Misri yaiomba Israel iachie nafasi ya misaada kutoka Uarabuni kuwafikia Wapalestina

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,675
48,448
Mpaka sasa Israel inaendelea kusambaratisha kila kitu na kukata huduma zote, wakimbizi 250,000 wamekusanyika wakitegemea UN, misaada inaendelea kukata, mataifa ya Kiarabu yametanguliza Misri ibembeleze Israel iachie nafasi kidogo ya kufikisha misaada.

Hii ni hali ya hovyo sana, kuanzisha choko choko za dini kisha mnaanza kubembeleza.

===============

Debris and destruction on a street in the Jabalia camp for Palestinian refugees in Gaza City on Wednesday. AFP

Egypt is negotiating with Israel over safe corridors in the Gaza Strip through which to send humanitarian aid to the coastal enclave, where hundreds have been killed in Israeli bombardments, security officials said.

The bombing followed a deadly weekend incursion into Israel by Hamas militants.

Egyptian officials said senior representatives from the intelligence services of Egypt and Israel were in talks over Cairo's request.

Egypt, they said, wanted to send food, tents, medical teams and supplies as well as ambulances. It also wants to take some of the wounded to be treated in its hospitals, given that Gaza's medical facilities are overwhelmed and running out of supplies.

If corridors can be carved out for humanitarian purposes, aid will come not only from Egypt, the officials said. Already, Jordan and several Gulf Arab countries are preparing to send aid to Egypt for delivery to Gaza, they said.

The National News
 
Mpaka sasa Israel inaendelea kusambaratisha kila kitu na kukata huduma zote, wakimbizi 250,000 wamekusanyika wakitegemea UN, misaada inaendelea kukata, mataifa ya Kiarabu yametanguliza Misri ibembeleze Israel iachie nafasi kidogo ya kufikisha misaada.
Hii ni hali ya hovyo sana, kuanzisha choko choko za dini kisha mnaanza kubembeleza.....

========================

Debris and destruction on a street in the Jabalia camp for Palestinian refugees in Gaza City on Wednesday. AFP

Debris and destruction on a street in the Jabalia camp for Palestinian refugees in Gaza City on Wednesday. AFP

Egypt is negotiating with Israel over safe corridors in the Gaza Strip through which to send humanitarian aid to the coastal enclave, where hundreds have been killed in Israeli bombardments, security officials said.

The bombing followed a deadly weekend incursion into Israel by Hamas militants.

Egyptian officials said senior representatives from the intelligence services of Egypt and Israel were in talks over Cairo's request.

Egypt, they said, wanted to send food, tents, medical teams and supplies as well as ambulances. It also wants to take some of the wounded to be treated in its hospitals, given that Gaza's medical facilities are overwhelmed and running out of supplies.

If corridors can be carved out for humanitarian purposes, aid will come not only from Egypt, the officials said. Already, Jordan and several Gulf Arab countries are preparing to send aid to Egypt for delivery to Gaza, they said.
Vita ni kitu mbaya sana aise..
 
Kwa nini Misri isifungue mpaka wake na gaza na irihusu wakimbizi kutoka gaza kwenda Misri?

Misri ni wanafiki, kama wanawapemda waarabu wenzao wafungue mipaka wakimbizi wakimbilie kwao. Misri haitaki kabisa kufungua mipaka kusaidia watu wa Gaza.

Misiri ni mnafiki pia kwa sababu alikua anajua Gaza wanapanga shambulio kubwa dhidi ya Israel, akaenda kuwaambia Israel sema Israel wakapuuza hiyo taarifa ya Misri na yakatokea ya kutokea.

Sasa kama huo sio unafiki ni nini?
 
Kwenye hili Misri ni the biggest hypocrite.... Misri ana mpaka wa moja kwa moja na Palestina, anashindwa nini kufikisha hiyo misaada.

In short, Misri kanunuliwa na mataifa ya Magharibi
 
Mbona Misri isifungue mipaka na kuruhusu maelfu ya hao waarabu wakimbilie humo, imezuia mipaka huku ikijifanya kujali, hamna cha Magharibi kununua yeyote.
 
Back
Top Bottom