Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba John Kabudi, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa hatua zinazochukuliwa katika kuboresha huduma za usafi wa mazingira, hususan sekta ya majitaka.
Prof...