miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania CAG: Tsh 1.14 Trilioni Zilizokusanywa Na TRA hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24 imebaini kuwa jumla ya Shilingi trilioni 1.14 zilizokusanywa kupitia tozo mbalimbali na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa. Kwa mujibu wa ripoti hiyo...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mukhtasari wa Ripoti Ya CAG Kuhusu Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Kwa Mwaka 2023/2024

    RIPOTI YA JUMLA YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI JUMLA KUHUSU UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mashirika ya Umma nchini Tanzania kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Miradi 6 ya maji yaanza kutumia umeme, wananchi wapata nafuu

    Meatu:Wakazi wa vijiji sita katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wameanza kunufaika na huduma ya uhakika ya maji baada ya miradi ya maji iliyokuwa ikitumia nishati ya mafuta kubadilishwa na sasa kutumia nishati ya umeme. Mabadiliko hayo yameelezwa leo Aprili 16,2025 na Meneja wa Wakala wa Maji...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Aingilia Kati Utekelezaji wa Miradi ya CSR Mkoani Geita

    WAZIRI MAVUNDE AINGILIA KATI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR MKOANI GEITA ▪️Ataka taarifa kamili ndani ya siku tatu ya mpango wa utekelezaji CSR ▪️Miradi ya 2018-2021 kukamilishwa ▪️Fedha zilizotengwa na GGM kwa miradi kutumika zote ▪️RC Shigela ahimiza ushirikiano wa karibu wa GGM na Serikali...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waliopinga miradi ya Magufuli sasa wanajisikiaje?

    Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo 1. Mradi wa SGR Mradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa. Sasa mradi wa SGR...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani Aishukuru Serikali Utekelezaji wa Miradi Ushetu

    MBUNGE CHEREHANI AISHUKURU SERIKALI UTEKELEZAJI WA MIRADI USHETU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwakutoa kiasi cha Sh bilioni 196 iliziweze kusaidia miradi ya kimkakati iliyokuwa imeshindika kukamilika. Cherehani amesema hayo Aprili 10,2025...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Mkoa Chalamila atembelea na kukagua miradi mbalimbali jimbo la Kibamba Ubungo

    RC CHALAMILA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI JIMBO LA KIBAMBA UBUNGO. -Amshukuru Rais Dkt Samia kwa kutoa pesa nyingi zinazowezesha utekelezaji wa miradi hiyo -Ataka usimamizi mzuri wa miradi kwa kuzingatia viwango na thamani ya pesa -Asikiliza kero za wananchi wa Kata ya Saranga na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nimefanya tathmini ya gharama halisi ya miradi yote tangu awamu ya 6 iingie madarakani ni 8.7 tilioni tu

    Nimefanya tathimini ya miradi yote iliyofanywa na serikali ya awamu ya 6 nikapata gharama halisi ni 8.7 Tilioni. Hii inajumuisha miradi yote iliyosajiliwa chini ya tume ya mipango kwa wastani wa miradi 1300 inayojengwa kote nchini ikiwemo ile ya ufadhili na ubia. Jumla ya deni la taifa ambalo...
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Sendiga afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo Hanang'

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Hanang', ambapo ameshuhudia uchimbaji wa kisima katika Kijiji cha Endasworld, kata ya Gitting. Kisima hicho ni miongoni mwa visima 25 vinavyochimbwa kwa ushirikiano kati ya...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya siasa ya CCM Kibiti yakagua miradi ya maji ya RUWASA ikihusisha visima 900 vya Mama, kwani mama anatoa hela mfukoni mwake?

    Wakuu Wananchi Wilayani Kibiti Mkoani Pwani Wametakiwa kuilinda vyema miradi ya maji ya wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini RUWASA waliyojengewa na Serikali ili iweze Kudumu na kuwanufaisha wengine na kuwa endelevu kwa kuitumia vizazi na vizazi. Wito huo umetolewa na Kamati ya...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa madini: Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni ianze utekelezaji wake mara moja

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameagiza Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni kuanza utekelezaji wake mara moja ili kuchochea ukuaji wa sekta na kuleta manufaa kwa taifa kwa ujumla na kutimiza azma ya Serikali kutoa leseni hizo. Mavunde ametoa maagizo...
  12. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 REA yakamilisha miradi ya umeme vijiji 5,259

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Mhandisi Hassan Said ametangaza kukamilika kwa miradi minne mikubwa ya umeme inayolenga kuleta nishati katika vijiji 5,259, ikijumuisha vijiji 4,071 na vitongoji 188, katika awamu ya tatu, mzunguko wa pili. Miradi hii ni sehemu ya juhudi za...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti Halmashauri ya Nachingwea ataja Miundombinu duni kuwa chanzo cha ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Tarehe 20 Machi, Adnan Mpyagila, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nachingwea, amefanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi wa shule za sekondari. Ameangalia ujenzi wa Shule ya Sekondari Kata Mtua ,Kata Chiumbati, Rugwa Boys (mabweni), Shule ya Kata ya Nachingwea, na Shule ya Naipanga Sekondari...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meya Songea: Miaka minne bilioni 188 zatumika miradi ya maendeleo Songea

    Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan manispaa ya Songea iliyopo mkoani Ruvuma imenufaika kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye zaidi ya shilingi bilioni 188 katika kata 21 zinazounda manispaa hiyo. Akieleza...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Mpogolo: Miaka minne Ilala imepokea zaidi ya bilioni 317 ya miradi mbalimbali ya maendeleo

    Mkuu wa wiyala ya Ilala Edward Mpogolo amemshukuru Rais Dkt. Samia kwa kuendelea kutoa pesa Halmashauri ya Ilala na kuweza kutekeleza Miradi mbali Mbali katika wilaya hiyo Mpogolo amesema katika kipindi cha miaka 4 ya Rais Dkt. Samia zaidi ya Bilioni 317 zimetolewa kwenye wilaya ya Ilala na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rukwa: Mradi Mkubwa wa maji wakamilika Mafinga

    Wananchi katika Kijiji cha Kasekela kata ya Mfinga bonde la ziwa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga, wameondokana na adha ya kuugua homa za matumbo baada ya Serikali kukamilisha mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya shilingi 422,498,413 .37 utakaohudumia wakazi wapatao 3500. Kaimu meneja wa RUWASA...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Rais Samia wakae chonjo, wasipokuwa makini, Rais anaweza kuzindua miradi kanda ya ziwa kwa miezi sita mfululizo, ni mingi sana

    Kanda ya ziwa ni construction site. Kote panajengwa au pana majengo mapya, miradi mipya. Nashauri wasaidizi wa Rais wawe makini, tunajua Rais anapenda sana aende katika kila mradi. Akifanya hivyo anaweza kutumia miezi sita mfululizo bila kupumzika hata siku moja. Wasaidizi wake wawe makini...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma imeiagiza TANROADS kuwasimamia makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati

    Wakati Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega aking’aka hatua ya makandarasi wanaojenga miundombinu ya mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, kutokamilisha kwa wakati, Bunge nalo limeiagiza Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuwasimamia kikamilifu makandarasi. Limeagiza mradi wa...
  19. milele amina

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utendaji Mbovu wa Miradi ya Maendeleo: Madai ya Madiwani wa Moshi Manispaa

    Mkurugenzi wa Moshi Manispaa amekabiliwa na malalamiko kutoka kwa madiwani wa manispaa hiyo kuhusu utendaji mbovu wa miradi ya maendeleo, hususan ujenzi wa soko la Mbuyuni. Madiwani hao wamewasilisha ombi rasmi kwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kitengo cha Civil Engineering...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania MIRADI YA MAJI ARUSHA:Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani

    MIRADI YA MAJI ARUSHA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani. Mradi huu unagharimu shilingi bilioni 4.3 na utahudumia wakazi wapatao 57,607 wa Kata za Endiamtu na Mirerani zinazounda mji mdogo wa Mirerani na kwa sasa...
Back
Top Bottom