mimi

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je, ni nani anayesoma au kunifuatilia au hata kuni admire mimi superbug humu jamiiforum?

    Hakuna jambo jema kama kujua unapendwa na watu pia wanakupa attention je mimi Superbug napendwa na je nani wananiadmire humu jamiiforum? Pia naomba kama wewe ni mpenzi wa kupenda kupendwa basi weka jina la member unayemfwatilia humu. Binafsi nawafwatilia wengi almaarufu ni Pascal Mayalla...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mtanganyika

    Jina langu ni Clearmind. Natambulika hivyo hapa JF, japo kwa muda sasa nahangaika kutimiza ndoto zangu mbali na nyumbani. Natamani kukiri kwamba najivunia kuwa Mtanganyika. Katika siku hizi za kisasa, ambapo mipaka ya nchi na majimbo inatambulika na kutambulishwa kupitia bendera, wimbo wa...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mimi sio motivatonal speaker ila nina uhakika zifuatazo ndizo sababu kuu za sisi Waafrika kuwa na maendeleo duni ya kifikra na mali.

    Kuna wakati nilihisi tumelaanika, kuna wakati nilihisi ndivyo tulivyopangiwa kuwa. Kuna wakati nilihisi mafanikio tunayoyasaka ni mipangilio ya mzungu alioleta labda hii ligi sio yetu kwa maana asili yetu ilikuwa ni bush kufanya hunting and gathering. Lakini i was wrong, Sio kwamba sisi ni...
  4. Samantha Lewthwaite

    JamiiForums Tanzania Mgeni mimi

    Hello everyone my name is Samantha Lewthwaite am thrilled to join JamiiForums today,I was a guest almost 6 years back but I decided to join today after being limited to view thread AKhsante nawapenda sana
  5. haszu

    JamiiForums Tanzania Nina bahati mbaya na ma Ex, wengi wanavinyongo na hasira na mimi.

    kuna huyu dada ye mwenyewe ndo alijileta, baada ya muda kwenye mahusiano nikamwambia ukweli kwa nia njea ya kumsaidia kua mi naona yeye sio type yangu , kuliko kupoteza muda ni vema aangalie atakaeendana nae mana mi sioni future na yeye. Ningeweza kumchezea na kumpotezea muda ila nimeamua kua...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Yamenifika shingoni sijui la kufanya mimi

    Kwa walionizidi umri shikamoni na kwa wa umri wangu habari zenu? Kilichonileta mbele zenu ni hiki ndugu zanguni ni haya nayopitia na baba yangu licha ya kuwa na maswaibu yanayonisumbua kwa muda mrefu mpaka nashindwa kufanya kazi zangu kwa kuamua bali huwa najilazimisha ivoivo baada ya kuona...
  7. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

    Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela 1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!! 2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee linayeyuka, nakua silioni tenaaa ....!!!! Dear baby, ukiniomba hela hiyo meseji sijibu ng'ooooooo...
  8. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

    Habari zenu watu wa mapenzi. Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani. Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa halotel, Weka speed test yako na eneo ulipo, naanza mimi.

    pima speed yako >> minya hapa << Halotel internet speed test yangu nimepima nikiwa Iringa mjini, Je huko kwako ni ngapi ?
  10. Noel france

    JamiiForums Tanzania Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Mimi ni Mtu wa 'Kiki' na mambo mengi ninayoyafanya huwa Nadanganya tu, kwani 'Kiki' inalipa Tanzania

    Haya leo nadhani mmejua kuwa hawa Watu wenu Mitandaoni huko Maisha yao tunayoyaona huwa siyo Uhalisia Oky? Nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Mwenyewe.
  12. Pridah

    JamiiForums Tanzania Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Habari wapendwa. Leo naanza kwa kumshukuru Maxence Melo kwa kuanzisha hii platform ambayo leo nitaitumia kusema kitu ambacho nikikisema ktk maisha yangu halisi nitaonekana wa ajabu na nina hakika kuna wapendwa wangu watanitenga hivyo nitawaambia nyie japo najua mtanipopoa sana leo ila nataka...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

    Wakuu Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko. Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board. Natamani kuacha lakini life ngumu.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi ambaye huwa hamuelewi anachokifanya huyu Dada Dk. Anna Henga wa LHRC ni Mimi peke yangu au?

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimelaani hatua ya Jeshi la Polisi kuwashikilia baadhi ya Viongozi na Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadhi ya Waandishi wa Habari, baada ya Chama CHADEMA kupanga kufanya kongamano la maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi

    Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana. Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa Pia soma: Kuelekea 2025 - Msajili...
  16. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni kilimo kipi hicho ambacho Raisi anatamba sana kukikuza? Sikioni mimi, wewe unakiona?

    Ukienda Kanda ya Ziwa kilimo cha pamba kimekufa na ile mikoa sasa ina idadi kubwa sana ya masikini kwa sababu moja ya zao walilo kuwa wanategemea sana enzi na enzi lisha kufa. Kahawa mikoa ya kaskazini inaendekea kufa,Kilimanjaro kule hakuna mtu anataka kulima kahawa tena, kote huko Arusha na...
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nimtongoze anikubalie, halafu umtumie majeshi badala ya kupambana na mimi

    Hii imekaa kiwaki sana. Nimejaribu kuassume tokea majuzi, naona haiingii akilini kabisa. Mfano ulio hai, nina mke, Mama Chanja. Kusema kweli ninavyovipata kwa Mama Chanja sijawahi kuridhika, kwanza nimezoea na isitoshe siku ninapoitaka, yeye anakuwa out of mood, siku ambayo nimepiga zangu vileo...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Juhudi zote hizi zipotee,hata Mimi nitakata rufaa

    Huyu Sweetbert Nkuba ana haki ya kukata rufaa sio kwa Mbwembwe kqma hizi
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Injinia Hersi hizi za chini chini Mimi niliye mbali Kijiografia nilizonazo na Wewe pia unazo au?

    Kuwa kuna Mtu Kesho Citizens Day anaweza akayakoga Matusi makubwa, kutakiwa aondoke na hata Kupopolewa pia.
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mama wa nyumbani, darasa la 7 lakini ana maono, yuko smart na anaona mbali kuliko mimi

    Sijui niandike vipi aisee! Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali. Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa...
Back
Top Bottom