mimi

  1. Ningekuwa na dhamana, nyumba za Magomeni Kota wangeishi wafanyakazi wa Hospitali ya Muhimbili na Magomeni

    Unapotamani mfanyakazi wa hospitali a-smile kwa mgonjwa kuna mambo mengi sana lazima afanyiwe kabla ya kukutana na wagonjwa. Miongoni mwa mambo hayo ni mahali pa kuishi karibu na hospitali. Wafanyakazi kazi wa Muhimbili pale wanaishi mbali sana, wanatoka na kurudi usiku sana kutoka na kufika...
  2. Wilbroad Slaa: Sina chama tangu nilipojiuzulu Ukatibu Mkuu wa CHADEMA

    “Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya hivyo bila uwonga wowote,” Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, amesema hayo katika Kongamano la...
  3. Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

    Jana tulianza kuchapisha makala maalum kuhusu kushamiri kwa biashara ya ukahaba kwenye maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, katika uchunguzi huo imebainika kuwa, kuna kushamiri zaidi kwa watoto wadogo chini ya miaka 18 kujiingiza kwenye biashara hiyo haramu. Timu ya waandishi wa...
  4. H

    Imeandikwa ishi nao kwa akili, sikusikia yamenikuta

    Toka hapo awali nilikuwa nina ndoto na hamasa ya kufikia mafanikio kwa kutatua matatizo ya Jamii inayonizunguka. Nilianza kupenda habari za anga za juu na Sayari KWA ujumla , nilijisomea kila kitu kuhusu anga kilichokuja mbele yangu . Katika harakati za kutafuta mwekezaji nikaangukia KWA huyu...
  5. Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

    Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦‍♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi. Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha...
  6. Kesho naondoka, siwezi endelea kukaa hapa. Siwezi acha anielewe vibaya ila nimeshindwa mimi...

    Jamaa yangu zamani alikuwa vizuri tu kichwani. Mnakaa mnaongea mambo ya akili. Nimekuja mkoani kaniomba nisifikie lodge nifikie kwake. Nikasema huyu mwana toka kitambo ngoja nifikie tu kwake. Maana ananisaidia pia huko hotel nisilale na vicheche. Tumekula tumemaliza. Mlo wenyewe tunaanza kula...
  7. Mjue 'mfalme' Zumaridi kiundani zaidi

    Kwa miaka kadhaa sasa, ‘Mfalme Zumaridi’ ambaye jina lake halisi ni Diana Bundala, ni miongoni mwa wahubiri wa dini wanaovuma ndani na nje ya Jiji la Mwanza. ‘Mfalme Zumaridi’ (39) ambaye pia hujiita mungu wa duniani amesikika akitoa huduma ya maombezi, mahubiri na hata tiba kwa magonjwa kadhaa...
  8. Siwezi kupanga chumba mimi sio mwanamke😬😬

    Mwanaume kwanza unalalaje ndani😜😜
  9. Msaada: Ndugu yangu (22) kaanza ubabe kwangu (31), kisa karefuka na anabeba vyuma

    copy paste fb 😂😂 JE NICHUKUE UAMUZI UPI KAMA MTU MZIMA. Ni mtoto wa ndugu yangu, mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa kama miaka 7 iliyopita, kipindi hicho tulitokea kuwa na mazoea sana, kahamia mkoani kwangu huku kiukweli dogo kapanda hewani yupo kama futi 6 .3,,,mimi nipo 5.9 Sasa kahamia...
  10. T

    Hatimaye nimekuwa baba. Ni raha iliyoje na mimi kuwa baba wa mtu

    Mwezi December 2021 nilileta hii mada hapa kwamba natarajia kua baba, na kweli ndani ya mwezi January 2022 nikapata nafasi ya kua baba Kweli. https://www.jamiiforums.com/threads/baba-mtarajiwa-nini-natakiwa-kufanya.1943235/page-3 Girl friend wangu alijifungua salama Salmin mtoto imara wa kiume...
  11. Diana Bundala aka Mfalme Zumaridi, afikishwa Mahakamani akikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu

    Mchungaji Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayokabili. Msafara wa magari matatu aina ya difenda zilizolindwa na askari waliojihami kwa silaha umewasili katika mahakama hiyo saa...
  12. Nani alikwenda kumuuliza Mzee Ally H. Mwinyi "Mzee na mimi?"

    Inatajwa kuwa miaka ya 1980s kuelekea 90s Mzee Mwinyi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alivunja Baraza lake la mawaziri. Nini kilimfanya alivunje baraza hilo Inasemekana kuna waziri mmoja alimfuata Mzee Mwinyi in person kumuuliza kama na yeye (huyo waziri) anahusika (inasemekana...
  13. K

    Msinililie mimi bali jililieni ninyi nafsi zenu na watoto wenu

    Leo nakuja na aina nyingine ya mawazo kwa dhamira njema ya nchi yangu na taifa, hii siyo kwa ajili ya maslahi ya mtu mmoja mmoja ila kwa maslahi ya nchi Hivi toka uhuru hakujawahi kutokea mjumbe, balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa mtaa au mjumbe wa kamati ya ya ulinzi na usalama wa mtaa...
  14. J

    Sijui ni mimi tu au kuna wengine pia?

    Jamani mimi hata mwanamke awe mzuri namna gani, kama anachonga/ananyoa/anapunguza nyusi lazima anishinde. Sipendi kuona nyusi za mwanamke zimechongwa. Yaani niko tayari kumvumilia mwanamke mchafu, mvaa mawigi, muweka mikope ili mradi tu hachongi nyusi. Siku hizi najitahidi sana ninapozungumza...
  15. Mimi Mwanaume na hekima zangu zote, mwenzenu nalizwa na mapenzi

    Mapenzi yamenitoa machozi, Nimempenda huyu dada kiasi kwamba nikijishahuri kumuacha roho inaniuma, inauma sana. Nikimuona na wanaume wengine naumia sana. Hasa pale atakapokua akiongea na wengine anakua na furaha, wakati akija kwangu anakuwa mkimya na mnyonge. Yani natamani nimfurahishe kwa...
  16. Nimeomba “threesome” na Wanawake wawili kiutani wamekubali, nipo njia panda

    Wanajukwaa am puzzled! Nimeduwaa! Nimekuwa naenda kiwanja fulani basically nina asili ya upole, utu, busara, hekima, mapungufu hasira na pia ni typical introvert (reserved), kawanda sana sipendi show off kbsa na I put on low profile always always, sio mgomvi na sipendi ugomvi, nina weakness...
  17. M

    Rais Samia: Tundu Lissu ni mdogo wangu tu, mimi ni Rais na ni dada yake

    Binafsi na kwa Umri wangu huu sijawahi kuona Rais mnyenyekevu na mpole kama huyu (She is so simple ever). Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba na kuwasihi watanzania wote wanaopenda amani, utulivu na ustawi wa mtu mmoja mmoja tumuungeni mkono Rais wetu kwani ni hakika anatupenda sana kama Taifa...
  18. Mimi na wenzangu tumefurahishwa na kiwango cha Peter Banda

    Huyu dogo ana kipaji nina hakika hapa Simba Sc anapita tu kama njia. Ukimtazama kwa jicho la karibu utaona mpira mkubwa anaocheza. Mechi ya Asec aliupiga mpira mkubwa sana pamoja na kukosa magori kadhaa. Jana nilimfuatilia kwa karibu sana nimebaini ana madini mguuni. Huyu akipata striker...
  19. Alichofanyiwa Shaffih Dauda ni udikteta, nimeambatanisha post ya Shaffih iliyowatibua madikteta

    Binafsi ni shabiki wa Yanga na linapokuja imapokujaga ishu ya kumtathmini Shaffih huwa hauhitaji degree kujua kwamba ni shabiki wa Simba na mapenzi yake ya simba yanaleta mgongano wa maslahi katika kazi yake ya uchambuzi, mzani wake katika uchambuzi unapoegemea upande flani hapo ndipo anapotoka...
  20. Kenya2022 Dkt. William Ruto: Sitaki miaka 10 ya Urais, nipeni mitano. Kazi yangu ikiwavutia niongezeni mitano tena

    Naibu wa Rais #Kenya Dr. William Ruto amezua hisia mseto miongoni mwa wananchi baada ya kusema hatamani kudumu kwenye urais kwa kipindi cha miaka 10. Hayo aliyasema wakati akinadi sera zake za 'Hustler Nation' yaani taifa la wapambanaji katika kaunti ya Nyeri. "Sina haja na miaka 10 ya urais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…