslahi ya watumishi kwa ujumla

    Mjadala na propoganda ya mishahara kwa watumishi wa umma inakuzwa mno na Wapinzani kama mtaji wao kwenye kampeni hizi bila kuzingatia hatua zilizochukuliwa na Serikali ya awamu ya tano kuhusu uboreshaji wa maslahi kwa Watumishi wa Umma. Ieleweke kuwa mishahara ni sehemu tu ya maslahi katika...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Nimeshangaa Magufuli kusema ameongeza mishahara kwa watumishi wa Serikali kimya kimya miaka yote mitano

    Akiwa mkoani Mara Mgombea wa CCM Dkt John Magufuli kwenye uzinduzi wa kampeni katika mkoa huo Mgombea amesema kuwa "naskia kuna mtu anasema sijaongeza mshahara watumishi wa umma ,Watumishi wa umma nimewaongezea mshahara kimya kimya " Aliendelea na kusema kuwa ukipandisha madaraja huongezi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Siwezi kudanganya watumishi wa umma kuwa nitawapandishia mishahara!

    Hayo ameyasema Leo akiwa mkoani Mara kwenye kampeni za kuomba kuchaguliwa kwa miaka mitano ijayo. Ahadi hii imeniacha na maswali mawili Kama ifuatavyo: 1 Je huyu mgombea anawachukuliaje watumishi wa umma? Huwaona Kama wanaokula bure?, au makondoo tu wasio na lolote.! 2 Nini mtazamo wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wafanyakazi msidanganywe serikali imepandisha mishahara kwa kupandisha madaraja na kupunguza kodi ya PAYE

    Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE. Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka. Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu zungumzia pia hoja ya serikali ya CCM kushindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma na malimbikizo mengineyo

    Tundu Lissu,mbali na serikali hii kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kama sheria inavyotaka,lakini pia imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma licha ya watumishi kutakiwa kujaza form za madai ya malimbikizo yao mara kwa mara. Kwa wasiolewa,wako baadhi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Huku Kampeni zikiwa zimeshaanza na Uchaguzi Mkuu kukaribia hatimaye Rais wa 'Malawi ya Kaskazini' awapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wote

    Kwa tulioko hapa nchini 'Malawi ya Kaskazini' tunajua kuwa sasa Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeshaanza japo nimegundua kuwa kumbe kwa mara ya Kwanza Uchaguzi Mkuu wa hapa 'Malawi ya Kaskazini' umefanana mno 'Kiratiba' na ule Uchaguzi Mkuu ambao nimesikia kuwa unaenda Kufanyika pia kwa 'Majirani'...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kweli kabisa Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa wafanyakazi stahiki zao na mishahara minono

    Hata kwa makusanyo hayahaya ya Kodi inayokusanywa mwaka huuhuu wa 2020. Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa vizuri watumishi,wastaafu na hata mikopo yenye riba nafuu kwa wanafunzi na kuwapunguzia mizigo ya ada wazazi. ITAWEZAJE Serikali ya Lissu haitakua na matumizi ya hovyo,ya kijinga na...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madaktari wa Nairobi waanza mgomo kwa kutolipwa mishahara

    Shughuli katika hospitali za umma Nairobi, Kenya zimekwama baada ya madaktari kuanza mgomo wao. Hayo yanajiri baada ya madaktari hao kutoa ilani ya siku saba kwa kile wanachokitaja kuwa ni mazingira mabovu ya kazi. Mgomo wa madaktari hao ulioanza usiku wa manane huku maambukizi ya COVID 19...
  12. JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Mishahara na Malipo Mengine yaruhusiwe kupitia waleti za simu

    PENDEKEZO: Mishahara na Malipo Mengine yaruhusiwe kupitia waleti za simu Halopesa/Tigopesa/MPesa/Airtel Money/T-Pesa/waleti zingine Badala ya watumishi katika sekta za umma na za binafsi kulazimika kutumia akaunti za benki kupokelea mishahara, waruhusiwe kupokelea mishahara na malipo mengine...
  13. JamiiForums Tanzania Wachumi mnisaidie: Fedha iliyookolewa kwa kutoongeza mishahara, vyeo na marupurupu watumishi kwa miaka 5 inaweza kulipia miradi mikubwa mingapi?

    Nimejiuliza mambo machache baada ya kusikia rafiki zangu serikalini wakinena jambo. Kuwa, miradi mikubwa kama Stieglers, Ndege nk fedha zilizolipia miradi hiyo ni zile zilizookolewa kwa kutopandisha vyeo, nyongeza ya mishahara,nk. Hii inaweza kuwa wako sahihi? Nisaidiwe!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Utumishi, Wizara ya Fedha na TAKUKURU kwanini mnaruhusu watumishi wa umma kukopea mishahara yao hadi Senti ya mwisho? Hamuoni kuwa inachangia Rushwa?

    Kuna watu wamechukua Mikopo mikubwa sana na ndani ya mkopo hiyo wameongeza mikopo mingine tena juu kwa juu (inaitwa TOP-UP) Sipo hapa kumpangia mtu Matumizi ya Mikopo yake; lakini swali langu je hao watumishi wanaokatwa mishahara yao yote kwa mikopo wanaishije kwa kubakiwa na chenji kwenye...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bodi ya Mishahara Kenya yapinga Wabunge kuongezwa pensheni

    Bodi ya mishahara nchini Kenya imepinga mpango wa kuongeza pensheni kwa wabunge 375 wa zamani. Mkuu wa bodi hiyo, Lyn Mengich, amesema iwapo wabunge wataongezewa pensheni wafanyakazi wengine wa ofisi za Umma watataka mishahara yao iongezwe pia. Wiki hii wabunge nchini humo walipitisha muswada...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ile bodi ya mishahara iliishia wapi?

    Mara ya mwisho tuliona waziri Mkuu akiongea na wajumbe wa bodi hiyo akiwataka wafanye bidii kuweka sawa mapendekezo Yao . Ikumbukwe mheshimiwa Raise alishatoa maelekezo na kuleta natumaini makubwa kuwa mfanyakazi angelipwa kutokana na kazi yake Sasa wajumbe wa hii bodi wameenda wapi Tena? Au...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

    Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa. Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka...
  18. JamiiForums Tanzania Don Nalimison asimamishiwa Mishahara na Serikali Halmashauri ya Jiji la Mwanza

    Wakati Watumishi wote Wamepokea Mishahara yao tangu Jana ijumaa. Mimi Mpaka Leo sijapata. Hii ni dharau kubwa sana kwa Taifa maana sijawahi kupewa barua ya kufukuzwa kazi au kusimamishwa kazi. Tunaongoza Nchi kwa kutumia meno ya mabua. Wapinzani chukieni Nchi yenu CCM na IKULU yao imeshindwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mishahara imekatwa: Poleni Watumishi watia nia

    Pitapita zangu hapa jijini Mwanza zimenikutanisha na watumishi wa umma wenye huzuni, chuki, hasira na kisasi mioyoni baada ya mishahara yao kukatwa kwa sababu walitia nia. Wanasema, mishahara yao ndo uhai wa familia zao, ndiyo uzima wa Babu na Bibi zao vijijini. Wanasema wanawagonjwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kunani wengine hatujapata mshahara wa Julai?

    Mshahara umetoka Jana ila naona wengine bado haujasoma. Mwanzoni nilijua Niko peke yangu ila nimesikia watu kadhaa nao pia wanalalamika Mimi Binafsi sijawahi kutia Nia popote kwahiyo tafadhali Sana. Na hii tabia ya kuingiza mshahara kwa mafungu sio tabia ya uchumi wa Kati. Je, Kuna mwingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…