mimi

  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Bora Kuwa Single Maisha Yangu Yote kuliko kuwa na Mwanamke Ambaye Yuko na Mimi Kinafiki na Hanipendi

    Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke. Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto. Wanawake wengi...
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nifanye Nini, Niliacha Kazi Nikijua Napendwa Kumbe Mimi Ni Mume Wa Mchongo Tu!

    Nifanye Nini, Niliacha Kazi Nikijua Napendwa Kumbe Mimi Ni Mume Wa Mchongo Tu! Baada ya kumuoa mke wangu, alinishawishi niachane na kazi ili nisaidie kusimamia biashara zake. Nilikuwa nimeajiriwa kwenye kampuni moja ya simu na kipato changu kwa mwezi, mshahara na marupurupu, kilikuwa kama...
  3. monotheist

    JamiiForums Tanzania Leo msela mimi nimepika Wali Nazi na Mboga Nazi

    Leo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha MAHITAJI NILIYOTUMIA Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui la nazi, paprika, black pepper, curry powder, soya source, pilipili ya kuwasha ya unga, majani ya...
  4. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Najiuliza huu ujumbe nimeletewa na nani; kuna sauti imeniambia ndotoni ulime, ukizingatia mimi ni fresh graduate sina mtaji wala shamba

    Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Masudi: Haki ya nani Nimekoma Mimi!?

    Story kutoka mtandaoni Facebook 👇👇 Masudi anaelezea "Siku moja mida ya usiku nipo maskani tumepaki bodaboda zetu na washkaji zangu ikaja gari ikapaki pembeni ya bodaboda zetu. Ndani kulikuwa na jamaa. Sisi tuliendelea na story zetu. Ghafla akaja binti mmoja wa pale kitaani kwetu akaingia...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nawasihi ukitaka amani achana na Siasa kama mimi

    Kupanga ni kuchagua na kuamua ni uhuru, ukiachana na siasa raha sana, maisha burudani haina mbaya haina noma sana. Kaa mbali na noma za utekaji kuna maisha baada ya siasa, Pang Fung Mi
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni mimi peke yangu natamani maiti yangu ichomwe moto nikifa badala ya kuzikwa ardhini?

    Unapozaliwa tayari kuna risiti ya kifo huandaliwa, Kifo ni uhakika hakiwezi kukwepeka. Utaratibu uliozoeleka hapa kwetu mazishi hufanyika kwa staili ya kuumezesha udongo mwili, kaburi litachimbwa mwili utawekwa ndani yake kisha kufukiwa. Lakini mimi nimekuwa na approach tofauti kabisa...
  8. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kijiji chatumia midoli kuondoa upweke Japan! Hapa mimi sijaelewa!!

    Japani ni nchi ndogo mpaka uizidishe mara 2.5 ndo uipate Tanzania (Japan ni 378 km za mraba ukilinganisha na 947 za Tanzania). Pamoja na udogo wake, japani ina watu wengi karibu mara mbili ya Tanzania (Japan ni 124million ukilinganisha 70mill). Sasa haka kakijiji upweke unatoka wapi? Bila...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mimi superbug sifa zangu ni hizi

    1. Nina elimu ya Masters. 2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK. 3. Nina watoto 3. 4. Mke mzuri. 5. Mpare kwa kabila. 6. Naipenda Israel na Urusi. 7. Najua kutumia silaha za moto. 8. Najua matumizi sahihi ya R na L. 9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma. 10. Mpenzi wa simba SC...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni mitazamo gani mibaya uliyo nayo. Mimi yangu hii hapa...

    Kwema Wakuu! Kila Mtu anamitazamo Fulani àmbayo Ipo kimoyomoyoni kuhusu Watu. Baadhi ya mitazamo hiyo ni potofu Mingine NI Sahihi. Mimi mitazamo yàngu potofu niliyokuwaga nayo ni pàmoja na hii; 1. Nilikuwa najua kuwa Mtu yeyote mwenye Sura personal au tuite Sura ya Goti anajua ngumi. Baadaye...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Siamini kama leo mimi nimekuwa simple

    Kwema wakuu, Yaani demu wangu kanisaliti na mtu mwingine. Yaani kakaza mpaka mi ndo imebidi niombe msamaha. Dah hatari sana kwakweli
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Waalimu: Usome usisome, Ufaulu usifaulu Mimi mshahara wangu upo palepale

    Kuna baadhi ya walimu bana walikuwa hawana shida na mwanafunzi kabisa. Leo nimeikuta hii Facebook nikamkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda sana kusema hivi.
  13. Roseyree

    JamiiForums Tanzania Nina huduma ya kwenda kufunga mzigo kama ni Kariakooo au popote Dar

    Jaman mimi ni bint nimemaliza chuo na ni laboratory technologist proffesional naomba msaada wa connect ya kazi plz jsman nipo Dar es salaam mbezi Magufuli. Pia nina huduma hizi kwa waliopo mikoani na watakaka kununua bidhaa dar es salaam popote Nina huduma ya kwenda kufungia mzigo kama ni...
  14. nipo online

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna haja ya kuhesabu pesa Baada ya kutoa Atm? Mimi hua nahesabu duh.

    Japo nahis nakua kama kituko hivi, ila hua nahesabu kila napoenda nahisi mashine inaweza wrong hivi.
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Wasiri Katibu Tarafa wa Mkulukulu

    Zamani nilikuwa katibu kata sasa nimepindishwa cheo Sifa zangu (nyingine za kijinga) . Kupenda mipasho ya mitandaoni . Hulka ya kujiona najua kila kitu . Hasira na ghadhabu bila sababu za msingi . Vinyongo vikali mno . visasi na malipizi kwa uzito unaostahili . Kwangu mimi adui simpondi Miguel...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

    Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Tumeachana lakini mwanamke hataki tulee mtoto pamoja; baadaye anataka aseme katelekezewa mtoto na hicho kitu mimi sikitaki

    Habari zenu wakuu, Kuna jambo moja nataka kushare na nyie, nilikuwa katika mahusiano na mwanamke mmoja tukafanikiwa kupata mtoto mmoja tuishi pamoja toka 2021 tumekuja kutengana mwezi wa sita mwaka huu na sababu iliyofanya kutengana ni mke wangu kuanza kubadilika, ana kiburi kupita kiasi...
  18. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mimi na familia yangu tumeshajiandikisha kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu kwenye daftari la mpiga kura wa serikali za mitaa kama maandalizi...
  19. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe nimemueleza aje amchukue binti yake kama anaona mimi namtesa

    Wakuu.... Naombeni niwaulize kitu; Hivi mfano ndani kuna Mchele, mafuta, nyanya, kitunguu yaani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu na sio kila siku atakosa hiyo mboga kwa kuwa ni upepo mbaya umepita sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu? Unajua...
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki wa kike awe Mafinga au Iringa mjini umri awe 35 and above Mimi ni mweusi Nina miaka 43

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi. Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
Back
Top Bottom