Hello JF,
Niende kwenye maada, ebana eeh I have tried lots mi kuwa na mademu wawili nimeshindwa hawanitoshi, for two years nimejaribu nibaki na wawili nimeshindwa nilikuwa na Vaileth na Glory, ila wapi imebuma nimeongeza. Jack na Mary, am trymng but when I see women with diverse features...