mimi

  1. G

    Age-mates wangu waliojiingiza kwenye ndoa wamechoka, wanatia huruma. Mimi ambaye bado "napuyanga" naponda raha tu

    Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana. Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri. Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila...
  2. Ni komenti yako ipi au uzi wako upi uliouanzisha ambao unatamani uufute? Ya kwangu mimi ni hii

    Eeh bhana Kunabaadhi ya komenti tunaandika au nyuzi. ila baada ya muda mtu unakuja kuufahamu ukweli ambao unakuwa ni tofauti na komenti yako au uzi wako ulioanzisha. Binafsi nimegundua kunasehemu nikiandika tango poli bila kujua na nitashea nanyi leo. Komenti yangu niliandika kwenye uzi wa...
  3. Nafanya kazi ya kudesign graphics, ukinihitaji tafadhali nitafute

    Graphics design zote ninafanya. Ukinihitaji nakutumia CV yangu unaipitia. Mawasiliano: 0743442532
  4. M

    Mtaji nitafute mimi, biashara nianzishe mimi, wewe uamke uje kunitishia , eti ni serikali, dunia ni kubwa sio lazima kukaa kariakoo

    Maneno ya rafiki yangu mkinga . Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu. Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za...
  5. Penzi letu na mpenzi limevuja tena ndio bye bye limeishaa! Almost 4 years ila sio riziki isee!

    Jamani ndo hivyo limeshavuja tena nimebaki napuliza majivu maana moto siuoni.. ndio ameshatoboa mtungi majii yananimwagikia tu pwaaa!pwaa! Zile sifa zote alizoniambia kwamba kama mimi hajawahi kumuona ila nashangaa hakuniambia alivyokutana nae! Dah....!
  6. M

    Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  7. M

    Mimi maombi yangu ni kuwa viongozi wapige marufuku waganga wa kienyeji.

    Sipaji jibu kwa nini viongozi mnakumbatia waganga wa kienyeji kwenye nchi.Ninaomba sana watu Hawa wapigwe marufuku wasiwepo Tena.Kwenye hii Karne ya sayansi na technolojia sidhani tunaohitaji Tena waganga wa kienyeji.Ni kundi la watu ambao ndani yake Kuna utapeli usioweza kuelezeka.ili tuepukane...
  8. Mwanaume yeyote rijari asie penda kuwa kama mimi anyooshe mkono

    Ni hivi sijisfiii ila mimi mwenzenu napendwa jaman bila kutumia nguvu. Sihangaiki kuwa sifia na kujikomba kwao. Siwahongi hata thumuni zaidi ya kuwapa muda wangu na dudu ikitokea kumpa kitu basi nampa kama vile ambavyo ningeweza kuwapa wana wengine.. Kitu ambacho wanaume wenzangu hadi mhonge...
  9. Mimi huyo tarehe 13 july 2024😁

    😁🤸
  10. Kitabu cha TOBA kina msaada mkubwa kiroho. Mimi Nina ushuhuda.

    Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey. Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako. Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
  11. Mimi ni TEAM Hamas,Russia,Iran,Hizbullah,Houth Kama ndiyo na wewe njoo hapa tujuane

    Wana jamii kama kichwa cha habari kınavyosema hapa ni team hiyo hapo juu,kama una habari nzuri kuwahusu tafadhali tuletee hapa pia Tijuane!
  12. U

    Inamaana vyombo husika vimeshindwa kumshughulikia Mpina?! Kweli kabisa? Naomba Mimi nipewe kazi hiyo!

    Wadau hamjamboni nyote? Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa? Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu? Shida ni nini hasa? au bado mchakato inaendelea? Naomba Mimi mzalendo nipewe kazi hiyo, nipewe rasilimali...
  13. T

    Kwakweli Mimi hapa lazima nikusumbue tu

    "Nimeshakutumia Whatsapp na usinisumbue" Kwakweli Mimi hapa lazima nikusumbue tu, eti Otikiiii 😂 😂 🤣
  14. G

    Nimehitimu Kidato cha Sita, nina lengo la kusomea sheria. Vigezo vyake vinakuwaje?

    Mm mwanafunzi niyemaliza kidato cha sita ninalengo la kusomea sheria vigezo vyake vinakuwaje kulingana na ufahulu
  15. Picha: Unajua mimi ni nani?

    "Kuwa Makini kijana nitakupotezaa"
  16. Furaha ilioje, leo mimi ni baba wa mapacha!

    Natumaini ni wazima ndugu zangu Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako. Hadi sasa natafakari zawadi ya kukupa nakosa. Ulinipigia na kuniambia, Nahman unaendeleaje na kazi. Hongera tumepata...
  17. Mimi sio single tena

    Nadhani heading mmeiyelewa . Asanteni na usiku mwema. So nimewahiwa na mtu ninayempenda. Mafree manson naombeni mniache,namuache kutumia watu(group la makafara ) niacheni tafadhali. Mniache kwa damu ya yesu kristo.
  18. Upendo una viwango, nimegundua mzazi wangu ananipenda kwa kiasi kidogo sana

    Hivi kama mzazi anaweza kukubali mwanae afanye kazi ya ukaaba ili nyumbani wapate chakula na kulipa madeni hapo kuna mzazi kweli ? Mazazi ukiwa huna kitu mfukoni, ni anakutukana na kukukashifu kila wakati na kukutumikisha kama mtumwa, siku ukizipata anajileta kama mzazi sasa na yeye anaanza...
  19. Ni Mimi tu au wote tunaona Pacome bado hajapona na ana struggle sana kucheza

    Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika. NB: Hawa wachezaji walindwe au wajilinde na vishangazi aina ya mobeto vile havijui chochote kuhusu mpira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…