miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Tuangazie juu miradi ya kimaendeleo iliyoanzishwa Tanzania lakini haikuleta matokeo chanya

    Katika nchi yetu Viongozi wamekuwa wakianzisha miradi ya kujikwamua kimaendeleo kama taifa lakini je kwanini hiyo miradi hatuoni ufanisi wake badala yake baada ya muda Fulani miradi hiyo inakufa na kupotea kabisa Baadhi ya miradi hiyo ni pamoja na;_ 1,Big Results Now BRN)_2013 2, MKURABITA 2004...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania MD Twange akagua maendeleo ya miradi ya umeme Dodoma

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange Julai 18, 2025 amefanya ziara ya kuagua maendeleo ya Miradi ya umeme ukiwemo wa Njia ya kusafirisha umeme kutoka Zuzu hadi Mbande, Mradi wa kusambaza umeme ardhini katika mji Serikali na Mradi wa Kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Mjini Mkoani...
  3. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ifike hatua tuache kutumia majina ya viongozi wa kisiasa kwenye miradi mipya.

    Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa. Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔. Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli. Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Billioni 19.6 imetolewa kuboresha Miradi ya Elimu Njombe

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe Kati ya fedha hizo jumla ya Shilingi Bilioni 4.360 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali...
  5. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Godwin Mollel: Watu wa Usalama acheni bhangi! Nguvu mnayotumia kwenye siasa itumike kuzuia wizi kwenye miradi

    Hebu msikilizeni hapa chini:
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa uchawa na kumaliza miradi ya Jiwe, rais Samia amefanikisha nini?

    Twaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan. Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo: Mosi, kuwakamata wapinzani na kuwafungulia kesi za kubambikiwa, Pili, ameweza kuwa daktari kwa muda mfupi tena bila kupoteza muda darasani, Tatu, amejitahidi kukaa kimya na kusema sana kiasi...
  7. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Ni katika maeneo gani watanzania tuna deni na Mama - Miradi aliyoacha mtangulizi wake imeendelea vizuri!

    Salaam team! Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli. Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa. Mitano mingine inamfaa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu atutajie miradi iliyotekelezwa kwa trilioni 50 zilizokopwa ndani ya miaka minne!

    "Tanzania haikopi fedha kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Hatujawahi kukopa fedha ili tulipe mishahara, hatujawahi kukopa ili tuendeshee magari, tulipe posho. Fedha inapotoka inakwenda kwenye mradi mahsusi." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha Naomba waziri Mwigulu aainishe miradi ya kodi...
  9. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam

    Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam. Nina stashahada ya ufundi mitambo (mechanical engineering) 0756704145
  10. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam

    Kama unatafuta msimamizi wa mradi au kazi nipo. Mikoa miwili napatikana Mbeya na Dar es salaam. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geita: Kamati mbalimbali zaundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Huku Serikali ikiwa inaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma za kijamii zinawafikia wananchi haswa maeneo ya vijijini, kamati mbali mbali ambazo zimeundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo, hususani kwenye nyanja za Elimu na Afya, zimetakiwa kuhakikisha zinafuatilia hatua kwa hatua...
  12. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tumepeleka fedha nchi nzima kwa ajili ya miradi ya serikali

    “Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga wenyewe isipokuwa mmoja ndio wa mtu binafsi niliokwenda kuufungua asubuhi leo. Lakini mitano yote ya...
  13. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Mradi wa viwanja kigamboni puna beach plots&residential plots

    Miradi Mipya Kigamboni – PUNA BEACH & RESIDENTIAL PLOTS 🏡 Viwanja vinaanzia ukubwa wa sqm. 500-800 🔴 PUNA BEACH PLOTS – Kigamboni 📍 mradi upo umbali wa: Km 38 kutoka Ferry Km 35 kutoka Daraja la Nyerere Mita 500 kutoka barabara kuu Mita 650 kutoka baharini 🌊 💰 Bei: 1 sqm = TSh 22,000...
  14. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania CCM mnachukia nini tukisema hii Tsh. Trilioni 107 ni Deni la Mama

    Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Maswa: Maswali Yaibuka Kuhusu Kipaumbele cha Miradi

    Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua. Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Tulilalamikia miradi mikubwa haigusi maisha ya watu huku chini, Rais Samia amefuata nyayo za waasisi wa taifa

    Wakuu Akiwa sehemu ya ujumbe wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla anayeendelea na ziara ya kikazi kwenye mikoa ya Kanda ya Kaskazini, Kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Babati, mkoani Manyara ameeleza...
  17. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Miradi hiyo hiyo inakaguliwa na mwenge wa uhuru, hiyo hiyo kamati za Bunge, hiyo hiyo CCM, hiyo hiyo inakaguliwa na viongozi wa serikali

    Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo. Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu na miradi ikawa inakaguliwa na taasisi moja maalumu baada ya hapo inapeleka ripoti kwa wengine.
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya wahandisi wazawa watawezeshwa na watakuwa na uwezo wa kufanya miradi mikubwa

    Nikiwa Rais makampuni ya wahandisi wazawa watawezeshwa, na kutatengwa fedha kwa ajili ya kuwawezesha wahandishi wazawa waweze Kununua vifaa sababu wengi vifaa ni changamoto Wapewe training ya kujenga miradi mikubwa kama treni za umeme, interchange, n.k Watafundishwa wawe na malengo wakubwa...
  19. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania *SHINYANGA KUNUFAIKA NA MIRADI YA REA, WAUZIWA KWA RUZUKU MITUNGI 13000*

    SHINYANGA KUNUFAIKA NA MIRADI YA REA, WAUZIWA KWA RUZUKU MITUNGI 13000 📌Kila wilaya kunufaika na mitungi ya gesi 3,255 📌REA yachochea ushiriki wa wanawake katika shughuli za kiuchumi 📌Mradi kupunguza ukataji wa miti unaosababisha mabadiliko ya tabianchi Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tamko: Miradi ya Maendeleo itaendelea hata baada ya Marekani kusitisha misaada

    Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais Donald Trump.
Back
Top Bottom