mishahara

  1. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2020/21 Watumishi wa Umma mwaka wa 5 hakuna nyongeza ya mishahara wala punguzo la kodi

    Awamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa. Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita...
  2. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Miaka 6 kazini, mishahara haikutani

    Wakuu nina miaka 6 kazini, lakini naona hata nikiacha kazi leo sina future wala hela ya kula mwezi mmoja. Nilianza na mshahara wa laki 6 leo nina mshahara wa 2.9M lakini hadi leo sina project wala uwekezaji wowote. Nimeishia kujenga nyumba mbili tu moja kijijini nyingine mjini na zote...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kabla hamjaanza kumsifia Magufuli kwa kulipa Walimu mishahara miezi 2 lazima mtambue haya

    Nina hakika CCM itashinda chaguzi nyingi zijazo na kuendelea kuiongoza nchi hii ya Tanzania. Sababu kubwa ni ujinga + upumbavu wa Watanzania wengi. Samahani najua nimewakwaza wengi kwa neno upumbavu na ujinga ila haya maneno hayana undugu na matusi. Leo unatoa shukrani kwa Rais kisa amelipa...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbass: Kiuchumi tuko vizuri ndio maana hatujashusha mishahara ya watumishi kama nchi nyingine

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amesema, Serikali haijaacha kuwalipa watumishi wake katika kipindi hiki cha #CoronaVirus kwa sababu iko vizuri kiuchumi Ameongeza, “Nchi jirani zimepunguza mishahara lakini kwa Tanzania watu bado wanapata mishara yao tena kwa wakati bila...
  5. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuongeza mishahara ya watumishi wa umma awamu ya utawala huu, alternative hii ingetumika

    Annual increament ni haki ya kila mtumishi wa umma kupata. Ila kwangu Mimi sioni impacts yake katika maisha ya sasa maana ni hela ndogo sana. Ningekuwa mimi mhe. Raisi wa Jmt ningechukua maamuzi ya kuwalipia madeni yote watumishi wa umma kwenye kila taasisi walikokopa particularly mabenki...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali ilijipanga kuongeza mishahara, ila covid19 imeharibu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Haroun Ali Suleiman amesema serikali ilikuwa tayari imejipanga kuongeza viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma, lakini kutokana na janga la corona, utekelezaji wa mpango huo umesitishwa kutokana na nchi kuyumba kiuchumi...
  7. cha1509

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2020: Rais Magufuli atuma salamu za siku ya wafanyakazi, asisitiza waendelee kufanya kazi na kujiepusha na Corona

    Mh. Rais awasihi wafanyakaz wazidi kuchapa kazi katika kipindi ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha kupambana na Covid19 ........ Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Kukosa mishahara sekta binafsi: Ni muda wa Social Security Funds kutoa hata 30% ili watu wajikimu

    Kulingana na yanayotokea kwa watu kukosa mishahara mfano shule binafsi kama tusiime, st Anne Marie na zingine nyingi ilhali watumishi hao wanachangia vizuri tu nssf. Serikali aioni haja ya kuruhusu watu wachukue sehemu ya asilimia 30 tu ya mafao yao ili kujilinda kipindi hiki cha janga la...
  9. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe mishahara waalimu 89,475 wanaofundisha shule binafsi

    Wote tumemsikia rais wetu jana. Ujumbe kwenye ile speech, literally, ni "Mtanzania, chagua ufe kwa Korona au ufe kwa njaa". Amesema lockdown ni nonsense (iwe partial kama ya Kenya/Uganda au flully fledged). Amesisitiza uchumi wa watu na nchi utaporomoka tukifanya lockdown. Lakini, mimi naona...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe walimu wa shule za binafsi mishahara kwa RIBA ndogo kipindi hiki cha Corona

    Serikali iwakopeshe mishahara walimu wa shule binafsi kipindi hiki Cha Corona kwa RIBA ndogo sana. Ikumbukwe kwamba Hawa ni WATANZANIA wenzetu japo Kuna wachache sio WATANZANIA. Serikali ione huruma kwa maelfu ya WATANZANIA watakaoathirika kutokana na janga hili. Binafsi nimetoa machozi...
  11. Kisabulo

    JamiiForums Tanzania Je, Mwajiri kupunguza mshahara wa wafanyakazi bila majadiliano kipindi cha Corona. Sheria inasemaje?

    Habari wakuu, Nahitaji msaada wa sheria. Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi. Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza kulalamika?
  12. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Mishahara Sekta Binafsi Corona (covid 19): Mwajiri analazimisha likizo bila malipo

    Naandika kwa niaba ya rafiki: Ninafanya kazi kwenye moja ya international schools Dar es Salaam. Agizo la waziri mkuu kwamba shule zifunge lilipotoka tulianza likizo na mwezi wa tatu tulilipwa, tulikua tukifundisha kutokea nyumbani. Sasa week iliopita mwajiri aliandika ujumbe kwa baadhi ya...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa wafanyakazi Serikalini na nyongeza ya mishahara yao

    Rais Magufuli alipoingia madarakani kitu cha kwanza alichojitahidi kurekebisha ni jinsi wafanyakazi wa serikali walivyokuwa hawawajibiki kutimiza majukumu yao; alifanya zoezi la ziara za kustukiza maofisini na kuwaadhibu wale waliokutwa na makosa. Zoezi la ziara za kushstukiza pamoja na zoezi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Tanzania lapendekeza makato ya mishahara kupambana na corona virus

    Baadhi ya Wabunge wameitaka serikali kusitisha utekelezaji wa miradi mikubwa ili fedha hizo kwa sasa zielekezwe katika mapamabano ya ugonjwa wa Corona. Sambamba na hilo, wameitaka serikali kupunguza mishahara ya viongozi waandamizi serikalini pamoja na wabunge ili fedha hizo zielekezwe katika...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Watumishi wa umma tukatwe mishahara walau asilimia 2 pesa ikasaidie Serikali kupambana na Corona

    Kwanza niseme wazo kuwa mimi ni muumini wa ahadi za MwanaTANU. Ambapo msisitizo ni uzalendo kwa nchi. Nikiwa Mtumishi wa umma huku nikiiona changamoto ya kupambana na covid-19 napendekeza serikali itukate watumishi wa umma wote walau asilimia mbili za mishahara yetu na pesa iende kusaidia...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tusaidie kampuni ya SKOL Building Contractors LTD itulipe mishahara na NSSF

    Hiki ni kilio chetu wafanyakazi cha zaidi ya mwaka mmoja tangu kuanza kufuatilia suala hili bila mafanikio katika ofisi zifuatazo:- (1) Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (2) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (3) NSSF-Kinondoni (4) Vyombo vya habari vya binafsi na serikali (Shirika letu pendwa la...
  17. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais unalipa mishahara bure Kuna watu hawafanyi kazi

    Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili...
  18. simplemind

    JamiiForums Tanzania Serikali kulipa mishahara wafanyakazi sekta binafsi ili kulinda ajira

    Mtikisiko wa Corona :Serikali ya Uingereza kulipa mishahara wafanyakazi wa sekta binafsi ili kulinda ajira zao. Kwa kweli huu ni utu zaidi ya ujamaa wa Mwalimu Juliazi. ==== Has the national life of this country ever been transformed so completely and at such a speed? In the course of a week...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Katika kuzuia maambukizi ya Covina-19 Waziri wa fedha wa Uingereza amewataka waajiri walipata mishahara ya wanaojitenga na jamii

    Wanaojitenge kwa siku 14 ili wasieneze ugonjwa wanatakiwa kulipwa pesa kamili za mshahara. Serikali itawarudishia pesa hizo waajiri kutokana na kodi ili kuepusha biashara na uchuni kuanguaka. On 17 March, the Chancellor announced an unprecedented package of government-backed and guaranteed...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wanaume wafanyakazi wakatwe asilimia 40 ya mishahara yao wapewe wake zao

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema anatarajia kupeleka muswada binafsi bungeni, kutaka itungwe sheria ambayo itamka mwanamume ambaye ni mfanyakazi, kukatwa asilimia 40 kwa ajili ya mke wake ambaye ni mama wa nyumbani. Makonda alisema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya...
Back
Top Bottom