Wazungu wasitisha misaada yote kwa Wapalestina, itabidi waarabu wasaidie sasa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Licha ya chokochoko zote hizi za hawa magaidi, wengi wanaishi kwa misaada ya aidha Israel au kutokea Uzunguni, ila Waarabu wenzao huwapa tu masilaha ya kufyatua kwenda Israel.

=============

The European Commission has decided to suspend funding for development projects in the Palestinian territories following the aggression of the Hamas terrorist group against Israel.
Details: Várhelyi said "the scale of terror and brutality against Israel and its people is a turning point", following which "there can be no business as usual".

"As the biggest donor of the Palestinians, the European Commission is putting its full development portfolio under review, worth a total of EUR 691m," the commissioner stressed.

Furthermore, the European Commission is immediately suspending payments for existing projects for Palestine, reviewing all projects, and postponing new financing suggestions for Palestinian aid "until further notice".

"The foundations for peace, tolerance and co-existence must now be addressed. Incitement to hatred, violence and glorification of terror have poisoned the minds of too many. We need action and we need it now," Várhelyi summarised.
 
hata wao hawaitaki hiyo misaada yao wala hawajaomba. watasaidiwa na waarabu wenzao. Tatizo wazungu wanajidai sana kuingilia mambo ya watu; hao waarabu wenzao hawashindwi kuwasaidia ndugu zao wapalestina ila wakiwasaidia wapalestina wanaambiwa wanawasaidia magaidi ila wazungu wao wakiwasaidia israel ni poa tu. Wasiwasaidie wakae na pesa zao waone kama hawataishi. Urusi si hiyo hapo walijidai kuisusa mbona wapo wanandunda. Hii dunia ni ya Mungu sio ya wazungu.

Haya mateso wanayoyapata wapalestina ipo siku kibao kitageuka tu na ipo siku itakuwa historia. Na siku hiyo waarabu wote wataungana kuwa kitu moja hiyo israel itasahauilka katika uso wa dunia. Hiyo siku itafika tu hata kama ni 100 years to come.

Kinachowatesa wapalestina ni kuwa wao ni dhaifu wamefungiwa mipaka yote na israel na huku waisrael wanasaidiwa na wazungu pamoja na America. Lakini waarabu wao wanazuiwa kuwasidia wapalestina eti ni magaidi!!! Sasa ipo siku itafika itakuwa kama Russia ilivyoamua liwalo na liwe na hizi Arab countries zote zitaamua kuungana na kuisaidia Palestina hivyo hivyo kwamba liwalo na liwe . Hii siku itafika tu ni matter of time.

endeleeni kufurahi wapalestina kuteseka ndani ya nchi yao wauweni mnavyoweza lakini hamtawamaliza wote watazaliwa wengine. Lakini haya yana mwisho na ipo siku watashinda. Siku hiyo inakuja. Mark my words!!!
 
Aha wapi mlivyo mivivu kazi kuvaa mikanzu na kulea ndevu, bila misaada ya wazungu hamna lolote.....
 
Msaada wanayotoa hao waarabu ni silaha na kuwajengea misikiti basi mambo mengine yanayohusu maendeleo waarabu hawajui.

Mwarabu sio mtu wa kuweza kusaidia wengine hiyo hulka hawana kabisa ndio maana hata wananchi wengi wanakimbilia mataifa ya magharibi kutokea hizo nchi za kiarabu. Waarabu bure kabisa.
 
Licha ya chokochoko zote hizi za hawa magaidi, wengi wanaishi kwa misaada ya aidha Israel au kutokea Uzunguni, ila Waarabu wenzao huwapa tu masilaha ya kufyatua kwenda Israel.

=============

The European Commission has decided to suspend funding for development projects in the Palestinian territories following the aggression of the Hamas terrorist group against Israel.
Details: Várhelyi said "the scale of terror and brutality against Israel and its people is a turning point", following which "there can be no business as usual".

"As the biggest donor of the Palestinians, the European Commission is putting its full development portfolio under review, worth a total of EUR 691m," the commissioner stressed.

Furthermore, the European Commission is immediately suspending payments for existing projects for Palestine, reviewing all projects, and postponing new financing suggestions for Palestinian aid "until further notice".

"The foundations for peace, tolerance and co-existence must now be addressed. Incitement to hatred, violence and glorification of terror have poisoned the minds of too many. We need action and we need it now," Várhelyi summarised.
Kazi kweli kweli!
 
hata wao hawaitaki hiyo misaada yao wala hawajaomba. watasaidiwa na waarabu wenzao. Tatizo wazungu wanajidai sana kuingilia mambo ya watu; hao waarabu wenzao hawashindwi kuwasaidia ndugu zao wapalestina ila wakiwasaidia wapalestina wanaambiwa wanawasaidia magaidi ila wazungu wao wakiwasaidia israel ni poa tu. Wasiwasaidie wakae na pesa zao waone kama hawataishi. Urusi si hiyo hapo walijidai kuisusa mbona wapo wanandunda. Hii dunia ni ya Mungu sio ya wazungu.

Haya mateso wanayoyapata wapalestina ipo siku kibao kitageuka tu na ipo siku itakuwa historia. Na siku hiyo waarabu wote wataungana kuwa kitu moja hiyo israel itasahauilka katika uso wa dunia. Hiyo siku itafika tu hata kama ni 100 years to come.

Kinachowatesa wapalestina ni kuwa wao ni dhaifu wamefungiwa mipaka yote na israel na huku waisrael wanasaidiwa na wazungu pamoja na America. Lakini waarabu wao wanazuiwa kuwasidia wapalestina eti ni magaidi!!! Sasa ipo siku itafika itakuwa kama Russia ilivyoamua liwalo na liwe na hizi Arab countries zote zitaamua kuungana na kuisaidia Palestina hivyo hivyo kwamba liwalo na liwe . Hii siku itafika tu ni matter of time.

endeleeni kufurahi wapalestina kuteseka ndani ya nchi yao wauweni mnavyoweza lakini hamtawamaliza wote watazaliwa wengine. Lakini haya yana mwisho na ipo siku watashinda. Siku hiyo inakuja. Mark my words!!!
aya ndefu ila hujiuliz kwann hao waarab hawajawai jiweka mbele kusaidia wapalestina
 
Back
Top Bottom