Nakumbuka kipindi chote cha miaka kumi na mitano,nilipokuwa miongoni mwa wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,miswada mingi ya sheria ilipokuwa ikiletwa bungeni tena mingine kwa hati ya dharura,
sikutaka kabisa kujihangaisha kuipitia kwa umakini kabla sijashiriki kuipitisha...