mimi

  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, maamuzi yapi sahihi nikikutana na hali hii barabarani?

    Naomba kujuzwa: kuna Kivuko (Zebra) na taa za kuongoza magari. Je, Ikiwaka taa ya kijani, NISIVUKE, NIWASUBIRI WATU WAVUKE? AU WAO WANISUBIRI MIMI? Niwapo barabarani huwa Najiuliza Sana juu ya hili, mwenye ujuzi WA uhakika, ANISAIDIE.
  2. JamiiForums Tanzania Maalim Seif na mimi

    MAALIM SEIF NA MIMI Nakumbuka kama jana vile siku niliyokutana na Maalim Seif kwa mara ya kwanza uso kwa uso Starlight Hotel mwaka wa 1992 na aliyenijulisha kwake alikuwa Sheikh Khalifa Hamisi. Siku zile Sheikh Khalifa alikuwa anaendesha gazeti la Mizani na mimi nikiwa mmoja wa waandishi wake...
  3. JamiiForums Tanzania Mimi kama mdau wa utalii nina ombi Kwa TANAPA

    Wakuu habari za weekend, Last week nilienda kupumzika mbugani mikumi, na nikalala kwenye bandas za Tanapa. Mambo ambayo nimejionea Aisee ni mambo ya aibu Sana hasa tukijua kuwa Tanapa inakusanya ela nyingi Sana kutoka kwa watalii. Bandas zote zina matatizo, na hata mhusika mwenyewe anakwambia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe anisikilize mimi na si yule mzungu, apige magoti chini kwa mama aje tujenge nchi Taifa linahitaji mchango wake

    Sisi kanisa tumefundishwa kuwa sharia haiwezi kumkomba mwanadamu, na mafundisho yetu kupitia bwana Yesu Kristo huwa tunaenda mbali zaidi kwa imani kuwa Taurati/sharia haiwezi kuleta haki kwa jamii, haiwezi kuleta amani kwa jamii isipokuwa kwa jina la Yesu mnakaa chini na kuonyanyana kwa zabiri...
  5. JamiiForums Tanzania Baby hakuna cha kututenganisha, Mimi ni wako, trust me

    BABY HAKUNA CHA KUTUTENGANISHA, MIMI NI WAKO, TRUST ME. Niliyavaa mapenzi nikiwa sekondari, sikuwa hodari wa kutongoza mabinti, nililelewa na kukulia kwenye familia iliyojitoa wakfu kumtumikia Mungu huku maisha yangu yote ya uvulana nikiyatumia kushuhudia habari za wokovu, kuhubiri neno la...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wife hanijali mimi kabisa wala lolote ninalofanya

    Kwema wakuu? Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje, anamuuliza anakula nini na pia amemsisitiza jamaa awahi kurudi home jion. Kwa upande wangu...
  7. JamiiForums Tanzania Pamoja na kwamba mimi ni mwana CCM mzuri lakini haya siyaafiki

    Mi ni miongoni mwa Wana CCM ambao sikupendezwa na Mheshimiwa Tundu Lissu Kupigwa risasi , Mimi ni Miongoni mwa Wana CCM ambao hatukukubaliana na jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa na Bwana Magufuli, Mimi na akina Kagasheki, Mwandosya, January Makamba na Butiku tulikuwa hatukubaliani na hayo...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kero kubwa sana kwangu mtu kuongea na mimi huku ananigusa au kunisukuma...

    Habari za asubuhi wana.. Huku duniani kuna watu nahisi wana matatizo ya kiakili na wanahitaji kumuona daktari. Kuna hizi tabia nachukia sana kama mtu kuongea na mimi hadi akusonge songe!!atakupiga piga au kukuskuma huku mkipiga stori kawaida tuu.. Mwingine unaongea nae unaona kama anakurusha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwako Beki Dickson Job japo Mimi ni mwana Simba SC, ila kuendelea Kucheza Kwako NBC Tanzania Premier League ni sawa na Kututukana Watanzania

    Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu. Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Roho yangu inaanza kukaa mbali na huyu ndugu yangu, je nina makosa mimi kutopokea simu zake?

    Ni ndugu yangu mtu mzima, namwita shangazi, sijawahi gombana nae, na binafsi namwona ni mtu mwema kwangu, na nimefahamiana naye toka utoto wangu hadi utu uzima huu, kipindi cha likizo nlikuwa nashinda kwake miezi mingi kabla ya kwenda home, ila kipindi cha hivi karibuni amekua na tabia ambazo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Chuo Mwenge wamenikuta nakula hivi Usiku huu Wamenicheka je, Mimi na Wao waliokula Kiepe Mshikaki cha Kushea nani kala Afya?

    Nimepita Mwenge na Kununua Sahani yenye Mseto wa Matunda yote Muhimu kwa Tsh 1000/= tu na kuna Vijana wa Chuo nimekuta wamenunua Chips na Mishikaki kwa Tsh 2500/= na wanakula kwa Kushea ( Kupeana Assist ) Cha Kushangaza Wao wakawa wananicheka Mightier kwa Kula Sahani yangu ile ya Mseto wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Udhamini wa NBC na TFF nawaachieni nyie Mimi naomba tu kujua je, Boss wa NBC ni Simba au Yanga?

    Ninasubiri majibu yenu ili nitiririke sasa.
  13. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi huyu ndio kachero bora na mwana mikakati hodari zaidi ya Membe

    Habari za asubuhi ndugu zang wa JF, Ama baada ya salam naomba nielekee sasa kwenye mada yangu. Ndugu zangu wakati nchi yetu inalazimishwa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na nchi za magharibi, serikali ya Tanzania chini ya raisi wa wakati huo mzee Rukhsa ilikataa mfumo huu kwa kuona kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Tuangalie hii kiundani huenda ikawa kweli au si kweli kuhusu Nelson Mandela

    Kuna Habari kama Sio stori inasomeka kama ifuatavyo Huyu Mandela aliyeiongoza South Africa alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu, Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo SA Watu wanauliza Kwamba iweje Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara ya mwisho juu ya polisi, nanawa mikono juu yao

    Mh Rais Samia Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako. Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa...
  16. JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Baki na Mimi

    BAKI NA MIMI Email: halfanhamis337@gmail.com Yusto alimaliza kusoma ujumbe huo kutoka kwa Brandina wenye utani ndani yake, akainua macho yake akamtazama Caren akakuta nae anamtazama. "vipi" "mmh poa tu vipi" Waliongea baada ya kutazama kwa muda kila mmoja akaonyesha kama hamna kilichotokea...
  18. JamiiForums Tanzania Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

    Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao. Mimi bado namtambua Rais Conde...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Hivi nina Madhaifu gani mimi?

    Wakuu, jambo likikuchanganya ni bora kushare ili upate mawazo mapya. Mimi nimehitimu chuo miaka 8 imepita. Kipindi chote cha masomo tangu darasa la kwanza nina rekodi nzuri ya ufaulu na uwezo wa kufanya mambo mbali mbali hasa ya kiubunifu, n.k. Mara baada ya kuhitimu nilifanikiwa kupata kazi...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Mimi naona Rais Samia anadanganywa kuhusu takwimu za waliochanjwa!

    Kupitia ziara aliyoifanya Mh Raisi ya kutembelea mkoa wa Pwani hususani (W) ya Bagamoyo Baada ya kupewa nafasi ya kusalimia wananchi na kusema mahitaji ya Wana Bagamoyo, Mh Mbunge wa Jimbo hilo la Bagamoyo, Takwimu alizotoa Mh mbunge wa Bagamoyo bwana Mkenge ni za kupikwa, kwamba, (W) ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…