mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Majibu ya Sugu "Tumewajibu kwa mimba"

    Nimesoma hii stori nikajikuta naanza kucheka mwenyewe, Sugu ban ani mbishi na mtata sana. ----------------- Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewajibu waliomdhihaki kwenye mtandao wa Instagram kwa kumpa mke wake ujauzito baada ya kumsema kwamba ni mgumba. Sugu ambaye...
  2. JamiiForums Tanzania Madhara ya kidonge cha kuzuia mimba (P2), hakifai kwa kila mtu

    Vidonge vinavyofahamika kama P2 au vidonge vya asubuhi ni miongoni mwa aina ya udhibiti wa kuzuia mimba. Mtandao wa kliniki ya Mayo inafafanua kuhusu vidonge hivi; Uzazi wa mpango wa dharura ni chaguo bora kwa kuzuia mimba baada ya kujamiiana bila kinga, lakini haifai kama njia zingine za...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mbona nchi nyingine za Afrika haziruhusu mimba shuleni, na hakuna lawama za mataifa ya nje?

    Nimeipata hii picha ktk mjadala wa baadhi ya nchi za Africa wakishangaa hawa wadada wanafunzi pichani. (Nimeambatanisha picha) Wachangiaji wengi walionesha kushangaa hao wadada, kusoma huku wakiwa wajawazito. Katika mjadala wengi wao walisema "It's only South Africa" Japo kuna nchi kama Kenya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Wanafunzi watakaopata mimba hawataruhusiwa kurejea madarasani na Vichanga wao

    Waziri wa Elimu Profesa Mkenda amesema wanafunzi wa kike watakaopata mimba hawataruhusiwa kuingia darasani na watoto (vichanga) vyao baada ya kujifungua. Mkenda amesema Watoto wana haki zao ambazo ni lazima ziheshimiwe hivyo watakaojifungua itawapasa kunyonyesha kwanza watoto wao kabla...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya kupandikiza Mimba

    Salam, Napenda kufahamu gharama za kuoandikiza mimba hapa nchini Tanzania
  6. JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya kundi ya kundi la damu (blood group) na Uchumba/Mimba/Ujauzito/Mtoto

    1. Binadamu ana damu ambayo ina seli nyeupe, chembe sahani na sell nyekundu.. hizi seli nyekundu ndio zinabeba oksijeni na kabondayoksaidi na kimiminika chenyewe 2. Seli nyekundu zina protini inajishika ukutani mwake inaitwa antigen. Kuna antigen A au B au seli inakuwa haina antigen: • Ambaye...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaotia mimba walimu nao waendelee na masomo?

    Kumekuwa na mkanganyiko kuhusu mimba mashuleni ambapo tafsiri na mitazamo huelemea wanafunzi wa kike wanaopewa mimba na watu (wakiwemo Walimu) huku wanafunzi wa kiume wanaotia mimba Walimu wao wa kike wakiachwa nje ya tafsiri na mitazamo hiyo. Zipo jamii katika nchi za Tanzania na Kenya ambapo...
  8. JamiiForums Tanzania Arusha: Mke wa Mtu auawa na mchepuko wake baada ya kutoa mimba ya mchepuko

    MWILI wa mwanamke aliyetambulika kwa jina la Teddy Mallya mkazi wa Ilboru Kisiwani, Arumeru mkoani Arusha umekutwa umetupwa kwenye shamba la migomba akiwa mtupu na baadhi ya majeraha mwilini ikiwemo ya kung’atwa na meno huku akidaiwa kuuawa na hawara yake (mchepuko). Mwili huo ulipatikana jana...
  9. JamiiForums Tanzania Iringa kinara wa mimba za utotoni 2021

    Mkoa wa Iringa umeongoza kwa watoto wa kike kupata mimba za utotoni. Zaidi ya wasichana 3,000 wenye umri kati ya miaka 10 hadi 19 mkoani Iringa, Wamegundulika kupata mimba katika kipindi cha januari hadi Oktoba mwaka 2021, jambo ambalo linarudisha nyuma juhudi za kupata elimu kwa watoto...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Je hii mimba ni yangu ama si yangu, wajuzi nisaidieni.!!

    Mambo vipi wakuu.. Iko hivi huyu bibie nilisex nae tarehe 22/12/2021 ambayo ilikua ni jumatano. Nilipiga kavu tu kwasababu pia hiyo siku nilikua niko monde. Sasa jumapili yaani tarehe 26/12/2021 akasema anajiskia kulala lala na uchovu. Basi ikapita hiyo siku then kesho yake tena akaleta hizo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania CCM Njombe Wagomea uamuzi wenye mimba kurudi shule

    Nimeisikia
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ukishampa mimba mwanafunzi sasahivi hufungwi?

    Au nikimbie tu jamani..?😥 Majibu yenu tafadhali!
  13. JamiiForums Tanzania NAUZA MAJIKE YA NGURUWE YENYE MIMBA

    Samahani waislamu, Kwa mahitaji ya majike ya nguruwe yenye mimba. Napatikana Mbezi kwa msuguri. Mbegu ni large white. Bei chee kabisa ofa ya sikukuu. 500,000 kwa jike moja. 0783985530 Karibuni sana. Ofa mpaka january 15 2022. Niwatakie siku njema.
  14. JamiiForums Tanzania Halmashauri kuu Ccm (w) Njombe haijaridhishwa na serikali kuruhusu wanafunzi waliopata mimba kurudi shule. Yaomba uamuzi ubatilishwe.

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua. Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo...
  15. JamiiForums Tanzania September 12 Siku ya kupeana mimba - Urusi

    Nchini Urusi kila tarehe 12 September ni siku ya kupeana mimba Hii ilianza kipindi Rais wa Urusi Vladimir Putin Katika hotuba yake ya Hali ya Taifa hilo ya mwaka 2006, alitaja janga la idadi ya watu kuwa ni tatizo la dharura zaidi linaloikabili Urusi na akatangaza jitihada za kuongeza kiwango...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Utamfanyaje mwanamke anayekuambia ana mimba wakati hana?

    Wadau maoni muhimu, imagine umekuwa ukiamini unahudumia mimba yako. Kila siku unatoa pesa ya matumizi hadi bajeti za vifaa vya kujifungulia, halafu mwisho wa siku unakuja kuambiwa mimba haikuwepo
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

    Wakuu Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa, ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja. Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba. Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu. Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
  18. JamiiForums Tanzania Unafiki wa CCM kukubaliana na hoja za wakati ule za Zitto Kabwe kuhusu watoto wenye mimba kurudi shule inafikirisha sana

    Wanabodi, Wabunge wa CCM walimtukana Zitto Kabwe wakati wa hayati JPM kuhusu hoja ya Zitto kuwa watoto Tanzania waliopata mimba hawapewi nafasi ya kusoma shule za kawaida Wabunge wa CCM Wengine walitishia kumuua zito Kabwe kwa kosa kuwa anawasaliti Wabunge wote wa CCM wakati wa JPM hawakutaka...
  19. JamiiForums Tanzania Kwani Wanawake mko wapi?

    KWANI WANAWAKE MPO WAPI? Na Moh'd Majaliwa, Adv. Kiasi imenistaajabisha na kunistua, sikuitarajia hali hii. Kwenye makutano na mikusanyiko mingi ya maana na ya kipuuzi, wanawake nyie huwa wengi zaidi ya wanaume, yaani mmekuwa wepesi kuhamasika na kwa ajili hiyo kipimo cha jambo lako la...
  20. JamiiForums Tanzania Sheria ya kuruhusu wenye mimba kuendelea na masomo,je imejaribu kutazamwa kwa upande wa mtu aliyesababisha hiyo mimba?

    Sheria ya kuruhusu wenye mimba kuendelea na masomo,je imejaribu kutazamwa kwa upande wa mtu aliyesababisha hiyo mimba? Wakati huyo mwanafunzi analea, mimba yake akiwa darasani je, huyo aliyetungisha, mimba atakuwa wapi? Sheria itaruhusu mwenye mimba kuendelea na Masomo kwa kujiamulia tu au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…