Habari kutoka nchi jirani ya Rwanda zinasema mipaka yake yote hatimaye jana rasmi imefunguliwa.
Ikumbukwe mpaka wa Tanzania - Rwanda (Rusumo) umekuwa umefungwa tangia March 2020 kwa sababu ya Corona.
Ilikuwa ni hoi hoi na nderemo kwa wanyarwanda kina yakhe kupata hatimaye nafasi japo ya kupumua.
Katika nderemo hizo, yasemekana pana walioyasindikiza mabasi kwa staili hii hadi mipakani mwa nchi yao.
Penye moshi pana moto.
Yawezekana, pamoja na yote bado nabii jiwe alitupa nafasi ya kupumua japo kiaina.
Hiiiiii bagosha!