Kimsingi, wale wote wanaopata shuruba kwenye siasa za upinzani ni wale wasio na ufahamu wowote kuhusu maana halisi ya upinzani kwa Tanzania.
Lakini, wale wachache wanaoelewa huwa hawaingii kwenye misukosuko yoyote na watawala.
Watu wengi kwenye siasa za upinzani wanatumika pasipo wao kujua...