mimi

  1. JamiiForums Tanzania Kama nyumba ya ibada imenikuta ninapoishi na ibada zao zinasababisha kelele kubwa, ninaweza kuiomba Mahakama kuwaondoa?

    Nadhani kichwa changu kinajieleza. Mfano msikiti au kanisa wamenikuta mahali ninapoishi na ibada zao mimi kwangu zinanikosesha amani, je naweza kuiomba Mahakama iwaondoe wanipishe? Au ninunue eneo lao?
  2. JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kugawa mali/vitu vyako vya zamani kwa ndugu, jamaa au rafiki?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; UTANGULIZI ===== Ndugu zangu, umasikini ni kitu kibaya sana. Umasikini unakatisha uhai wa watu wengi wangali wadogo sana kwa sababu tu wameshindwa kumudu gharama za matibabu. Umasikini ndio chanzo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Nilibarikiwa na Papa John Paul II mwaka 1990 nikiwa mtoto leo hii najiona mimi ni kama askofu

    Mwaka 1990 nchi yetu ilipata bahati ya kutembelewa na viongozi wawili wakubwa duniani mmoja wa kisiasa mwingine wa kidini. Papa John na Mandela. Wakati papa John amekuja Tanzania baba alinibeba begani papa akaniona nikiwa juu ya bega la baba alinibusu na kunibariki. Leo najiona nina upako wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

    Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara. Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai asema Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama pekee wanaweza kumuambia kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA

    Leo jijini Dodoma wameapishwa wabunge wapya wawili walioteuliwa na Rais Magufuli kwenye nafasi zake za wabunge walioteuliwa na Rais, miongoni mwa waliohutubu kwenye hadhara hiyo ni naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dkt. Tulia Ackson ambaye ameelezea umuhimu wa Bunge kuwa karibu na...
  6. JamiiForums Tanzania Niwaaminishe vipi watu kuwa mimi sijawahi na sivuti Bangi?

    Jamani hili jambo linanisikitisha na linaninyima raha hadi sasa. Ni hivi miaka ya nyuma kidogo wakati nasoma nilianza kufuga Rasta hadi namaliza chuo nipo na Rasta zangu ndefu tu. Nipo Nimeingia kitaa baada tu ya kutoka chuo nikaamua nipunguze wingi wa zile Rasta, yaani niwe na Rasta tano tu...
  7. JamiiForums Tanzania Nionesheni Mwanasiasa asiye na njaa na mimi nitawaonesha Ngamia anayeweza pita katika tundu la sindano

    Kama ujumbe ulivyo hapo juu twendeni. Maana naona makelele mengi eti ooh upinzani una njaaa mara eeeh fulani anapigania tumbo. Sasa leteni list ya wanasiasa wasio na njaa hapa kwetu tuone.
  8. JamiiForums Tanzania Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

    Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara. ======== NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na Mimi, tofauti tu yeye ni Senior Mimi nilikuwa Junior

    Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na mimi, tofauti tu yeye ni Senior na mimi nilikuwa Junior. (Soma kisa changu hiki cha ukweli kwa ufupi kabisa) Sehemu ya Kwanza. Baada tu ya kuhitimu chuo nje ya nchi miaka hiyo ya juzi kati nilirudi nchini na kupata kazi bila kuchelewa katika...
  10. JamiiForums Tanzania Picha niliyopiga na shemeji yangu ilisababisha mke wangu kunihisi namsaliti

    Ilikuwa siku nzuriiiiiiiii ya kuvutia, nikaamkia machinjioni, nikanununua figo na maini kama kilo Saba, nikapitia sokoni, nikanunua kuku watatu wa kienyeji, nikawachinja na kuwanyonyoa. Nikanunua mboga za majani, matunda na viungo mbalimbali. Nikarudi nyumbani, nikashusha mzigo, kisha...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwani Tanzania ipo vitani? Au kuna hali ya hatari?

    Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari? Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma? Why I'm asking? Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais, Mimi nalia sana. Kiukweli unatuliza. Nini kimekukuta?

    Mh Rais kila ninapokumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya CCM 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali Kwa machozi kukutakia heri utukomboe sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango, huzuni, upweke na machozi. Kiasi wakati...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.” ---UPDATE--- Akihojiwa na shirika la...
  14. JamiiForums Tanzania Akijua fika Mimi ni mwana CCM na Yeye ni mwana CHADEMA nimemtembelea 'Ofisini' Kwake kila mara ananiwekea tu hizi Nyimbo

    Nyimbo zenyewe ni kama zifutazo... 1. Tutatoana Roho Yarabi 2. Ujanja wa bure tu 3. Mwaka huu unalo 4. Mbabe kakutana na Mbabe mwenzake 5. Za Mwizi 40 6. Mwosha huoshwa 7. Malipo ni hapa hapa duniani Wewe Mtani wangu wa Kisiasa mwana CHADEMA hapo Mbezi 'Goigi' Mimi GENTAMYCINE mwana CCM...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ataweza kuishi na mimi kweli? Nataka kuanza biashara ya kuuza juisi, anasema ni kazi za wadada

    Iko hivi, Niko na mpenzi ambaye tumekuwa pamoja kwa muda mpaka hivi sasa. Ila sema huyu bi dada nimeshindwa kumuelewa kwa kauli yake aliyonijibu. Hivo kutokana na changamoto za ajira, nikampa mwenzangu wazo kuwa kwa sasa nataka nianze kutengeneza Juice niwe ninauza maofisini na hata kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

    Hili jambo sikuwa napenda sana kuwahadithia wadau. Lakini leo naona niwape kisa hiki kilichonipata miaka ya 2000s. Mimi nimekulia Sinza kivulini kwa miaka yangu yote na washkaji kibao ambao wengi walienda Usa na South Afrika. Bongo tulibaki wachache sana ktk group letu. Akina Mandawe na Jitu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kweli kweli wameiba! Je, tupo tayari kwa vikwazo (Sanctions)? Nani ataathirika: Mimi na Wewe au Mwanasiasa?

    Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran. Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe? Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya Kutuzimia kimya kimya, inasemekana kuanzia saa 6 na dakika 1 usiku wa leo mnatuwashia. Mimi nahitaji majibu ya maswali yangu

    Je, 1. Mlipozima mliagizwa au ni kiherehere chenu tu cha kutaka Sifa wana Ubungo Tower? 2. Hasara ambayo nchi hasa TRA imeipata na Makampuni mengine Makubwa nchini italipwa nanyi Ubungo Tower? 3. Kutuzimia Kwenu mnadhani mmefikia Lengo au wana Ubungo Tower mmeshadharaulika na Watanzania? 4...
  19. JamiiForums Tanzania Pesa zenu ndio natumia mimi. Endeleeni kujifanya Vidume

    Ni mwaka na nusu sasa nina mchepuko wangu ni Traffic. Naenjoy sana. Huwa haniombi pesa na nikijifanya kutaka kumpa anacheka sana. Ananambia yeye mtaji wake ni Uniform tu akitinga hizo akaenda simama barabarani ndani ya dk 20 ana zaidi ya 70,000. Anajua mitego ya sehemu watu wana fanya makosa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

    Wasalaam wanabodi, Kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea ukingoni siku mbili zijazo nchi nzima. Tumeona Kila mgombea akijinadi kwa style yake na upekee kulingana na malengo na mikakati thabiti waliyojiwekea. Chama tawala CCM walianza kwa kishindo kikubwa pale dodoma na kuonesha ukubwa wa idadi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…