mipaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    Uhuru bila mipaka ni vurugu, lakini mipaka kwenye uhuru ni udikteta

    CCM hupenda kusema "uhuru bila mipaka ni vurugu" kuashiria kuwa hakuna uhuru usio na mipaka. Na CCM hutumia msemo huo kuhalalisha matumizi ya nguvu dhidi ya wanaowapinga kisiasa. Lakini CCM huficha sehemu muhimu ya msemo huo inayosema "mipaka kwenye uhuru ni ugandamizaji". Dhana hizi mbili...
  2. M

    Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
  3. Mhaya

    Nchi Zenye kutumia Ubabe kulinda Mipaka yake na Maeneo Jirani, hata kama Nchi Jirani haitaki kulindwa italindwa tu

    The Monroe Doctrine sio dhana ya kipekee tu kwa Taifa la Marekani. Kwa wasiofahamu Monroe Doctrine ni sera inayokataza Mataifa ya kigeni hasa ulaya na kwingineko wasipeleke au kusogelea Nchi zozote zilizoko katika mabara ya America kusini na America kaskazini. Na nchi yoyote itakayojaribu...
  4. Pakome

    Shutuma kutoka kwa Mzee wa Kizanzibari kuhusiana na vijana wa Kizanzibari kuzidisha anasa za mapenzi zinazovuka mipaka zina ukweli?

    Shutuma hii inawapa watu wengi maswali wakijiuliza anasa kwa vijana wa Kizanzibari imekithiri kwa kiwango gani hata kufikia kupeleka malalamiko mitandaoni Je haya yasemwayo ni kweli vijana wa Kizanzibari wanayafanya? Binafsi nawachukulia vijana wa kizanzibari kama watu wapole na wanyeyekevu...
  5. Kizibo

    Eti Jwtz linalinda mipaka lakini halilindi vilivyomo ndani ya mipaka

    Jwtz acheni kutuongopea wananchi. Mnasema mliapa kulinda mipaka ya nchi, lakini mbona hamlindi vilivyomo ndani ya mipaka?? 1 MIPAKA Hiyo mipaka yenyewe mbona hamuilindi?? Kama mnalinda mipaka, kwanini toka kabla ya tarehe 29 Oct 2025 kulikuwa na tetesi kuna watu wameingizwa nchini kuua...
  6. H

    Tabia ya kuwafungulia watu kesi na baadae kuwaachia iwe na mipaka kwa waendesha mashitaka na mahakama

    Inakuwaje waendesha mashitaka wanaletewa kesi na polisi na kuwashitaki wananchi kwa makosa ya kusingiziwa yaliyowazi kabisa pasipo kuhoji? Inakuwaje hakimu anaona kabisa kesi iliyofunguliwa na waendesha mashitaka ni ya uongo na bado anaiedesha? Kwanini wasisimamie HAKI ili kulinda AMANI kwa...
  7. secretarybird

    Je, wakati wageni wanamiminika kwa wingi kuja Tanzania kuleta fujo JWTZ wenye jukumu la kulinda mipaka walikuwa wapi?

    Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini? Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
  8. albab

    Sio kwamba walikua hawajui alipo

    Ndugu...... kama unadhani walikua hawajui alipo unakosea..... Amegusa mzinga wa nyuki kwa kuuchokonoa baada ya kuandaa script ya Afisa Manyota ma3. Manyota hamtomuona tena.
  9. mcTobby

    Kabla huruma zetu hazijavuka mipaka hadi Gaza, basi tuanze kuwaonea huruma wa Sudan na maeneo mengine ndani ya Afrika

    Tusiwe wanafiki.. au kwa vile palestina ipo live aljazeerq basi ndio sisi akina baba+mama huruma tunajikuta tunawasikitikia wa Gaza ila wa hapa kwetu ndani ya bara la Afrika hatuwaoni sio? Tuacheni unafiki.. hata hapo Sudan kuna wa Afrika wenzetu wanakufa na njaa... yeah CHARITY BEGIN AT...
  10. Wakusoma 12

    Kauli ya "Katiba ni kijitabu tu" ya Rais Samia ni kosa kubwa la kiuongozi

    Mwaka 2024, Rais Samia alinukuliwa akisema kuwa "katiba ni kijitabu tu." Kauli hii imeacha maswali mengi na kuibua hisia tofauti kwa wananchi, wanaharakati, na wataalamu wa sheria. Kwa mtazamo wangu, hii ilikuwa ni kauli ya kosa kubwa sana kwa sababu zifuatazo: 1. Katiba ni zaidi ya kijitabu...
  11. GENTAMYCINE

    Kuwananga / Kuwasema vibaya Yanga SC kwakuwa tu wamechangia CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu na Unafiki uliovuka mipaka

    Leo Yanga SC wameichangia CCM ambayo ndiyo inatengeneza Serikali Wapumbavu, Washamba na Wanafiki wote mmekasirika mbona hiyo hiyo Serikali inayoundwa na CCM ikiipa Yanga SC msaada wa Ndege kwenda Kucheza Mechi zake za Kimataifa huwa hamchukii tena huwa mnafurahi na kukenua hovyo na kila Kona...
  12. Fbn

    Mazoea na Urafiki Usio na Mipaka Kwenye Biashara ni Saratani Inayoua Malengo Taratibu

    Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na urafiki usio na mipaka. Haya ni magonjwa ya ndani yanayoweza kuivuruga biashara yoyote, haijalishi...
  13. Alloyce PR

    Mipaka Isiyoonekana Kati ya Busara na Ufuasi

  14. Moto wa volcano

    Weka mipaka ya urafiki na watu kukujua sana

    Katika maisha yako jitahidi kuweka mipaka usiruhusu watu wakujue sana , hata urafiki uchoree mstari uwe na mipaka yake kuna maeneo usivuke. Kuna nguvu kwenye kuwa msiri, Adui anayekufahamu ana nguvu kuliko asiyekujua, adui asiyekujua hajui aanzie wapi kukushambulia
  15. S

    Kuna dalili kwamba Ukraine anampa kipigo kikubwa Urusi baada ya USA kujitoa kumsadia na Ulaya kumruhusu kuwapiga Warusi ndani ya mipaka yao!

    Katika miaka yote iliyopita ya vita ya Urusi na Ukraine, Ulaya na USA waliwazuia Ukraine kutumia silaha walizompa kumpiga Urusi ndani ya mipaka yake, japo Urusi iliwapiga Ukraine ndani ya mipaka yao. Baada ya Trump kuonyesha ukaribu na Putin na kuzuia kuwawekea Ulaya tarifu za biashara, hii...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Sio mwana×2 Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza.. Huko ni kuvuka Mipaka

    Kumekuchwa! Gwajima ameambiwa Ngoma sio Yake anaicheza, ataharihu. Lakini mwimbaji wa singeli yeye anakuambia; Sio mwana! Sio mwana! Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza! Huko ni kuvuka Mipaka. Majibu hayo yanaonyesha wazi kuwa alichokisema Gwajima ni sahihi kabisa. Lakini ishu inakuja...
  17. L

    Demokrasia na uhuru nchini umepitiliza mipaka mpaka akina Heche wanatukana Polisi na Wanaharakati wakivuka mipaka kuja kuleta uchochezi nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani. Uhuru umezidi mpaka sasa watu kama akina Heche wanafikia hatua ya kusimama kwenye magari yao...
  18. H

    Kama Ilivyo, Hakuna Uhuru Usio na Mipaka, Watawala Pia Wajue Hakuna Mamlaka Yasiyo Na Mipaka. Kilichofanyika Airport, ni Ushenzi

    Watawala, pamoja na jeshi la polisi, siku zote wamekuwa wakipenda kutoa kauli kuwa: 1. Tii sheria bila shuruti. 2. Hakuna uhuru usio na mipaka Jambo la kujiuliza, hawa wanaotoa hizi kauli ambazo ni sahihi, wao wenyewe wapo mstari wa mbele katika kuzitekeleza ili kuweka mfano mzuri kwa...
  19. mbegubora29

    Viongozi wa dini tambueni mipaka yenu na watu wenu msituletee taharuki mtaani, kila mtu ana dini yake na asili yake

    Tanzania ni nchi pekee iliyojaaliwa dini nyiingi saana isije ikafika kiongoz wa dini fulani ajipe milki ya amani ya nchii,wasubirini watu wenu na ongeeni na watu kama waumini wenu msitafte huruma wengine hawaamini kwa kile mnachokiamin! Tafadhalini saana! Kama haki mtaipata mbinguni kwa baba...
  20. funaku

    Ongezeko la huduma za kijamii kama biashara -haki inayotakiwa kuwekewa mipaka

    Sasa ni rasmi kuwa nchi imeendelea na ustawi wa watu umeanza kuonekana. Mwalimu Nyerere na Mzee wetu Karume wanaweza kuwa wanafuraha huko walipo miaka 61 ya Muungano Serikali zote zimejitahidi kuleta maendeleo. Ikumbukwe kuwa wapo maadui watatu waliowahi kutangazwa miaka hiyo yaani ujinga...
Back
Top Bottom