Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,014
- 9,883
Baada ya mashambulizi makali ya kundi la wanamgambo wa Kipalestina la Hamas dhidi ya Israel, ambayo yamezua mshtuko katika eneo zima, bingwa wa ngumi wa kimataifa Floyd Mayweather ameonesha mshikamano wake na watu wa Israel. Bingwa huyo wa zamani, anayejulikana kwa jitihada zake za kutoa misaada, amepeleka uungwaji mkono wake kwa kiwango kipya kwa kutuma ndege yake binafsi, iitwayo "Air Mayweather," kwenda Mashariki ya Kati.
Ndege ya Mayweather itabeba si tu ujumbe wa umoja na uungwaji mkono bali pia shehena kubwa ya vifaa muhimu kwa wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Israel. Vifaa hivyo ni pamoja na chakula na hata mavazi yanayostahimili risasi kusaidia katika operesheni zao katika muktadha wa mzozo unaondelea.