Kwangu mimi wafuatao ndiyo Marais wa Afrika waliokuwa na wenye uwezo wa kuhutubia bila kusoma mahala popote

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,742
109,177
1. Hayati Baba wa Taifa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

2. Hayati Baba wa Taifa Afrika Kusini Nelson Madiba Mandela

3. Hayati Mkombozi na Baba wa Taifa wa Congo DR (zamani Zaire) Patrice Emelly Lumumba

4. Hayati Baba wa Taifa Ghana Kwame Nkurumah

5. Hayati Rais Benjamin Mkapa

6. Rais Yoweri Museveni

7. Rais Paul Kagame

Na GENTAMYCINE nikaenda mbali zaidi kufanya Utafiti na kugundua kuwa Watajwa hapa pia wana IQ Kubwa sana kiliko Marais wengi waliokuwa wa Afrika na hata kwa baadhi waliopo sasa.

Wataalam wa Saikolojia wanasema kwamba kuna Uhusiano mkubwa mno wa Mtu anayehutubia bila Kusoma popote na Uwezo wake mkubwa wa Akili na kwamba wengi (japo siyo Wote) wasioweza kufanya hivyo (wapenda Kuandikiwa na Kusoma Hotuba zao) hawana Akili.
 
Una ushahidi wa kujitosheleza wa hao Viongozi kuhutubia pasipo kusoma mahali popote?
 
Nilikuwa nafikiri kuandikiwa ni sehemu ya kupeana kazi.Kumbe ni kumrahisishia msomaji.Mi mkinichaguwa nitakuwa nahutubia bila kusoma.
 
Back
Top Bottom