mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Baada ya Wanaume wengi wa Tanzania kuwa Utopolo Vitandani, Wanawake wakimbilia Mimba za Kupandikiza Muhimbili

    Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii. Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi. Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
  2. Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala

    Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano. Profesa Joyce Ndalichako amesema haya... Kwenye upande wa watoto wa...
  3. M

    Kinywaji cha CocaCola na Limao zawa mbadala wa Condom ili kuzuia Mabinti Kushika Mimba

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayoonyesha kuwa huenda mwisho wa dunia unakaribia Mabinti wengi nchini Kenya wanatumia Kinywaji cha Coca Cola na Limao kuzuia Mimba pindi tu wamalizapo kufanya Ngono ( Kuzini ) " Tukimaliza tu kufanya Ngono haraka sana huwa tunawahi Bafuni na kujimwagia...
  4. Serikali ya Tanzania imesema inatarajia kuanza kutoa huduma ya upandikizaji wa mimba (IVF)

    Huduma hiyo inaanza ikiwa ni miaka miwili sasa imepita tangu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuanza maandalizi ya utoaji wa huduma hiyo ikiwemo kusomesha wataalamu na kuandaa jengo litakalotumika kutolea huduma hiyo. Akizungumza bungeni leo Jumanne Mei 11, 2021 wakati akiwasilisha bajeti...
  5. Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

    Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina. Soma kwa makini kuna fundisho hapa Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu. Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada...
  6. Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

    Ni mdogo wangu wa kike, anayoyapitia yananiumiza mimi kama kaka yake. Najiona mwenye hatia ndani ya nafsi. Wazazi wetu walifariki na kutuacha tukiwa wawili, tukiwa wadogo. Mimi kama kaka niliingia mtaani na nikaishi mtaani kama chokolaa, nilishuhudia na kujionea ni namna gani wanadamu walivyo...
  7. Je, ni kweli kuwa Wanyama wa Tanzania huenda kupata mimba Kenya kama alivyosema Rais Samia?

    Wanajamvi mwaendeleaje wanangu? Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania. Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana? Je...
  8. Nimemwambia nibebee Mimba ili nikuoe hataki

    Wakuu habari Huyu binti nahisi kaikosa ndoa, yaani ni zoezi simple lakini anashindwa kutekeleza, wakuu sikuizi watu tumeshtuka hatutaki kuoa mwanamke asiyezaa, nahisi huyu binti anataka kuzeekea nyumbani. Inabidi tushtuke wakuu ndoa nyingi zimekosa mvuto kutokana na kukurupuka kuoa mwanamke...
  9. Ujauzito huonekana kwenye kipimo (UPT) baada ya siku ngapi?

    Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa. Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe kuanzia 20 hivi mwezi huu huu wa nne akaanza masihara kudai ana ujauzito mara baba kija mara ooohh...
  10. Ng'ombe wangu hawashiki mimba

    Habari ! Ngombe wangu wana tatizo. Kwanza walikua wanamimba wote wawili, then zlivyofika miezi minne - mitano zikatoka wote. Baada ya hapo wamekua wakiingia joto lakini kila nikiwapandisha hawashiki mimba wote na ndama wao wameshakua wakubwa wanakaribia mwaka, still ng'ombe bado wanakamuliwa...
  11. Wanaume tuwe tunaanzisha mahusiano na wanawake tunaowapenda ili tukiwapa mimba tusiwakimbie

    Habari wanandugu wa JF, Sorry kama nitashindwa kuhusianisha heading na content Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwa kumekuwa na wanawake wengi ambao wametelekezewa watoto au mimba hii hutokana na sisi wanaume kuhitaji sex tu. Ila matokeo ya hiyo sex tunayajua ila huwa hatuyataki unakuta mwanaume...
  12. R

    Tumechoka sasa! Hawa wanawake wanaosingizia watu mimba pia nao washtakiwe

    Habari wadau, Nimepokea kwa masikiriko taarifa za diwani wa chadema pale Hai kuachiwa huru baada ya kubambikiwa kesi amebaka na amempa mimba msichana sasa toto limezaliwa DNA sio zake jamaa kashinda kesi kilaini kabisa; sasa najiuliza upande wa pili wa shiling kwanini wanawake watumike kisiasa...
  13. Kutoka kwa mimba: Fahamu sababu na Dalili zake

    Kutoka kwa mimba changa ni nini? Miscarriage au kutoka kwa mimba changa ni kupoteza ujauzito kabla haujafikia wiki ya 20. Jina la kitaalamu kwa upotevu huu wa ujamzito mchanga ni “Spontaneous abortion” ikimaanisha “upotevu mimba wa ghafla”. Zaidi ya asilimia 80 ya upotevu mimba changa hutokea...
  14. Askofu Nkwande: Bungeni sio mahali pa kufanya mambo ya mzaha au kuongelea utoaji mimba na mapenzi ya jinsia moja

    Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande amesema bungeni ni mahali patakatifu na si pa kwenda kufanya mzaha na kuzungumza kuhusu uzazi wa mpango, utoaji mimba au mapenzi ya jinsia moja. Ameeleza hayo Ijumaa Machi 26, 2021 katika ibada ya mazishi ya Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania...
  15. Zambia walipojaribu safari ya mars na moon: na mwanaanga wao alipoishia kupata mimba (1960s)

    Haikuwa tu Amerika na Umoja wa Kisovyeti katika mbio za kuufika Mwezi na Anga za mbali katika miaka ya 1960. Kifungu cha habari katika jarida la Time 1964 kilichoelezea kuhusu uhuru wa Zambia kilijumuisha habari nyingine kuhusu mtu mmoja ambaye hakufurahi sana juu ya sherehe hizo za uhuru...
  16. Vijana wengi wanafungwa na kuteseka magerezani kwa kubambikiwa mimba na wanafunzi. Je, ushahidi wa mhanga unatosha kumtia hatiani mtuhumiwa?

    Wanabodi hili suala ni changamoto kubwa sana katika jamii. Utakuta binti anaanza mapenzi bado mdogo, tena yupo primary school au secondary school. Wazazi wanajua nini kinaendelea. Maana binti kama analiwa huwa hajifichi. Mara ghafla anapata mimba. Ili kuondoa aibu wazazi wanajifanya kwenda...
  17. Vituo vya Television na Radio vinachangia mimba za utotoni nchini

    Haingii akilini kusikia eti chombo cha habari kama Radio (hasa za FM) na television (hasa za vijana) vinaendesha kampeni ya kuzuia ngono na mimba kwa vijana wakati huohuo vinahamasisha vijana kufanya kijiingiza kwenye mapenzi. Imefahamika kuwa watoto wengi huwa hawasikilizi na kuangalia Radio...
  18. Ni mimba au wasiwasi wangu tu?

    Nna wasi wasi sijapata siku zangu nimechelewa wiki ya pili sasa mpaka naanza kuhisi nna mimba lakini pia nahisi ni hizi dawa je inawezekana ni chanzo? Nlijiskia kuumwa nlipoenda kupima nkaambiwa mma typhoid laja nlipoanza hii dozi ni siku ambazo mzunguko wangu unaanza. Mwenye kufahamu a...
  19. M

    Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza tumboni!

    Habari wakuu Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza! Je, hili sio tatizo?
  20. M

    Nimsaidie atoe mimba au nikaushe

    Ipo hivi nilikuwa penzini na demu fulani hivi lkn mwaka Jana katikati tuliachana kimyakimya baada ya kustukia mauzauza kwenye simu yake so kila mtu akajua mambo yake lkn tuliendelea kuwa friends na Salam fupifupi Kanzia mwezi Novembea mwaka Jana akawa anazidisha mawasiliano na kuomba turudie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…