miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Ummy Nderiananga azindua miradi ya Kiuchumi ya wenye Ulemavu

    Na Mwandishi Wetu- Dar es Salaam. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amezindua miradi ya kiuchumi ambayo iko chini ya Shirika lisilo la Kiserikali la Strategic Alternative Learning Technique (SALT), inayohudumiwa na vijana wenye changamoto za...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi

    Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi 143 ya utamaduni na sanaa.
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania MIRADI 73 YA BIASHARA YA KABONI IMESAJILIWA

    MIRADI 73 YA BIASHARA YA KABONI IMESAJILIWA Serikali kupitia Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni (National Carbon Monitoring Centre – NCMC). imeendelea kuratibu na kuimarisha usimamizi wa Biashara ya Kaboni nchini ambapo jumla ya Miradi 73 ya Biashara ya Kaboni imesajiliwa na ipo katika hatua...
  4. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa Maji: Miradi ya maji 2331 imekamilika nchini

    “Jumla ya miradi ya maji 2,331 imekamilika ambapo 1,965 ni ya vijijini na 366 ni ya mijini na hivyo kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji vijijini kutoka wastani wa asilimia 70.1 mwaka 2020 hadi asilimia 83 mwezi Desemba, 2024 na maeneo ya mijini kutoka wastani wa asilimia 84 hadi asilimia...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: TANROADS na TARURA wabainika na mapungufu makubwa, Usalama wa barabara hatarini kwa ukosefu wa bajeti

    Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
  6. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Lindi yaipongeza Kilwa kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa, Kuruthum Issa Runje, imefanya ziara maalum Wilayani Kilwa kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa chini ya Ilani ya CCM ya mwaka 2020–2025...
  7. Nima_

    JamiiForums Tanzania Miradi ya ujenzi wa nyumba mitandaoni

    Kuna jamaa wanaitwa Fine Homes wana miradi ya kujenga nyumba kwa bei nzuri sana na nyumba zao ni za kisasa kwelikweli kwa mujibu wa picha zinavyoonyesha kwenye instagram. Kuna mtu ambaye ameshafaidika na miradi hii ili kutupa uhakika wa uhalali wa miradi hii?
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

    Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara. Picha hizi hapa👇 Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Bwiregi wampongeza Sagini kwa Sh Bilioni 1.5 iliyotumika kwenye miradi ya maendeleo

    Wananchi wa Kata ya Bwiregi wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kwa kufanikisha Bilioni 1.5 ambayo ilitumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Akizungumza kwenye mkutano na wajumbe wa CCM na wananchi katika Ziara ya Mbunge kwenye...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ajira 31,148 zimezalishwa kwenye miradi ya umeme

    AJIRA 31,148 ZIMEZALISHWA KWENYE MIRADI YA UMEME Utekelezaji wa miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme imezalisha ajira 31,148. Kwenye ajira Hizo wapo wanawake (4,915), wanaume (26,179) na walemavu (54). Kati ya ajira hizo, miradi ya uzalishaji iliajiri watu 4,018...
  11. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Kwa misururu hii ya Miradi iliyotekelezwa na inayotekelezwa hata kama Bwana Tundu Lissu atakuwa mwenyekiti wa INEC bado Rais Samia ataibuka mshindi

    Sikilizeni Wapinzani, Naomba mfanye utafiti mdogo tu ili muamini kwenye uchaguzi wa Oct 2025 hakuna wa kupambana na Rais Samia, Fanyeni hivi, Piteni kwenye kila Kijiji kwenye vijiji vyote 12,333 kama hamtakuta mradi wowote wa maendeleo ulianzishwa ndani ya miaka hii minne ya Rais Samia...
  12. Inside10

    JamiiForums Tanzania CAG: Tsh 1.14 Trilioni Zilizokusanywa Na TRA hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24 imebaini kuwa jumla ya Shilingi trilioni 1.14 zilizokusanywa kupitia tozo mbalimbali na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa. Kwa mujibu wa ripoti hiyo...
  13. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Mukhtasari wa Ripoti Ya CAG Kuhusu Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Kwa Mwaka 2023/2024

    RIPOTI YA JUMLA YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI JUMLA KUHUSU UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mashirika ya Umma nchini Tanzania kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Miradi 6 ya maji yaanza kutumia umeme, wananchi wapata nafuu

    Meatu:Wakazi wa vijiji sita katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wameanza kunufaika na huduma ya uhakika ya maji baada ya miradi ya maji iliyokuwa ikitumia nishati ya mafuta kubadilishwa na sasa kutumia nishati ya umeme. Mabadiliko hayo yameelezwa leo Aprili 16,2025 na Meneja wa Wakala wa Maji...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Aingilia Kati Utekelezaji wa Miradi ya CSR Mkoani Geita

    WAZIRI MAVUNDE AINGILIA KATI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR MKOANI GEITA ▪️Ataka taarifa kamili ndani ya siku tatu ya mpango wa utekelezaji CSR ▪️Miradi ya 2018-2021 kukamilishwa ▪️Fedha zilizotengwa na GGM kwa miradi kutumika zote ▪️RC Shigela ahimiza ushirikiano wa karibu wa GGM na Serikali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waliopinga miradi ya Magufuli sasa wanajisikiaje?

    Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo 1. Mradi wa SGR Mradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa. Sasa mradi wa SGR...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani Aishukuru Serikali Utekelezaji wa Miradi Ushetu

    MBUNGE CHEREHANI AISHUKURU SERIKALI UTEKELEZAJI WA MIRADI USHETU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwakutoa kiasi cha Sh bilioni 196 iliziweze kusaidia miradi ya kimkakati iliyokuwa imeshindika kukamilika. Cherehani amesema hayo Aprili 10,2025...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Mkoa Chalamila atembelea na kukagua miradi mbalimbali jimbo la Kibamba Ubungo

    RC CHALAMILA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI JIMBO LA KIBAMBA UBUNGO. -Amshukuru Rais Dkt Samia kwa kutoa pesa nyingi zinazowezesha utekelezaji wa miradi hiyo -Ataka usimamizi mzuri wa miradi kwa kuzingatia viwango na thamani ya pesa -Asikiliza kero za wananchi wa Kata ya Saranga na...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Nimefanya tathmini ya gharama halisi ya miradi yote tangu awamu ya 6 iingie madarakani ni 8.7 tilioni tu

    Nimefanya tathimini ya miradi yote iliyofanywa na serikali ya awamu ya 6 nikapata gharama halisi ni 8.7 Tilioni. Hii inajumuisha miradi yote iliyosajiliwa chini ya tume ya mipango kwa wastani wa miradi 1300 inayojengwa kote nchini ikiwemo ile ya ufadhili na ubia. Jumla ya deni la taifa ambalo...
  20. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Sendiga afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo Hanang'

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Hanang', ambapo ameshuhudia uchimbaji wa kisima katika Kijiji cha Endasworld, kata ya Gitting. Kisima hicho ni miongoni mwa visima 25 vinavyochimbwa kwa ushirikiano kati ya...
Back
Top Bottom