mimi

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Tulipiga kelele za wezi kuzuia tukio lililoonekana ni la utekaji, nashangaa tumeitwa Polisi kwa ajili ya tukio hilo

    Jumamosi, katika eneo la Manzese, karibu na kibanda changu cha chipsi, kulitokea tukio ambalo lilitutia wasiwasi sisi tuliokuwa eneo hilo. Kulikuwa na bodaboda mmoja aliyesimamishwa na watu waliokuwa kwenye gari aina ya Noah. Mwanzoni, sisi tuliokuwa pale kijiweni hatukuhisi kwamba kuna jambo...
  2. JamiiForums Tanzania MODERATOR NI HESHIMUNI SANA ....🤟🙏🙏 MIMI NI MIMI ⁉️

    TAARIFA KWA WANACHAMA WA JF Nimeona ni vyema kuweka jambo hili wazi. Mimi siungi mkono upande wowote wala sina ugomvi binafsi na mwanachama yeyote hapa JF. Mimi ni mimi, sina mtu mwingine nyuma yangu, wala sina ID nyingine za kujificha. Nimejiunga na JamiiForums kwa lengo la kujifunza...
  3. JamiiForums Tanzania Nyie watu wenye nongwa na mimi mnajisumbua tu

    Kuna level ya Uoga na kujali maneno ya watu nilisha ivuka, so kama mnadhani hizi nyuzi zenu za kimkakati wa kunipakazia ujinga humu jukwaani zitanitoa mchezoni mnajidanganya sana Naona mnakazana sana, ila tambueni yaani ndo mnanifanya nione kazi ya kuwanyoosha inazaa matunda maana vilio...
  4. JamiiForums Tanzania Mimi kama Gengis hii ndio misimamo yangu hapa Jf

    Mzuka wana jamvi ? Wanadamu tonatofautiana mitizamo na misimamo , Mimi kama 'Gengis ' katika maisha yangu ya hapa jukwaani nina Misimamo ifuatayo ; 1. Siwezi kuwa na multiple ID . Kwangu naona ni udhaifu na uwoga kivipi mtu ujifiche kwenye vichaka tofauti hauwezi kuFace uhalisia kujiamini...
  5. JamiiForums Tanzania Binti yangu hakutaka kuwa atheist kama mimi

    Aliniomba nimchagulie dini bora , nikapendeza awe binti wa kiislamu kama bibi yake zamani hizo , sikupenda awe mchristo kama mimi japo now sina dini yeyote 🤣
  6. JamiiForums Tanzania Mimi kama atheist 🤔

    Mimi siamini Mungu kabisa wala simtaki kwenye maisha yangu, mimi nimezaliwa kama mkatholic nimesoma marangu kama mlutheri,. Katika ukristo bora ulio nipa nafasi ya kusoma nakujua dini zote ni wa Lutheran baba wa wa protestant 🤔 Asili yangu kwa mama ni mpalestina na baba ni mmatumbi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibarua au kazi Geita mimi ni wakike

    Jamani maisha magumu mwenye connection au kazi au kibarua kwa geita au Mwanza pls nahitaji
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mjumbe hauawi, ni Mwamba Heche na si mimi

  9. O

    JamiiForums Tanzania NIAMINI MIMI

    INASIKITISHA SANA WENGI WANAJUA NI KUSAFISHA MIJI ILA UKWELI NI KWAMBA WANAOGOPA MAANDAMANO. SUBIRI IVUKE HII 29 OCTOBER VIZURI WATU WQTAANZA KIREJEA KWENYE MAENEO QALIYO JIPANGIAGA MPAKA WANAJAA UPYA.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kama Ulimwengu Jenerali Kasema mimi ni nani kubisha?

    Katika ulimwengu wa habari, sheria, na uchambuzi wa kina nchini Tanzania, jina la Jenerali Ulimwengu halihitaji utambulisho. Ni gwiji na sauti ya hekima inayotazama mambo kwa jicho la mbali sana. Hivi karibuni, katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Habari Duniani (IDUAI)...
  11. JamiiForums Tanzania (video) TUNDU LISSU : "Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi"

  12. S

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya ardhi; Laiti siku mimi fundi samico nikiwa kiongozi wenyeviti na watendaji wa mtaa watanyooka, Huwezi kuuza eneo lenye mgogoro

    Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi; Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi! Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa; 1. Wenyeviti wa mitaa 2. Baadhi ya watendaji wakishirikiana na wajumbe wa mitaa 3. Baadhi ya watumishi wahuni wa mamlaka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

    Hili la mtu kuchomwa baada ya kufa sio common sana kwa Afrika lakini kuna baadhi ya Waafrika eti akifa anachagua kuchomwa badala ya kuzikwa mwili mzima. Mimi hii naiona kama cult kwa sababu hainiingia akilini kuona mtu anachagua kuchomwa, badala ya kuzikwa ambayo mwili mzima kama ilivyo asili...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi au mchongo wowote ili niweze kujihudumia Mimi na wanaonitegemea

    Habari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia. Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es salaam kwa sasa, Nina skills zifuatazo: 1. Ni Mwalimu wa mathematics na chemistry kwa Taaluma 2. Ni...
  15. JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi Lissu kafanya kosa la uchochezi sio uhaini

    Aliwachochea watu wakaenda kutenda walichotenda. Tena sio yeye tu bali chadema yote; ifutwe. Vinginevyo akamatwe tena kwa ushahidi mwingine.
  16. JamiiForums Tanzania Mimi sikubaliani na mtazamo wa Padre Kitima kwamba wananchi ndio waongoze mchakato wa maridhiano

    Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake. Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi. Kwenye theory inasound vizuri, lakini tukija kwa ground inakuwaje? Wananchi gani? Wanawakilishwaje? Nani anawaita? Nani...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natamani huu ujasiri wa huyu mwamba ningekua nao mimi

    Juzi wakati nimesimama mbele ya ofsi za kata maeneo flani Kuna askari polisi wa kike akawa anakuja anaongea na simu basi nayeye katika kuongea kwake na simu inaonekana yalikua maongezi marefu akawa amesimama hayo hayo maeneo. Mwana mmoja kavaa zake simple tu kaputula jinz ya mtumba,t-shirt ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mimi ni mwafrika "utamaduni wetu ni hela"

    Mimi ni mwafrika "utamaduni wetu ni hela" ungependa kuhisi kuwa ipo siku utavaa mavazi ya asili yetu... Jamii ya kitanzania itabadilika na kuanza kupenda Asili yao? Hisi umebeba kitu kizito kichwani
  19. JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutopata internet ruta ya airtel. Ili ni tatizo la wote au mimi peke yangu?

    Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate...
  20. JamiiForums Tanzania Ulioa au unataka kuoa kwa sababu gani? Mimi sababu zangu ni hizi hapa👇👇👇

    Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?. Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino. min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe. adriz de...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…