mimi

  1. Wanawake wa kwanza kuzaliwa (first born) sipatani nao na mahusiano hayadumu. Je, ni mimi tu au tupo wengi?

    Hello mambo JF Crew!! Hatari sana, wanawake first born imetokea sipatani nao kabisa mahusiano hayadumu nawapata kirahisi mno ila naishia kunyandua tunaachana wananikorofisha ujeuri, kibri na dharau nyingi, wanapenda kunyanduliwa hovyo hovyo hasa wenye majina E, A nikisikia herufi hizi nakata...
  2. Hata mimi ningekataa

    Japhet Maganga Katibu mkuu wa chama cha walimu (CWT) aliteuliwa mkuu wa wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera. Ndugu @ole_mushi akasema MagangThadei Ole Mushi huo uteuzi kwa sababu ana mshahara wa 7.8M kama Katibu mkuu wa CWT, lakini akienda kuwa DC atalipwa 3M. @ole_mushi akasema, licha ya kwamba...
  3. Mimi nasema kwa sasa katika ya medical laboratory scientist na MD bora ni medical laboratory scientist

    Mimi nasema kwa sasa katika ya medical laboratory scientist na MD bora ni medical laboratory scientist
  4. Ili nipate uteuzi ni lazima kuwa kada wa CCM au niwe Chawa wa Mama?

    INTRODUCTION Eeh bwana ehh habari zenu Nikiri Mimi sio shabiki kabisaa wa siasa. Yaani sina Kadi ya chama chochote na sifikirii kuwa na Kadi ya chama chochoteee kileee. Na kifupi huwa sifatilii zile habari za siasa zaidi ya hizi ambazo zinapostiwa insta kwenye page za habari za labda msingwa...
  5. Kwanini Mimi hiki Kitu nakiweza ila 99% ya Wanaume Wenzangu hawakiwezi?

    Kutongoza Mke au Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu na Kumbandua / Kumpekecha? Kuwa mwepesi Kushawishika na Mke / Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu ili nilale nae / nimpekeche? Je, Mimi ni Mshamba na hiki nikifanyacho ni Ushamba na Uzembe na kwamba hawa 99% ya Wanaume Wenzangu wanaofanya...
  6. A

    Mimi ndio boss we mfanyakazi unataka haki sawa ufanane na mimi

    POVU: KUNA KIMTU KIMENIKERA ASUBUHI ASUBUHI Kuna kamtu kananiletea hoja za haki sawa. Yaani katoto ka 2003, ana miaka 20 kasoro miezi kadhaa kananihangaisha mzee mkubwa na ndevu zangu. Yani nikaajiri, kasifanye kazi nnayotaka, kajipangie siku za kuingia kazini na muda wa kutoka halafu...
  7. Mungu ni mwema watoto wangu ninao mimi sasa

    Habari zenu wakuu poleni na shughuli, Niende moja kwa moja kwenye mada mwaka jana mwishoni baada ya kushindwa kuvumilia visa na dharau kwa aliyekuwa mke wangu pamoja na vikao vingi vya usuruhishi kugonga mwamba, Niliamua kuchukua uamuzi wa kumuachia mji mwanamke na mimi kwenda kuanza maisha...
  8. TP Mazembe ya Katumbi niijuayo Mimi haiwezi kuacha Mchezaji mzuri na ikimuacha jua huyo ni 'Kapi' na hafai Kwingineko

    Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto Mkongo (Bandeko Nangai) Baraka kutoka Namungo FC halafu tukampata na Kipa wa Kigeni wa Kumtia Adabu...
  9. Ponda mali kufa kwaja! Nifanye saving ili iweje? Mimi ni mwendo wa kuponda mali tu

    Kwanza mimi ni marehemu mtarajiwa nifanye saving ili iweje? Nigundue nini hasa? Nitaponda mali mpakss maji yaseme mma kwanza maisha yenyewe ni mafupi hasa cha kufanya saving mimi ili iweje? Juzi kuna mwana 30's amepoteza maisha hivi lakini kwenye account alikuwa na almost 150 million mbio zote...
  10. Mungu nisaidie kijana wangu asiwe muhuni kama mimi, hatojenga

    Jana shule zimefunguliwa dogo uniform hazimtoshi, mekua guafla anazidi kurefuka mno. Likizo hii vibinti vya umri wake vilikuwa havikatiki nyumbani, tubinti tuzuri kweli, siku hizi inakuwaje wanawake wabaya wanazaa mabinti wazuri kweli? Mimi sio handsome ila yule mtoto wa mama mkwe alinizalia...
  11. Hii pia ni bahati usinichukie mimi

    Ujue nimekua nikionewa sana kisa nina blue tick ( Varified ) Ndugu zangu juhudi tu na bidii zangu zimeonekana huko majuu huko🫣🫣🫣 sio mimi ninae toa varification, tusichukiane, tupwndane plz 🙏🏻🙏🏻, Napenda new ideas & friends for positivity na sio kutengeneza uadui🥺🥺.
  12. S

    Je, ni mchambuzi yupi wa mpira (pundit) unamkubali sana? Mimi namuelewa sana Amri Kiyemba

    Kama kicha cha habari kinavyojieleza ...haya twende kazi
  13. Mimi ni mzalendo wa kudumu wa Tanzania naomba Raisi Samia ashughulike na hili

    Salama wandugu, Mimi mwanaccm na mzalendo wa kudumu wa taifa hili pia ni timu Magu Ila kwa yaliyotokea kwa wapinzani naomba radhi kwa niaba ya JPM. Hili lilikuwa linachoma moyo sana, naomba Raisi Samia ashughulikie hili kama anawajali wapinzani au nasema uwongo ndagu zangu.
  14. Natafuta kazi ya kufundisha fani ya uhazili

    Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial. Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office practice, Typing Lakin pia Enterpreneurship Education and training..! Niko DSM Email...
  15. Who am I / Mimi ni nani?

    Tahadhari! Mwandishi wa Uzi huu amejikuta anajiuliza yeye Ni Nani baada ya subconscious mind kuleta kumbukumbu kadhaa katika Maisha yake, kwahiyo anawaza Kwa sauti kubwa!!! Nikiwa shule ya msingi nadhan Darasa la tano au la sita, wanafunzi wenzangu waliniambia huwa wanamuona Baba yangu kwa...
  16. Niaminini mimi, Asernal hachukui ndoo hata ya maji EPL

    Msindikizaji Sana huyu dogo. Anasindikiza baadae wanachukua wengine.
  17. Bunge linapitisha mambo mimi kama mtanzania nikiangalia naingia huzuni

    MWANAHABARI nguli na anayeheshimika nchini Tanzania, Pascal Mayala amelitupia lawama Bunge la Tanzania kwa kupitisha baadhi ya mambo ambayo kuna wakati yanampa huzuni na hasira kubwa. "Kuna baadhi ya mambo ambayo Bunge letu limefanya ni mambo ndivyo sivyo,hakuna anayejua mambo haya ni ndivyo...
  18. Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Habari za majukumu ndugu zangu wa Jf, Kama kichwa cha habari kinavojieleza yaani nimekuwa sina hisia kabisa na huyu binti ambae ni dhahiri kabisa anaonekana kabisa kuwa na faida kwangu. Kwanza ni mpole, msikivu na mcha Mungu na ninaona kabisa huyu ni mke bora kabisa kwangu ila tatizo sina...
  19. Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

    Mwenzenu kila nikiwaza mboga ya kula siku hiyo napata tabu sana, yaani natumia muda mrefu sana kuwaza mboga na wakati mwingine nakosa najikuta kila nayowaza nimekula siku za karibu. Yaani kujua mbga ya kupika kwa upande wangu ni tatizo sana natamani hata ningekuwa naambiwa tu pika mboga hii leo...
  20. Nimelelewa na kusoma shule za Mapadri lakini ni Muislam safi tu. Habari za kubishana kuhusu dini hazina maana

    Kwa sisi watu tuliopata bahati ya kusoma maandiko Bible na Quruan huwezi kuona tunabishana kuhusu dini, maana maandiko ndiyo Maisha tulionza kuyaishi takribani miaka 7 hadi leo tumekuwa watu wazima. Kwahiyo, hizi ligi zenu kuhusu dini sahihi kati ya christian na uislamu, jibu ni moja; soma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…